mshamba_mwingine
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 1,082
- 4,235
wananunua vyuma chakavuhahaha ninini hiyo?
wananunua vyuma chakavuhahaha ninini hiyo?
Ila wanavituko aseWatu ni wengi sana kule
Makanisa mengi yaani mtaa mmoja una makanisa kama matanoI)Mzazi anazaa ili aje kusaidiwa uzeeni na mtoto
ii)"Amejiteka mwenyewe".
iii)ujanja ni kuwa na simu ya gharama Kama Iphone.
Ongezea
Ni nchi moja wapo huko afrika mashariki viongozi wake wanaamini bila uchawa uwezi pata teuzi naukijifanya mjuaji wa kuwakosowa fahamu unasiku chache za kuishi duniani utatekwa na watu wasiojulikanaOnly in Kenya or where TZ?