Utajuaje kama ndugu yako ni shoga?

Muangalie wakati anajisaidia haja kubwa ukiona analia/anatokwa na machozi ujue huyo atakuja kuwa shoga tu.
how will u do this? utamfuata maliwatoni!! be realistic

We pita mtaani,waguse wanaume makalio kila unayekutana naye,atakayestuka si chakula,asiyestuka ni chakula huyo
lol. utapata kichapo cha mbwa mwizi

Hii shughuli, sijawahikuwaza hata mara moja. Itakuwa vizuri iwapo wadau mtatujuza namna ya kuwatambua hasa wakati ndio wanaanza ili kuweza kujaribu kuwapa mashauri/nasaha mujarabu labda yataacha kuwa Punga na Kuwa Ugali.

Nasubiria mawazo yenu ka hamu kubwa hasa ukizingatia nimelaaniwa watoto wangu wa kiume tu wawe shoga. Lol
na wewe mlaani wanawe wa kike wawe wasagaji
 
Ushoga sio jambo zuri katika jamii. Lakini je wawezaje kuwalinda ndugu kama kaka na wadogo zako wa kiume wasiingize huko. Na dalili za shoga ni zipi ili ukiona uanze kuwalindana kuwakataza mchezo mchafu ambao hata maandiko yanakataza? Jamani tusaidiane ili kuokoa jamii yetu

Mtoto asipewe muda mrefu kukaa na jinsia ya kike!
Kuwa karibu nae na usimfunze tabia ya kujiremba remba!
Mwepushe na tabia ya kupenda anasa!
Mfunze dini!
Mfunze tabia ya kujitegemea kwa kumsifia sifa za kiume!
 
hilo ni swala gumu sana aisee cha muhimu ni kuomba tu kwa Mungu ndg yako asije kumbana na hayo mambo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom