Utajuaje kuwa unachoangalia ni filamu ya Bongo

Utajuaje kuwa unachoangalia ni filamu ya Bongo

Waigizaji movie nzima maranyingi hawazidi 10 au15. ( mume na mke, wazazi, mlinzi, watoto 1 or 2, marafiki 2, mganga na mchungaji.
 
UTAJUAJE NI BONGO MOVIE?-""


13. Jina La Movie La Kingereza, Ndani
Mazungumzo Ni Kwa Kiswahili.
14.Editor Roy Kijusi, Camera man
Inosenti Kijusi, graphic designer Roy
Kijusi, Location manager Happy Kijusi,
Mavazi Suzy Kijusi.
15.Movie inapart1 na part2,lakn
ukiangalia unagundua ni disc.1 na disc.2
16.movie inaitwa life is harder (mfano)
afu kwenye kava watu wameweka
mapozi ya mamodo na warembo.""

hizi ndizo zimenifanya nisiangalie kabisa hizi muvi zenu...huwa nalazimishwa tu nikiwa safarini kwenye basi...ninalazimika kuangalia hasa kama sina usingizi
 
nimeipenda ya jambaz lazima mwilimkubwa, miwani, kot kubwa, chini bonge la dundo, feg mdomoni!
 
Alafu mganga lazima awe vazi la rangi nyekundu na tunguli lazima zionekane.
Alafu mtu tajiri wakati wote akiwa ofisini au nyumbani lazima avae suti tu.
 
20. Katika movie kama mtu amekasirika na anakunywa maji au wine anaenda kuweka glass chini kisha anaanza kubwata..in short movie nzima haivunjiki glass wala sahani
 
UTAJUAJE NI BONGO MOVIE?-""

1.Jini akifika barabarani
anaangalia
pande zote ndo avuke barabara.-""
2. Matajiri majumba yao yana askari
badala ya electric
fence &
gates.
3.Trailer inachukua
dakika 40.
4.Part2 ya movie ukiiona
mwanzo unajua part1
ilikuwaje.
5.Madem wanaamka wanamake ups
usoni na hereni kabisa.
6.Wakifika hotelini imezoeleka ni juice
inaagizwa au wine
isiyofunguliwa.
7.Nusu saa mtu anatembea,anafanya
mazoezi,anakimbizwa au ananunua vitu.
8.Wimbo wa malavidavi
unaimba
mpaka unaisha.
9.Mtu yupo
village,life gumu ana wave kichwani.
10.Wote wanaouwawa kwa risasi
hupigwa kifuani au
tumboni sio kichwani.
11.Jambazi
lazima awe anavaa miwani nyeusi,koti
kubwa na mvuta sigara mwenye sauti
nene na sura ya kutisha
12Tajiri anakuja kumpenda maskini.
13. Jina La Movie La Kingereza, Ndani
Mazungumzo Ni Kwa Kiswahili.
14.Editor Roy Kijusi, Camera man
Inosenti Kijusi, graphic designer Roy
Kijusi, Location manager Happy Kijusi,
Mavazi Suzy Kijusi.
15.Movie inapart1 na part2,lakn
ukiangalia unagundua ni disc.1 na disc.2
16.movie inaitwa life is harder (mfano)
afu kwenye kava watu wameweka
mapozi ya mamodo na warembo.""
Ndicho kinachotuponza Watanzania ndicho kinachotufanya tushindwe kuwa washindani wa kweli kwenye hii sanaa ya filamu, ndo mana mimi ni mwasilika wa filamu za Hollywood af wenyewe wasanii wajiona wamewezaaaa kumbe wafanyacho kama unakunywa bia uspiokua makin wakat unaangalia izo sinema zao unaweza vurumisha chupa kwenda kuvunja TV yako pale sebulen. FULL UP.......!
 
21. lazima gate keeper awe kama chizi design.
22.ukiwa ni mfatiliaji wa hollywöod na bollywood utagundua script zote zimebebwa, halafu zikaeditiwa kidogo ndo zikapewa majina mapya.
 
yote kweli.....ndo mana sikumbuki mara ya mwisho niliangalia lini..
 
I dont like bongo movies... hua zinanichosha hata kutizama.. they are too slow i dnt knw may be we are still backward technologically.. hua nalazimika kuziona niwapo safarini katk bus au ugenini au home wakati wadada wa kazi na othr family membrs wakiangalia weekend movies.. I RATHER PLAY COMPUTER GAMES.. SINA MZUKA NAZO..BUT WAIGIZAJI kazeni buti BONGO BADO TUNAIGIZA. ninapoziangalia I alwys say ni maigizo that all.
 
Nyingine ni kwamba kwa mf. M2 anaingia kwnye gar wataonexha tangu anatoka ndan,anaingia analiwaxha analiendexha adi 20mins znaishia apo kwa m2 m1.
Mezani mf wanakula,ni chips na wali hakuna cha ugali wala any tzan fud.wanaboa kichz.
 

1-walinzi wengi huwa ni comedians
2-tajiri anakuja kumpenda masikini
3-jambazi lazima awe anavaa miwani nyeusi na mvuta sigara na koti refu jeusi
4-wote wanaouwawa kwa bunduki hupigwa kifuani au tumboni sio kichwani
5-mtu yupo village,life gumu ana wave kichwani
6-wimbo wa malavidavi unaimba mpaka unaisha
7-nusu saa mtu anatembea, anakimbizwa, ananunua vitu
8-wakifika hotelini imezoeleka ni juice au wine isiyofunguliwa
9-madem wanaamka wana makeups usoni na hereni kabisa
10-part 2 ya movie ukiiona mwanzo unajua part 1 ilikuwaje
11-jini akifika barabarani anaangalia pande zote ndo avuke..!

12. subtitles za kiingereza haziendani na wanachokisema
13 makosa kibao ya grammar na spelling
 
kwe uhalisia sizani kama wapo wanao wazidi SIRI YA MTUNGI sijui kwa kuwa sponsers ni wazungu lakini wame act uhalisia wa wa tz kabisa ila hawa wengine inataka moyo.Tena hakuna wanapoboa kama action movie aaaraagaaaa wanachosha.hivi tatizo ni nini si watu wakasome hata ulaya.naona wengi wanafanya mzaa hivi to be honest kuna movie iliyowahi kugharimu million 200 kwenye uandaaji wake maake naona ufinyu wa bajeti may be.lakini ni bora hata uunganishe nguvu na wenzio mteketeze mamilion ya pesa kwa kitu bora
 
wengi wameweka efforts ndogo sana lakini laiti wangefanya kama big deal business.wenzetu wana risky mabilion ya pesa lakini return yake anaweza asiigize tena ila kwetu watu waoga wanabana pesa shida tu.Try to imagine wabongo kazaa mastar waungane ku risky pesa.wakafanyie movie nje na kutumia wataalamu wa huko foristance America au south korea nina uhakika pesa yao itarudi hata isiporudi basi jina lao litakuwa limeshajenga soko kwa kazi zao nyingine wasanii msiogope kutoa pesa ili upate pesa lazima utumie
 
UTAJUAJE NI BONGO MOVIE?-""

1.Jini akifika barabarani
anaangalia
pande zote ndo avuke barabara.-""
2. Matajiri majumba yao yana askari
badala ya electric
fence &
gates.
3.Trailer inachukua
dakika 40.
4.Part2 ya movie ukiiona
mwanzo unajua part1
ilikuwaje.
5.Madem wanaamka wanamake ups
usoni na hereni kabisa.
6.Wakifika hotelini imezoeleka ni juice
inaagizwa au wine
isiyofunguliwa.
7.Nusu saa mtu anatembea,anafanya
mazoezi,anakimbizwa au ananunua vitu.
8.Wimbo wa malavidavi
unaimba
mpaka unaisha.
9.Mtu yupo
village,life gumu ana wave kichwani.
10.Wote wanaouwawa kwa risasi
hupigwa kifuani au
tumboni sio kichwani.
11.Jambazi
lazima awe anavaa miwani nyeusi,koti
kubwa na mvuta sigara mwenye sauti
nene na sura ya kutisha
12Tajiri anakuja kumpenda maskini.
13. Jina La Movie La Kingereza, Ndani
Mazungumzo Ni Kwa Kiswahili.
14.Editor Roy Kijusi, Camera man
Inosenti Kijusi, graphic designer Roy
Kijusi, Location manager Happy Kijusi,
Mavazi Suzy Kijusi.
15.Movie inapart1 na part2,lakn
ukiangalia unagundua ni disc.1 na disc.2
16.movie inaitwa life is harder (mfano)
afu kwenye kava watu wameweka
mapozi ya mamodo na warembo.""

umesahau KUU.kulko zote,lazma majengo pacha yawe km sehemu ya bongo movie..
 
Back
Top Bottom