Utajiri wa kishirikina unavyotesa wengi

Sijaelewa kwanini unaipenda mila ya kichaga ilhali ni sawa na uchawi tuu?
jambilo ni ngumu kuelewa sometimes kuwa kwanini mtu anapenda kitu fulani hii ni kwasababu mtu huyo ni 'single entity' inayojitegemea kwa kila kitu
 
Last edited by a moderator:

Kwahiyo unataka kuniambia wana sayansi na wana geographia walitumia uchawi kutambua maeneo yenye madini na kuya plot kwenye map ??

Vp kuhusu vifaa maalum vya kupima maeneo ya madini na kina chake ?? Ni uchawi pia ??
 
wanao enda kwa waganga hasa kijana ambaye ni chini ya miaka 30 ujue maarifa yamekwisha,tena huu mtindo ambao waganga wanalaza mteja wake ni hatari sana...rizika na unacho kipata
 
mshana jr

Mimi nachojiulizaga hizo kafara huwa zina uhusiano gani na utajiri? yani ni process gani inafanya mtu apate hayo mahela baada ya kumuua ndugu/jamaa yake.

Abeli alipotoa sadaka kwa Mungu alikubaliwa lkn Kaini alipotoa yake alikataliwa. Sasa Kaini kamuua nduguye ili:
1) Atakapotoa sadaka next time akubaliwe maana yu peke yake.
2)Arithi mali za ndugu yake.
Mungu alichukia na kumlaani Kaini lakini kwa kuwa Shetani anafanya kinyume na Mungu, akawa upande wa Kaini. Hivyo ndivyo inavyofanyika hata sasa kwa utajiri wa kichawi.
 
Last edited by a moderator:

Ha ha mshana jiandae na huo UPINZANI MKUBWA!!!
 
Last edited by a moderator:
Bado kuna watu wanaulizia uthibitisho! Utafikiri wanaishi mwezini hizi habari zipo nyingi mno na zipo kila mahali kwenye jamii zetu

Bila kumsahau kilenga yule anaepeleka magari yake kule kwenu upareni. %90 matajiri wengi hawakosi mauza uza.
 

Kwa Mungu na kwa shetani kote lazima uende na sadaka ili ufanikiwe. Ila kwa shetani ni maangamizo makuu.
 
Kama ni ulaji wa vijogoo na wapendwa mke , watoto na ndugu kampeni hii ipelekwe Ukingani Makete na Mbozi. Kama ni ni ulaji viungo binadamu linawahusu ukanda wa Ziwa, Subawanga na hususani watia NIA nafasi za Ubunge na Uraisi.
 

Huo ndio uchawi, kwa siku unatengeneza milioni kumi alafu unashindia sukuma wiki.
 

Huko Mbeya ndio usiseme...wakinga walituchungulia sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…