Utajuaje kama ndugu yako ni shoga?

Alagwa

Member
May 30, 2012
95
85
Ushoga sio jambo zuri katika jamii. Lakini je wawezaje kuwalinda ndugu kama kaka na wadogo zako wa kiume wasiingize huko. Na dalili za shoga ni zipi ili ukiona uanze kuwalindana kuwakataza mchezo mchafu ambao hata maandiko yanakataza? Jamani tusaidiane ili kuokoa jamii yetu
 
Unamtajia jina la david cameroun akistuka ujue sio shoga huyo,akichelea ujue punga huyo.
 
Ushoga sio jambo zuri katika jamii. Lakini je wawezaje kuwalinda ndugu kama kaka na wadogo zako wa kiume wasiingize huko. Na dalili za shoga ni zipi ili ukiona uanze kuwalindana kuwakataza mchezo mchafu ambao hata maandiko yanakataza? Jamani tusaidiane ili kuokoa jamii yetu

Maneno yake na mwendo wake!,

Maneno utaskia, shostito, jamaaani weweeee!, halooooo oooo!, mwenzio mimi jamani, alafu akiwaona mademu ndo story zinapanda zaidi, akitoka kuoga utaona taulo anajifungia kifuani,

Mwendo sasa: Utakuta anatembea kama kapigwa ngumi ya mgongo yani anatembea kwa kujibinua balaa!.

Heheheheh ila maada yako ina utata sana sijui umefikiria nini!!!
 
Akiwa mdogo wakati unamchamba pitisha kidole akichekelea tu jua hilo bwabwa.
 
Maneno yake na mwendo wake!,

Maneno utaskia, shostito, jamaaani weweeee!, halooooo oooo!, mwenzio mimi jamani, alafu akiwaona mademu ndo story zinapanda zaidi, akitoka kuoga utaona taulo anajifungia kifuani,

Mwendo sasa: Utakuta anatembea kama kapigwa ngumi ya mgongo yani anatembea kwa kujibinua balaa!.

Heheheheh ila maada yako ina utata sana sijui umefikiria nini!!!

Mkuu unawajua kina david cameroun hasa!!
 
Hii shughuli, sijawahikuwaza hata mara moja. Itakuwa vizuri iwapo wadau mtatujuza namna ya kuwatambua hasa wakati ndio wanaanza ili kuweza kujaribu kuwapa mashauri/nasaha mujarabu labda yataacha kuwa Punga na Kuwa Ugali.

Nasubiria mawazo yenu ka hamu kubwa hasa ukizingatia nimelaaniwa watoto wangu wa kiume tu wawe shoga. Lol
 
We pita mtaani,waguse wanaume makalio kila unayekutana naye,atakayestuka si chakula,asiyestuka ni chakula huyo
 
Wewe unataka kumuulisha mwenzako. Ivi akujie mtu akuguse makalio utamwacha tu? Mimi ninamshushia kisago cha nguvu.
 
Ushoga sio jambo zuri katika jamii. Lakini je wawezaje kuwalinda ndugu kama kaka na wadogo zako wa kiume wasiingize huko. Na dalili za shoga ni zipi ili ukiona uanze kuwalindana kuwakataza mchezo mchafu ambao hata maandiko yanakataza? Jamani tusaidiane ili kuokoa jamii yetu
muulize

Maneno yake na mwendo wake!,

Maneno utaskia, shostito, jamaaani weweeee!, halooooo oooo!, mwenzio mimi jamani, alafu akiwaona mademu ndo story zinapanda zaidi, akitoka kuoga utaona taulo anajifungia kifuani,
fixed for you..
i had some of those signs
 
Mwambie akuoneshe kucha zake za mkononi...
Ukiona anakuonesha na vidole anavikunja mithili ya ukunjwaji ngumi,jua huyo yupo salama....
Lakini ukiona anakuonesha huku vidole kavitawanya kama mdada anayepakwa rangi za kucha, jua nduguyo kiboga kishaanza kumegwa.
 
Muangalie wakati anajisaidia haja kubwa ukiona analia/anatokwa na machozi ujue huyo atakuja kuwa shoga tu.
 
We pita mtaani,waguse wanaume makalio kila unayekutana naye,atakayestuka si chakula,asiyestuka ni chakula huyo

Nakumbusha kuvaa helmet ya waendesha pikipiki ugusapo makalio ya hao wanaumme utakaokutana nao; maana MANGUMI YATAKUWA NJE NJE kama umgusaye siyo Bwabwa
 
Back
Top Bottom