Utajuaje upo Afrika?

Utajuaje upo Afrika?

Only in DSM.. aaaah njegereeeee kwa ubwabwa 🤣🤣
Vibua, samaki wabichi dagaa mchele

Mwaka wa 5 huu nipo Arusha sijawahi kusikia hayo mambo.
Kweli hata mimi Dodoma sijawahi sikia hii kitu, given mtaa wangu ni pembeni ya mji.

Dar bana 😀
 
Niliwai panda daldala nikawa naenda chamazi nilicheka up nikatoa machozi mtu anaongea na mumewe wanagombana kwenye simu af yeye yupo kwenye daladala anaongea wala hajari tena anamstopisha konda acha kubwata
Kuna siku nlikuwa naenda Kongowe nlipandia gari pale pale Roundabout kigogo, pale nliona abiria wengi walikua wanatoka Kwa Mwamposa...pale Kuna pastor kwenye gari akaanza kuhubirr akawa anakosoa kinachofanywa na Mwamposa dadeq wamama walipiga kelele mpaka pastor akashushwa.
 
I)Mzazi anazaa ili aje kusaidiwa uzeeni na mtoto
ii)"Amejiteka mwenyewe".
iii)ujanja ni kuwa na simu ya gharama Kama Iphone.

Ongezea
Hizi ni za majumbani kabisa katika familia zetu zile:
1.kuhesabu vipande vya nyama Ili kuhakikisha kila mtu anapata sawa.
2.kuweka mafagio nyúma ya mlango.
3.kutunza vyombo baadhi vya chakula, kwa ajili ya wageni tu.
4.Kuhesabu hela baada ya kutoa kwenye ATM.
5.Kuvua viatu wakati wa kuingia ndani ya nyumba.
6.Akichinjwa mnyama au ndege, kuna baadhi ya vipande ni Kwa ajili ya kula baba au wazee pekee.
7.Mtu akipewa kipaza sauti aongee lazima akipige pige Ili ajue kama kinafanya kazi hata kama Kuna mtu alitoka kukitumia kabla yake.
8.Kufagia Uwanja mzima au eneo zima hata yale maneno ambayo si machafu.
9.Kununua nguo mpya wakati wa sherehe au sikukuu.
 
Haha

Siku moja nilipigwa tukio na jirani nusu nikale chabo.

Kweli uswazi noma.
Mi maisha ya Uswazi nayapenda sana..... nikihamia sehemu natafuta mdada nastay nae hata wiki mbili hv afanye ujasusi kidogo baada ya hapo naishi Kwa amani na abc
 
Kuna siku nlikuwa naenda Kongowe nlipandia gari pale pale Roundabout kigogo, pale nliona abiria wengi walikua wanatoka Kwa Mwamposa...pale Kuna pastor kwenye gari akaanza kuhubirr akawa anakosoa kinachofanywa na Mwamposa dadeq wamama walipiga kelele mpaka pastor akashushwa.
Ule ukanda unavituko
 
Back
Top Bottom