Utajuaje kama wewe ni mzee? Soma hapa

Utajuaje kama wewe ni mzee? Soma hapa

dah umenikumbusha tu enzi za mpiga picha siku ya krismas. Hivi alikuwa anatokea wapi yule? Manake mkishapiga pilau, mnavaa tena nguo za kanisani (huwezi kula nazo utachafuka).

Halafu kijamaa kinaibuka mnapiga picha kwanza kwenye mkrismasi. Kuna outing flani ya kiduwanzi mnaenda kupiga soda moja moja mnarudi kula uporo wa mchana. snowhite na Kongosho hebu mje mniambie. yule mpiga picha anajuaje timing?
 
Mwanzo nilikuwa sijastukia ulipomuuliza, ila alipomjibu kuwa wapi nimetaja tamthilia ndio nikajumlisha na kutoa kama kikong'ota
kama unataka kumjua mtu anayecopy na kupest bila kuchanganya na zake msome mtoa mada

Hivi Tausi ilikuwaga ni movie eeh? Au maigizo?
Wapi nimecopy na kupaste mkuu?

Wapi nimetaja tamthilia mpendwa?

UTAJUAJE WEWE NI MZEE???

- Kama uliona kipindi ya Tausi, Maria de Los angeles, na movie ya mbwa ingine hapo inaitwa Rex... Shikamoo babu/bibi.

.
 
dah umenikumbusha tu enzi za mpiga picha siku ya krismas. Hivi alikuwa anatokea wapi yule? Manake mkishapiga pilau, mnavaa tena nguo za kanisani (huwezi kula nazo utachafuka). Halafu kijamaa kinaibuka mnapiga picha kwanza kwenye mkrismasi. Kuna outing flani ya kiduwanzi mnaenda kupiga soda moja moja mnarudi kula uporo wa mchana. snowhite na Kongosho hebu mje mniambie. yule mpiga picha anajuaje timing?

Hahahahahahah😀😀😀😀
 
Last edited by a moderator:
Mwanzo nilikuwa sijastukia ulipomuuliza, ila alipomjibu kuwa wapi nimetaja tamthilia ndio nikajumlisha na kutoa kama kikong'ota

Hivi Tausi ilikuwaga ni movie eeh? Au maigizo?

Wazee ndio wanajua kama tausi ilikuwa movie au futuhi.
 
Hahaha mmemkazia alipoicopy na kupaste mpk kaona noma mleta mada....
 
utajuaje wewe ni mzee???
- kama unajua ulifanya science ikiwa na agriculture, na ghcre... Wewe ni mhenga.
- kama ulicheki tv ukajua inspekta mwala ako na brother anaitwa likobe... Tafadhali usiulize nywele nyeupe inatoka wapi.
- kama ulitumia 5bob, 10bob na 20bob ya noti... Anza kupanga mazishi yako pliz.
- kama ulipanda matatu zile watu huangaliana.... Nani, kubali tu.
- kama uliwatch tv channel inaitwa stv na bado unaandika x badala ya s.... Mboss maombi kwako!
- kama picha yako ya id si coloured... We ni analogue. Na kama id yako haiingi kwa wallet... Pea wengine nafasi wazaliwe!
- kama ulikunywa soda inaitwa softa na babito, na juice ya tree top... Uko pale pale.
- kama primo ulifanya 8 subjects, deactivate your facebook account uanzishe familia.
- kama uliona kipindi ya tausi, maria de los angeles, na movie ya mbwa ingine hapo inaitwa rex... Shikamoo babu/bibi.
- kama ushawahi pelekwa date kwa hoteli mkasomea menu nje... Wewe na akina ole kaparo na ole ntimama ni agemates.
- kama unatambua zile era za kupigwa picha then unaingoja for a whole month ndio itoke... Mzeiya umekula chumvi, masala, chili, n.k.
- kama ulinunua tule tu biscuits twa round twa kuuzwa peni moja... Wewe uliona noah akitengeneza ark!

Swali hilo wadau.
teh teh hii burudani tosha
 
Back
Top Bottom