HSCKiuhalisia
maboss wengi Huingia kwny udhamini wa timu kubwa lengo ni kutakatisha fedha haramu maana anayo backup ya mashabiki wengi ambao ndo wapiga kura wa serikali iliyoko madarakani
Usikute walikuja kufanya biashara hapa bongo
Hata tajiri Roman alivyochukiwa na mamlaka Chelsea ilikiona cha mtema kuni. Na huko si AfrikaSoka la kiafrika bhana,
Boss wa timu akihitilafiana kdg na serikali ,timu nzima inapoteana.
So sad,
wydad sahv imekua Kama ihefu
Nmeikumbuka ile Yanga,
manji alivotofautiana na mwendazake