Sasa vipi kuhusu Mjomba.Maana yeye peku peku bila viatu.
Juzi alikuwa BBC London na aliingia Studio bila viatu.
Dunia ameivuruga kwa kutembea Nchi mbali mbali peku
Nasikia anamiliki Ghorofa Refu kuliko Yote London.
View attachment 259052View attachment 259053
Wana mazezeta ndani kama wahindi......
HAPO KWENYE RED SIO KWELI
Mmh hapana mimi si practice bali nimesomea tu hizi mambo ila makafara hufikia mpaka wakati unahitajika kutoa roho zisizopungua 20!refer ajali za March...!!!
Mpotezee huyo Niambieni
mimi hii post naiangalia kwa mtazamo hasi kwakuwa mantiki yake ni kutuaminisha kuwa ni kweli utajiri wa ushirikina upo ila una masharti magumu. Katika kipindi hiki ambacho tuna pambana na imani potofu kwamba kumuua albino kunaleta utajiri au bahati, si kipindi cha kuwaeleza watu kuwa ukimuua albino utatajirika isipokuwa masharti yatakuwa magumu zaidi baadae.
Imani hizi huitwa potofu kwakuwa si kweli kwamba kumuua albino kutakufanya ufanikiwe ktk mipango yako.
Ndugu mshana, huoni kwamba post yako yaweza kuwahamasisha watu kutafuta utajiri kwa masharti yawayo yoyote yale ilhali si kweli.
Ndugu mshana hujagundua kuwa makabila au jamii zinazosifika kwa utajiri , nyingi husifika kwa ubahili pia???
Angalia wachagga, wakinga, wapare....makabila haya yanasifika kwa kufanikiwa ktk biashara, lakini pia yanasifika sana kwa ubahili.
Ningependa kuwafahamisha wana jf ya kwamba, hakuna kitu kinaitwa utajiri wa ushirikina wenye masharti magumu, ila ili uwe tajiri lazima uzingatie "masharti ya ujasiliamali" ambayo kimsingi ndiyo huitwa masharti ya kishirikina.
Nakuhakikishia ndugu mwana jf, fanya kazi kwa bidii, kuwa mbunifu, usiwe arrogant, fanya matumizi yale ya muhimu tu, epuka anasa, hakika utafanikiwa bila hata kuongeza kiungo cha albino au kumuua mtoto wako.
Acha kuua ndugu, acha kuua mtoto, acha kuua albino. Zingatia masharti ya ujasiliamali, na utafanikiwa.
Hata hili wimbi la kupotea kwa watoto lina uhusiano mkubwa na hawa watafuta madaraka hasa kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu
kama hawaendeshi magari,hawali nyama,hawavai vizuri,hawendi vacation,hawa enjoy .hiyo pesa haina maana.mi nawaona ni masikini.siyo matajiri. Tajiri unaogopa kula nyama? Ha ha ha h..
zipompa
Thank you.
Nilikua mbishi sanaaa mpaka nlivyo shuhudia Moshi huko kwa macho yangu ni shida ndugu.
There are lots of things going on in the spiritual world. Mila za kichagga ni very powerful na ukifanya masihara wataanguka watu utashangaa na macho yako kama sio kudhurika.
Yupo Aunty yangu flan alitoka nnje ya ndoa akashika mimba nnje na mtu mwingine akamdanganya mmewe ni yake. Yule mtoto wa nnje alivyozaliwa kwenye ile nyumba yao. Kulitokea balaa.
Watoto wengine wa ile nyumba ilikua full kuumwa, hospital ugonjwa hauonekani vitimbi kibao, watu wametoa pesa kibao kutibia. Babu yetu wa ukoo akabutuka akasema ile mimba sio ya nyumba yetu (ukoo wetu) ndio maana.
Mwanamke kubanwa akakubali cz watoto wale wengine wangeweza dhurika kwa kiasi kikubwa. Ikafanywa mila kile kichanga kikarudishwa kimila kwenye ukoo wao (baba yake). Watoto siku mbili nyingi wakapona wote.
Kuna makabila haya dhulumiwi watajua tu, kuweni makini mnapo oa / kuolewa.
Hii ni kweli, kuna jamaa mmoja alikuwa na mchepuko, kumbe mchepuko una mtu mwingine tena demu akapata mimba kwa kuwa jamaa yuko njema akamwambia mimba ni yake lakini jamaa akakubali akalea mimba mtoto akazaliwa akawa anamuhudumia. Baadae mwanamke akapata mtu wa kumuoa akapeleka mtoto kwa jamaa kwa jeuri bila kujali kuwa mkewe hakuwa na taarifa za huyo mtoto, jamaa akaongea na mkewe mtoto akapokelewa. Dec wakaenda moshi kama kawaida hapo mtot ana miaka 4 baada ya kufanya mambo yao tu gafla yule mtoto akawa kama taahira, vinyesi vyote vinamtoka uwezo wa kuelewa hakuna, akaambiwa mwite mama mtoto mwanamke akatumiwa nauli ya ndege toka Dar mpaka kia jamaa kampokea mpaka moshi, anauliza mwanangu anaimwa nn na kilio kikubwa, kufika anaona mtoto haeleweki hata hamtambui mamake akaambiwa ili mwanao awe salama sema ukweli kama huyu ni baba wa mtoto kwa aibu kubwa akasema nilimsingizia si mwanae. Hakulala hapo aliambiwa chukua mwanao wakapelekwa moshi mjini wakalala hapo na hela ya usafiri kurudi kwa mumewe, mpaka leo yule mtoto mzima kabisa na baba halali amekabidhiwa mwanae.
Kumbe shetani anachagua kabila atiee!

Aisee hata wachagga siku hizi ni wachawi sana, hasa wachagga wa rombo na kibosho.. Kwa ujumla uchawi upo enzi na enzi. Hata wazungu ni wachawi wakuu (freemason, illuminat etc). Sema uchawi wao upo more advanced. Lakini makafara wanatoa pia kwa namba kubwa! Hata hivyo vita wanaanzisha kama Iraq, Afghanistan etc, mara nyingi ni makafara in big numbers. Mi namshangaa anaekataa content ya hii mada kuwa hai exist anaishi dunia ganiIla wangetoka kaskazini ndo matajiri halali wakitoka kusini sio halali toa evidence ya uchawi kwa Wakinga
Mila au desturi za makabila sio uchawi/ duniani kote mila zipo hats wazungu wana mila zao,Aisee hata wachagga siku hizi ni wachawi sana, hasa wachagga wa rombo na kibosho.. Kwa ujumla uchawi upo enzi na enzi. Hata wazungu ni wachawi wakuu (freemason, illuminat etc). Sema uchawi wao upo more advanced. Lakini makafara wanatoa pia kwa namba kubwa! Hata hivyo vita wanaanzisha kama Iraq, Afghanistan etc, mara nyingi ni makafara in big numbers. Mi namshangaa anaekataa content ya hii mada kuwa hai exist anaishi dunia gani
Haya masharti yapo. Hata yule bilionea wa kipare wa arusha alieuawa kwa risasi nyingi kuliko mtu yoyote duniani unaemfahamu (inawezekana ndio binadamu alieuawa kwa risasi nyingi sana duniani), alikuwa na utajiri wa kulala na dada zake wote. Yaani hiyo kila mtu alikuwa anajua. Akipiga mzigo wa sister vizuri ndo hela nyingi inavyoingia siku hiyoNa kwenye haya masharti kuna
-ya kulala na mamaako/babaako/mwanao
-kulala na mtoto mdogo/mchanga.ndio maana kuna habari nyingi sana za watu kubaka vitoto vidogo kabisa tena vingine vya miezi tuu
Mi sizungumzii mila za kuchinja mbuzi kutambika kwa wachagga, mi nazungumzia kuua watoto, ndugu, mke etc. Kama yule tajiri wa kichagga mwenye mabasi mazuri kuliko yote yanayotoka arusha kwenda dar alivyomaliza watoto na hivi karibuni mke... Keep your eyes openMila au desturi za makabila sio uchawi/ duniani kote mila zipo hats wazungu wana mila zao,
Nenda S.A desemba uone jinsi bata mzinga wanavyofanyiwa matambiko na wazungu!/
Umekariri ... Siri ya utajiri ni ubahili. !
Kabisa.
Matumizi yakiwa kidogo kuliko mapato lazima utajirike. Ila kama matumizi ni makubwa kuliko mapato utafilisika.