Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,101
- 127,847
Marahaba hujambo?
Mmmhhh....
Marahaba hujambo?
Mmmhhh....
Marhaba hujambo wewe mama watoto?mbona watoto umeawaacha bila kuwavisha nguo?
Sasa wewe una lako jambo... Kumhonga mke wangu mpk na Mimi unishirikishe?
nimekumiss my mother mzima wewe...
shkamoo baba...
We douta wewe......
Marhaba my douta mzima weye? Umepotea? Kesho muje na mumeo kuna urithi nataka kuwagawia....
nimekumiss my mother mzima wewe...
Mweh mweh....vijiko na sahani au...?Marhaba my douta mzima weye? Umepotea? Kesho muje na mumeo kuna urithi nataka kuwagawia....
Mi mzima mwanangu upo?
nipo mamaangu, umekua adim mom hatuonani...