GemMaster II
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 3,426
- 10,669
Wamenitoa na picha wamerudisha haha.Wewe walishakutoa BAN
Wamenitoa na picha wamerudisha haha.Wewe walishakutoa BAN
Mbebakia yatima awaingizie PM sasaTuna hali mbaya aisee l..
Jana nimeshangaa sana naona vocha PM nikawa najiuliza imekuaje 😁😁😁🙏🙏🙏Mbebakia yatima awaingizie PM sasa
Mkuu umejuaje hata hapa geto mimi ungo upo ukutaniUngo unatundikwa ukutani
Ufagio nyuma ya mlango
Vocha ukakwanguliwa PMJana nimeshangaa sana naona vocha PM nikawa najiuliza imekuaje 😁😁😁🙏🙏🙏
Ilikua yatayari washa kwanguaa mkuu 😁😁😁😁Vocha ukakwanguliwa PM
Kaka naomba urafikiUtakuta vijana wa hovyo hapa huu uzi ila hata hawajui kama kuna kitu kinaitwa finance bill, CAG report au new constitution
Eeee alikua miyeyusho mwanzo mwishoOa t burgwrll ana mambo ya hovyo..
Si yule walimkata mkono 😂😂😂😂😂
Yule yule😂jamaa alikua korofi sanT Bag yule wa Prison Break?
Urafiki upo bro kwa kila mtu. Hata wasiojielewa wawe marafiki ili waje wapate kujielewaKaka naomba urafiki
Only in Kenya or where TZ?Raisi au waziri kwenda kuzindua shimo la choo msaada kutoka USAID
1.Viatu uvunguni...Ungo unatundikwa ukutani
Ufagio nyuma ya mlango
Mkifika hatua ya kutafuta mshenga PM yangu ipo waziUrafiki upo bro kwa kila mtu. Hata wasiojielewa wawe marafiki ili waje wapate kujielewa
Kaka una-contents sana.Urafiki upo bro kwa kila mtu. Hata wasiojielewa wawe marafiki ili waje wapate kujielewa
Kwa hio bado unazipokea PMIlikua yatayari washa kwanguaa mkuu 😁😁😁😁