naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,989
- 5,510
mbona lugha iliyotumika hapa imekaa ki-KENYAKENYA sana?
Ndio maana ya copy & paste mkuu
mbona lugha iliyotumika hapa imekaa ki-KENYAKENYA sana?
Kwani huyo aliyeandika hapo unamjua?
ha ha hah mpenzi nikajua unatoa maelezo
Khaaaa....mkwemwenza. Umemuitaje??? nshakuchoka we mwanamke
Mkwe mweenza mwee
Hahahaa wee naeeee hebu acha kukwepesha mada hapa
Nimemiss kile chakula chako
Chakula gani mke mwenza?
biriani
Doooh naijulia wapi mie sanasana nimeiona kwenye picha
kumbe sikuile ulinunua ukaweka kwenye hotpot ili mume wetu akalale kwako ngoja na mie mshahara utoke utaona
wangu bado mkwe mwenzaAaah mkemwenza utoke mara ngapi?
wangu bado mkwe mwenza
Acha uhuni hebu kanunue ndoo ya mafuta tugawane
nishatoa taarifa kwa mume wetu kasema atanunua vyangu wewe utajiju mshahara bado
dah umenikumbusha tu enzi za mpiga picha siku ya krismas. Hivi alikuwa anatokea wapi yule? Manake mkishapiga pilau, mnavaa tena nguo za kanisani (huwezi kula nazo utachafuka).
Halafu kijamaa kinaibuka mnapiga picha kwanza kwenye mkrismasi. Kuna outing flani ya kiduwanzi mnaenda kupiga soda moja moja mnarudi kula uporo wa mchana. snowhite na Kongosho hebu mje mniambie. yule mpiga picha anajuaje timing?