kapumbiti kapumye
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 201
- 53
🙂Mpk tunafika 2020 tz itakuwa ishakimbiwa na wawekezaji karibu wote.
🙂Mpk tunafika 2020 tz itakuwa ishakimbiwa na wawekezaji karibu wote.
Umaekula like yangu mkuu, bila kujali ukweli wa takwimu ulizonazo,umeandika kiadilifu bila ushabiki wala povu..Hadi sasa ripoti zinaonesha 57 trillion cubic feet ambayo ni takribani 1.6 TRILLION Cubic Meters!
1. Gas sio story but it's real... ninachoona ni mitazamo tofauti kati ya JK na JPM. Wakati JK aliamini katika uchumi wa gas, JPM anaonekana kuamini katika uchumi wa madini (achana na porojo za viwanda).
2. Kwamba Gas imechukuliwa na Wachina ni propaganda tu za kisiasa! Kilichofanyika hadi sasa ni exploration tu... uchimbaji wa gas hujafanyika kabisa.
Na katika kufanya exploration, ni makampuni ya mafuta ya Ulaya na America ndiyo yalifanya hiyo kazi kwa pesa zao wenyewe.
There's no way mtu anaweza kutumia mabilioni ya shilingi kufanya exploration halafu agundue gas kisha ampe Mchina.
3. Uchimbaji wa gas, hususani inayopatikana kina kirefu ni very expensive! Industry ya oil na gas kwa ujumla wake ni very expensive! Angalia tu kile kiwanda ambacho kilikuwa ndio kiwe gas processing plant... kilikadiriwa kufikia gharama ya $30 Billion.
So, kwa mazingira ya sasa ambayo serikali haitabiriki itakuja na jambo gani, ni kama limefanya investors wanarudi nyuma kusikilizia! Na wala sioni kama ni top priority ya JPM ukilinganisha na anavyohangaika na madini!
Hahaha yani wewe hukuona swali kwenye kichwa cha habari yake au umeamua tu kutoliona ili umshutumu?! Yeye nimeona ameuliza swali tena liko bolded.yawezekana hufuatilii masuala ya nchi yako, ila umeendekeza siasa. gesi haijaanza kuchimbwa, ila mchakato unaendelea na sasa mazungumzo ya kujenga NLG plant mkoani lindi kwa makampun washirika na serikali unaendelea. mchakato wa gesi is not an overnight event, it is a process, inapitia procedures mbalimbali. ges inayotumika sasa ni ya mda mrefu kutoka msimbati na songosongo, na ndio inayosafirishwa kwa bomba hadi dar es salaam. kama hujui jambo ni vema ukatafuta taarifa sahihi kuliko kubwabwaja tu mitandaoni
Word. Wamakonde walimwagiwa sana maji ya kuwasha na kupigwa mabomu na risasi, kisa wasizuie uwekezaji wa wazungu. Leo kimyaaaaa. Na mgao wa umeme uko pale pale, ilhali tuliambiwa gesi ikiingia nchini basi mgao wa umeme ungekua historia.Serikali laghai huwa hazina mipango madhubuti inayoeleweka zaidi ya blah blah zenye kulaghai wananchi wake kwenye majukwaa ya kisiasa
Hilo nalo lilipita kama la Dr. shikaMiaka kadhaa iliyopita tulipewa taarifa ya ugunduzi wa ma million cubic ya ujazo ya gesi asilia, na moja kwa moja viongozi wa nchi wakatuambia sasa umasikini ndo bye bye. Wimbo maarufu ulikua uchumi wa gesi, huku mahubiri ya kisiasa yakichagizwa na matumaini kwa watanzania kuwa wakati wetu wa kuuaga umasikini umewadia.
Nani asiyemkumbuka Prof. Muhongo alivyosimamia mahubiri haya, lakini pia serikali ya CCM ilivyofikia hadi hatua ya kupeleka Polisi na Jeshi kudhibiti watu kule Kusini ili uchimbaji wa gesi ufanikiwe. Ziara zikafanyika nchini Algeria na Urusi ili kupata uzoefu wa kuendesha uchumi wa gesi.
Cha kushangaza, hakuna tena anayeongelea kuhusu uchumi wa gesi wala kuuaga umasikini kupitia uchumi wa gesi.
Huu utajiri wa gesi umepotelea wapi hivi?
Halafu unakuta spika huyo huyo naye anaunda tume kuchunguza madini ya almasi mwadui,nchi hii haiishi maigizo.Mleta uzi anasahau mswaada ulipitishwa usiku wa manane, wapinzani hawahawa wakiwa wamefukuzwa ukumbini na spika. Ile ilikuwa kuiuza gas hiyo kwa mikataba sawa na ya madini mengine. WaTz hatuna wa kumlaumu tujilaumu wenyewe kwa kuendekeza uongozi huu wa CCM.
Ndio uelewe kwa nini tunaitwa Wadanganyika.Miaka kadhaa iliyopita tulipewa taarifa ya ugunduzi wa ma million cubic ya ujazo ya gesi asilia, na moja kwa moja viongozi wa nchi wakatuambia sasa umasikini ndo bye bye. Wimbo maarufu ulikua uchumi wa gesi, huku mahubiri ya kisiasa yakichagizwa na matumaini kwa watanzania kuwa wakati wetu wa kuuaga umasikini umewadia.
Nani asiyemkumbuka Prof. Muhongo alivyosimamia mahubiri haya, lakini pia serikali ya CCM ilivyofikia hadi hatua ya kupeleka Polisi na Jeshi kudhibiti watu kule Kusini ili uchimbaji wa gesi ufanikiwe. Ziara zikafanyika nchini Algeria na Urusi ili kupata uzoefu wa kuendesha uchumi wa gesi.
Cha kushangaza, hakuna tena anayeongelea kuhusu uchumi wa gesi wala kuuaga umasikini kupitia uchumi wa gesi.
Huu utajiri wa gesi umepotelea wapi hivi?
Lakini si nyie ndio mlikuja kwa mbwembwe zote sasa povu la nini unatoa?yawezekana hufuatilii masuala ya nchi yako, ila umeendekeza siasa. gesi haijaanza kuchimbwa, ila mchakato unaendelea na sasa mazungumzo ya kujenga NLG plant mkoani lindi kwa makampun washirika na serikali unaendelea. mchakato wa gesi is not an overnight event, it is a process, inapitia procedures mbalimbali. ges inayotumika sasa ni ya mda mrefu kutoka msimbati na songosongo, na ndio inayosafirishwa kwa bomba hadi dar es salaam. kama hujui jambo ni vema ukatafuta taarifa sahihi kuliko kubwabwaja tu mitandaoni
Mkuu hao wapinzani wataongelea wapi wakati mikutano ya siasa imepigwa ban?
Serikali ya viwanda ndo yunakomaa nayo. Acheni siasa ati..
Umenichekesha sana. Kwa kweli watu wanajua kucheza na vichwa vya Watanzania.Achana na mambo ya ajabu ajabu ya uchumi wa gesi...kwa sasa tuko kwenye uchumi wa viwanda...mambo ya gesi yashakuwa zilipendwa.
NI kweli, gas ambayo ilileta vurugu kule Mtwara ni gas ya Msimbati. HATA HIVYO, utajiri wa gas inayozungumzwa sio gas ya Msimbati! Gas ya Msimbati ni ya kawaida sana.sir longo GAS YA MSIMBATI NI YA MUDA MREFU? UTAJIRI AMBAO ULIZUNGUMZWA NI WA GAS YA MSIMBATI NA NDIYO ULILETA VURUGU KULE MTWARA NA NDIYO UNAOZUNGUMZWA NA MLETA THREAD, NAHS WEWE NDYO HUFATILII MAMBO.
Extraction sio tatizo kwa sababu makampuni yenye uzoefu na hizo shughuli ndiyo yalikuwa yanafana na imeshafanyika kwa kiasi kikubwa.Hilo nalo lilipita kama la Dr. shika
Na hata takwimu, ni official data!Umaekula like yangu mkuu, bila kujali ukweli wa takwimu ulizonazo,umeandika kiadilifu bila ushabiki wala povu..