Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,508
- 203,233
AsubutuHawajui ila utaumia tu wewe na ukoo wako hata usipojali
AsubutuHawajui ila utaumia tu wewe na ukoo wako hata usipojali
Angalia sourxeSio Wewe nini
Uzi utafutwa sasa hivi huu mkileta mambo yenu ya Vocha uzi huu unafutwaSawa
Sio Bantu LadyAngalia sourxe
NimekuelewaUzi utafutwa sasa hivi huu mkileta mambo yenu ya Vocha uzi huu unafutwa
Vipi kafanya nini..?
Vocha PMVipi kafanya nini..?
Unatuma vocha za jero jero halafu unaficha namba tagriToa picha hiyoView attachment 3071612
Niliwai panda daldala nikawa naenda chamazi nilicheka up nikatoa machozi mtu anaongea na mumewe wanagombana kwenye simu af yeye yupo kwenye daladala anaongea wala hajari tena anamstopisha konda acha kubwataMbagala kule uswahili mwingi, usalama zero & uhuni wa kishamba
Acha shobo wewe mtoto wa kiume ujue.Oya acheni kuchafua uzi huu uzi mtasabisha ufutwe msituletee mambo yenu
Hivi unafikiri bei ya sukari kwa mfano. Ikiongezwa mia(100) kila kilo wewe huathiriki? Unafikiri kila kilo ikiongezwa 100 mtu akipewa tender ya kuagiza mfano tani laki 5 inakuwa shilingi ngapi?Asubutu
Alikua anawanyanyasa ni mwendo wa kuwashikisha mifuko ila John Ambruce alimnyoosha TburgTbeg muhuni alimla tako bellick kule sona.
Unakumbuka kuna aliingia cha kike baada ya kutoka jera akakutana na mchungaji wa mchongo
Mafuta tu kila siku yanapanda bei. Unajua 1ltr ikiongezeka shilingi 50 halafu mtu akaagiza lts million 100 ni kiasi gani?Asubutu
Oya halafu sikia Wewe bwamdogo huna cha kunipangia ushasikia madogo wasumbufu wasumbufu km nyinyi humu hua nawakata makonzi emu tulia kwanza nyambafuAcha shobo wewe mtoto wa kiume ujue.
Ndiyo niliona jana. Hivi ni kwanini?Nasikia wameufutilia mbali
Huyo jamaa alikufa kizembe sana.Alikua anawanyanyasa ni mwendo wa kuwashikisha mifuko ila John Ambruce alimnyoosha Tburg