Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,174
UTAJUAJE WEWE NI MZEE???
- Kama unajua ulifanya Science ikiwa na Agriculture, na GHCRE... Wewe ni mhenga.
- Kama ulicheki tv ukajua Inspekta Mwala ako na brother anaitwa Likobe... Tafadhali usiulize nywele nyeupe inatoka wapi.
- Kama ulitumia 5bob, 10bob na 20bob ya noti... Anza kupanga mazishi yako pliz.
- Kama ulipanda matatu zile watu huangaliana.... Nani, kubali tu.
- Kama uliwatch tv channel inaitwa STV na bado unaandika X badala ya S.... Mboss maombi kwako!
- Kama picha yako ya ID si coloured... We ni analogue. Na kama ID yako haiingi kwa wallet... Pea wengine nafasi wazaliwe!
- Kama ulikunywa soda inaitwa Softa na Babito, na juice ya Tree Top... Uko pale pale.
- Kama Primo ulifanya 8 subjects, deactivate your facebook account uanzishe familia.
- Kama uliona kipindi ya Tausi, Maria de Los angeles, na movie ya mbwa ingine hapo inaitwa Rex... Shikamoo babu/bibi.
- Kama ushawahi pelekwa date kwa hoteli mkasomea menu nje... Wewe na akina Ole Kaparo na Ole Ntimama ni agemates.
- Kama unatambua zile era za kupigwa picha then unaingoja for a whole month ndio itoke... Mzeiya umekula chumvi, masala, chili, n.k.
- Kama ulinunua tule tu biscuits twa round twa kuuzwa peni moja... Wewe uliona Noah akitengeneza Ark!
Swali hilo wadau.