Village-in
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,416
- 5,009
Yote wewe ndio unageuzwa kuwa si yule halisiaPesa pesa,mambo yote pesa. Hivi kufa Kisha ukafufuka na kulala ndani ya maji ya baharini au ziwani kipi bora?
Yote wewe ndio unageuzwa kuwa si yule halisiaPesa pesa,mambo yote pesa. Hivi kufa Kisha ukafufuka na kulala ndani ya maji ya baharini au ziwani kipi bora?
wewe kulala juu ya mti unaiona shida na wale wanaolala kwa sababu hawana pakulala wala chakula na kibaya anaweza hata kungatwa na nyoa ila huyo analala kama agano tu na anakuwa salama?Hela za maagano mbaya sana kuna mzee anamiliki pub moja hapa town ye ikifika saa 6 usiku anaenda kulala juu mti.daahh hadi huwa najiuliza hivi ela inatakiwa ikutunze au uitunze?
😃😃😃😃Mkuu watu wajilipue ila ni hela za shetani.Akili za umaskini ni pale unapoamini matajiri wanafedheha, mateso na dhiki mnazobuni buni wenyewe huku nyie shida zenu za kupauka midomo hatuzibuni tukishawaona tu tunaona harufu ya shda na mateso. yaani unaona kufa na kufufuka ni shida kuliko kushinda site unabeba tofari kanzia asubuhi hadi jioni kisha unapewa afu kumi na saa zingine unakesha bila kula na bado unajiona unaishi vzuri, mungu aliumba watu wasio kuwa na fikra na akawapa kujiamini kwa kujiona wana akili
Mungu aliumba watu wasio kuwa na fikra na akawapa kujiamini kwa kujiona wana akili[emoji3064][emoji848][emoji2827]Akili za umaskini ni pale unapoamini matajiri wanafedheha, mateso na dhiki mnazobuni buni wenyewe huku nyie shida zenu za kupauka midomo hatuzibuni tukishawaona tu tunaona harufu ya shda na mateso. yaani unaona kufa na kufufuka ni shida kuliko kushinda site unabeba tofari kanzia asubuhi hadi jioni kisha unapewa afu kumi na saa zingine unakesha bila kula na bado unajiona unaishi vzuri, mungu aliumba watu wasio kuwa na fikra na akawapa kujiamini kwa kujiona wana akili
Mshana wew nielekezetu ila usinishauri kwendaIpo hapa hapa nchini ila sikushauri hata maramoja
Umechukua uamuzi sahihi sanaKweli mim mpaka Sasa siamini hii mambo maana dah!! Utapeli umekuwa mwingi
Mwanzo wa neno ndio mwanzo wa jambo.. Kumbuka curiosity kills...Mshana wew nielekezetu ila usinishauri kwenda
Malawi ndio wataalam sana wa hii ndumba.Mshana hii inapatikana wapi?
Mwambie myajenge.Mimi nataka ya kufa na kuoza kwa mke wangu, mimi niwe naokota funza anapokufa
Kufa ni kuyatenda ya rohoni ukingali una mwili bado.Ni kama kuwanga na kupaa halafu asubuhi mbawa zinaisha.Ni kiini macho na ushirikina kwakuwa katika hali ya kawaida haiwezekani
Sahihi kabisaKufa ni kuyatenda ya rohoni ukingali una mwili bado.Ni kama kuwanga na kupaa halafu asubuhi mbawa zinaisha.