Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,583
- 66,265
Wanavyoongea tu mm nafurahi sana ukute watu wa mbagalaUende wapi? Uswahilini kutamu ww....ni kutembea ubavu ubavu na kuruka mitaro ya maji mpaka ufike kwako, ukifika sehemu pana miguno ya kimasihara unapunguza mwendo