Utajiri wa kishirikina unavyotesa wengi

Utajiri wa watu wingi hutoka kwa shetani na hasahasa wafanyabiashara (kuanzia mamalishe mpaka kwa kina Rothchild na Aliko Dangote), wanasiasa, wanamichezo, wasanii, viongozi wa dini (karibu hao wooote unaowaona ni matajiri wa kutupa), wanasayansi kina Bill Gates hao, nk.

Na utajiri huo umelezwa wazi katika biblia.

Mathayo 4:8-9 Kisha Ibilisi akamchukua mpaka mlima mrefu mno, akamwonyesha milki zote za ulimwengu, na fahari yake,
9 akamwambia, Haya yote nitakupa, ukianguka kunisujudia.


Lakini je, yafanii kuupata ulimwengu wote na kuukosa uzima wa milele? Tujihadhari sana na mambo ya dunia.
 
Una uthibitisho wa haya unayosema? Kama wewe siyo mshirikina utayajuaje haya?
 
Mshana Jr yani huu uzi wako ni kweli kabisa. Kuna tajiri fulani anamiliki mababasi ya Urio Arusha wanadai eti kapewa masharti awe analala chooni tu tena choo cha shimo. iyo ruti ya ngarenanyuki yeye ndie alikuwa anamiliki peke yake ukijifanya uingie iyo ruti utakiona. kuna jamaa alipeleka gari lake huko asubuhi akapakia akizan abiria mbele ya safari kuangalia nyuma wote walikuwa nyani wakamuambia dereva tunakusamehe kwa leo. nasikia wadau wanadai jamaa alijisahau cku moja akalala chumbani na kitandan alikula mkongoto mkali na wa haja kutoka kwa majini na mabas yake kuharibika na kupata pancha biashara ikayumba. lisemwalo lipo!
 

Bado kuna watu wanaulizia uthibitisho! Utafikiri wanaishi mwezini hizi habari zipo nyingi mno na zipo kila mahali kwenye jamii zetu
 
Utajiri una madaraja na kila daraja lina kafara lake mfano
Milioni 20-50 ni tofauti na milioni 100-200 na kila daraja huhitaji kitu kikubwa zaidi au damu nyingi zaidi

Uko vizuri hebu endelea kushuka zaidi ingia deep tupate picha halisi maana na sisi tusijetolewa kafara
 
Aaaah bwana wewe acha ibishi bwana, wakinga wengi walipata utajiri kwa njia za majoka.... unajua nini kuhusu mwakipande

Ww usimtaje uyo mzee bila sababu katuwezesha wengi tuache na mila zetu nyie endeleeni na dini zenu za magumashi
 

Mtaje uyo mzee na eneo analotoka nani anataka kuishi chini ya dola moko arifu


 
Mtaje uyo mzee na eneo analotoka nani anataka kuishi chini ya dola moko arifu

Tatzo unafikiri masharti unapanga ww. Nenda ukapewe masharti magumu, sijui utalia na nani.

Masharti mengine sio kabsa Joh mbaya hakuna kurudi nyuma. Utajuta. Pigana ki halali tu.

We ngoja ukaambiwe mara moja kila mwezi lazma utinduliwe 0713. Unless unataka/unapenda ushenz huo.
 

Nikweli kabisa senior boss wachaga mila ndio kila kitu na asiefata hupata shida sana
 
kama hawaendeshi magari,hawali nyama,hawavai vizuri,hawendi vacation,hawa enjoy .hiyo pesa haina maana.mi nawaona ni masikini.siyo matajiri. Tajiri unaogopa kula nyama? Ha ha ha h..

wewe unaona kula nyama ndio utajiri. sikuhizi unaambiwa nyama ni sumu unashauriwa uepuke nyama
 
Nikweli kabisa senior boss wachaga mila ndio kila kitu na asiefata hupata shida sana

Kuna tofauti kubwa kati ya mila na uchawi. Mila za kichagga si uchawi bali ni ibada flan za Miungu ya asili.

Zina madhara kama ukoo wenu una practice alaf we uache. Kama unaacha shikilia imani yako thabiti kama uko nje ndani kwa uroho wa mbege na nyama utapata shida sanaa. Wengi hawajui asili ya nyumba zao ndio maana wanateseka na kila wanachofanya hakifanikiwi.

Mchagga anayejielewa hawezi acha kufanya mila. Not exactly kila mwisho wa mwaka but in any major event of ur life (pia si lazma kuangusha ng'ombe au mbuzi. Unaweza tumia mbege au maziwa kufanyia ibada/sala hyo na majani flan yaitwayo " Masale" au " Isale ". Inategemea)

Kuna Mti wake special (Isale) wa ukoo/familia unaoteshwa kwenye eneo maalum ya nyumba yenu ni hapo ndio mnapo fanyia sala/ibada fupi kabla ya kuchinja au kumwagia mbege/maziwa kiasi flan kwenye Ardhi nyingine mna inywa.
 

Binafsi nazipenda na kuziheshimu sana mila za wachaga
 
Binafsi nazipenda na kuziheshimu sana mila za wachaga

Watu wana tafsiri vibaya in reality its not bad at all kwasababu haidhuru au kuumiza mtu. Ukiona mtu kafa sabab ya mila ni sababu kuna vitu alitakiwa kufanya hakufanya (in extreme cases) ni nadra sana mtu kufa.

Utateseka kupatwa na matatzo sanaa au kuumwa bila nafuu ila kufa sidhani. Mtu mjanja anakua anajua tatzo ni nini na akisharekebisha nyumbani mambo yananyooka kazini, biashara, nyumbani na maendeleo ya watoto fresh tu.
 

Shetani anapenda damu sana. Hata wewe leo mtoe kafara mwanao wa kwanza au dingi halafu muambie shetani maneno haya. Lucifer natoa sadaka hii ili niwe tajiri, n=sio urongo ndani ya miezi sita utakua nazo tu. kama unabisha au huna kazi tembelea Mererani, yaani wewe sululu moja tu ardhini unaibuka na bonge la jiwe. Ila tu unaemtoa kafara awe blood relative. Yaani ndugu wa damu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…