Utajuaje kama wewe ni mzee? Soma hapa

Utajuaje kama wewe ni mzee? Soma hapa

hahaha acha kabisa. Mkirisimasi wenu ulikuwa na taa za mulimuli na mnaweka pamba? Siku nakuja kugundua zile pamba was representing snow nilichoka jumla.

Huo mtoko ulikuwa bab kubwa. Manake kwanza kila mtu anashikishwa pocket money yake (nahisi ilikuwa sh moja sijui? Barafu ya kijiti ilihusika njia nzima kurudi home)
Dah, enzi hizo mpiga picha anazungukia kila nyumba za wateja wake wa krismass.

Yaani kupiga picha kwenye mkrismas ndo ilikuwa habari ya MUJINI(afu sie mkrismas ulikuwa unakaa karibu na simu ya mezani, basi unapiga na simu 🙂 )


Bora nyie mlikuwa na mtoko wa kidwanzi, sie ni home hapo hapo, ni kunywesha double colla, vimto na mirinda.

BTW: miss you.

Ujue nimejimisisha makusudi
 
Ndio nimegundua sasa kuwa zile pamba ilikuwa snow. Taa zitoke wapi? Kulikuwa na stail ya kuchanganya toilet paper za rangi tofauti tofauti, na ku design rosses au pambo la kuzungusha.


Sijui mamangu ni mchaga? Mgomba ulokuwa haukosekani kuwekwa pambo🙂

hahaha acha kabisa. Mkirisimasi wenu ulikuwa na taa za mulimuli na mnaweka pamba? Siku nakuja kugundua zile pamba was representing snow nilichoka jumla.

Huo mtoko ulikuwa bab kubwa. Manake kwanza kila mtu anashikishwa pocket money yake (nahisi ilikuwa sh moja sijui? Barafu ya kijiti ilihusika njia nzima kurudi home)

Ujue nimejimisisha makusudi
 
Shikamo mume wangu

Marhaba hujambo wewe mama watoto?mbona watoto umeawaacha bila kuwavisha nguo?

Huyu Khantwe anasema kuwa hukuacha hela ya mboga, nikamwambia ntamtumia, sasa tatizo ananisumbua kila mara, ndio nikamwambia nimekuelewa, au unataka Ntuzu ajue kuwa leo nakupa hela ya mboga?
Je ni kweli hukuacha hela ya mboga kwa mkeo Khantwe?

Sasa wewe una lako jambo... Kumhonga mke wangu mpk na Mimi unishirikishe?
 
Last edited by a moderator:
Marhaba hujambo wewe mama watoto?mbona watoto umeawaacha bila kuwavisha nguo?



Sasa wewe una lako jambo... Kumhonga mke wangu mpk na Mimi unishirikishe?

Basi assume sijasema hivyo, nifanye kimya kimya.
 
Back
Top Bottom