Utajiri wa kufa na kuoza ndio pesa ije

Utajiri wa kufa na kuoza ndio pesa ije

Ni aina mojawapo ya uchawi wa kupata utajiri ukiacha huu wa ;
Kuua ndugu
Kuwafanya wanafamilia ndondocha
Kuwekwa kidonda mwilini
Kupewa masharti ya chakula nguo na magari nk nk

Huu una mambo yake ya ajabu, unapewa dawa ambayo utamshirikisha mkeo tuu.Ukishakunywa hiyo dawa unakufa na kuoza kabisa mpaka kutoa funza wengi
Sasa mkeo kazi yake kila siku itabidi awafagie hao funza na kuwaweka kwenye ndoo kwa mpaka siku ya saba utakapofufuka.

Utajiri wako utategemea na wingi wa funza watakaokusanywa kwa siku.

Ukishamaliza siku Saba utafufuka na biashara zako zitaanza kuchanganya.

Onyo na tahadhari
-Hutakiwi kuwa na mwanamke mwingine
-Mkeo hapaswi kushtuka mara ya kwanza akiwaona funza utakufa moja kwa moja
-So wewe wala mkeo mnapaswa kutoa siri hii kwa yeyote hata chini ya mtutu wa bunduki
-Ishu ya kufa wiki nzima na kuoza utaifanya kila biashara zinapoyumba

Kama bado unataka utajiri kwa njia za mkato fikiria mara mbili kabla hujamua
duuh bora kufa maskini ijulikane kuliko kwenye mambo ya giza hapana.
 
Nyumbani kuna jamaa walienda Mwanza, hatukujua ni sehemu gani Ila mwaka mzima ndio wakaibuka. Sasa hivi ni matajiri,hakuna anaejua asili ya utajiri wao. Mimi Nina wasiwasi walikufa na kufufuka wakiwa matajiri. Ila nawapongeza kwani wamejitesa wenyewe, tena kwa kuthubutu.
 
Hata ishu za site watu wanaibuka na utajiri wa ghafla nawajua jamaa zangu watatu wamepiga zaidi ya b za kutosha na wamepotea wakabadili na mawasiliano kabisa hawapatikani.
Uhakika walipata mgao.
Mmoja alikuja kwake na roli scania jipya akasomba mizigo yake na familia akawagawia kila jirani laki laki akaiuza nyumba yake siku hio hio.
Akapotea.
Nilikuja kuelewa kwann wanapotea baada ya kupiga ishu za site za wajerumani.
Ni biashara zinazofanyika in black market na Sio bank mmoja alipata mgao wa dollar milion 13 wenzake wakati wanashangaa shangaa wakadakwa wakapokonywa Hela, yeye alijua mbinu ya ukipokea tu mgawo kata mawasiliano potea hata ukija dakwa huna mzigo ushauungiza kwenye mzunguko mfano maghorofa, viwanja nk.
Dollar ni hela zinaxobebeka.
Mfano dollar milion 20 zinakaa kwenye sulfate vizur tu na unatembea nazo.
 
Hee, hizi ishu kumbe kweli? Jamaa kapewa sharti dogo nunua begi kwa ukubwa utakao...ila awe analala nalo. Baada ya wiki kaambiwa atakuwa anaamshwa alipeleke makaburini. Anaamshwa muda wa kupeleka anarudi harafu anaamshwa tena muda wa kulibeba. Baada ya wiki tena, kaambiwa analala nalo makaburini muda wote. Siku ya mwisho kaambiwa aliache hukohuko, akarudi nyumbani. Alipofika tu, kaambiwa kalibebe (mawasiliano yote anapigiwa simu yake ila sauti ni kama itoka mahali kuna maji mengi mfano wa bahari au ziwa).
Aliporudi kulibeba akakuta zito mno na akaambiwa alibebe kama maiti ya mtoto inavyobebwa. Akalibeba kibabe...mpaka home. Asubuhi anaenda job kwake, akaambiwa aanze kutembea nalo likiwa mgogoni (hapo ndo wengine tukaanza kushangaa mtu kuchwa kutwa anabegi mgogoni kubwa hakuna kutua!) Zoezi hili likaenda nalo wiki.
Mwisho akaambiwa afungue, loh! Maburungutu ya ten ten usipime, jamaa akadata! Akaambiwa zinahitaji ufunguo ndo zianze kutumika.
Zikakaa ndani wiki, jamaa mahesabu mengi kichwani. Baada yawiki akapigiwa kuwa funguo ni madha....dah! Jamaa hoi zoezi likamshinda. Kila akiwaza aende kwa mtaalamu simu inaingia kuwa asiende huko. Kila akiwaza kuzitupa simu inaingia usijaribu kutupa!
Mwishowe alienda kibishi kwa mtaalamu tofauti, alipomuambia kaa hapo weka begi chini, alipotua mganga anapiga manyanga yake. Jamaa alitoka nduki hataki tena kusikia stori za utajiri huu.
 
🚶
IMG_20230712_173044.jpg
 
Ni aina mojawapo ya uchawi wa kupata utajiri ukiacha huu wa ;
Kuua ndugu
Kuwafanya wanafamilia ndondocha
Kuwekwa kidonda mwilini
Kupewa masharti ya chakula nguo na magari nk nk

Huu una mambo yake ya ajabu, unapewa dawa ambayo utamshirikisha mkeo tuu.Ukishakunywa hiyo dawa unakufa na kuoza kabisa mpaka kutoa funza wengi
Sasa mkeo kazi yake kila siku itabidi awafagie hao funza na kuwaweka kwenye ndoo kwa mpaka siku ya saba utakapofufuka.

Utajiri wako utategemea na wingi wa funza watakaokusanywa kwa siku.

Ukishamaliza siku Saba utafufuka na biashara zako zitaanza kuchanganya.

Onyo na tahadhari
-Hutakiwi kuwa na mwanamke mwingine
-Mkeo hapaswi kushtuka mara ya kwanza akiwaona funza utakufa moja kwa moja
-So wewe wala mkeo mnapaswa kutoa siri hii kwa yeyote hata chini ya mtutu wa bunduki
-Ishu ya kufa wiki nzima na kuoza utaifanya kila biashara zinapoyumba

Kama bado unataka utajiri kwa njia za mkato fikiria mara mbili kabla hujamua
Hii ishu ni kweli kabisa broo ,ipo
 
Mshana, wewe ni moja ya watu wenye uthubutu sana. Nakukubali mkuu.
Ni watu wachache wenye uwezo wa kusema uwongo hadharani macho meupe.

Kama utakumbuka vizuri, miaka ya nyuma, uli request kuonana na mimi, I turned you down. Am ready now.
Ni watu wachache wenye uwezo wa kusema uwongo hadharani macho meupe.😂😂😂
 
Mshana, wewe ni moja ya watu wenye uthubutu sana. Nakukubali mkuu.
Ni watu wachache wenye uwezo wa kusema uwongo hadharani macho meupe.

Kama utakumbuka vizuri, miaka ya nyuma, uli request kuonana na mimi, I turned you down. Am ready now.
Kama utakumbuka vizuri, miaka ya nyuma, uli request kuonana na mimi, I turned you down. Am ready now.😂😂😂
Now or never...!
 
Back
Top Bottom