Utajiri wa gesi umepotelea wapi?

Utajiri wa gesi umepotelea wapi?

Mhi mkuu mbona ccm na uongoz wa awamu hii ya tano mbona uko vizur tatzo nn
Wako vizuri baadhi ya mambo, lakini yale na wale walioleta shida nchi hii hakuna kitu, walioingiza taifa hili mkenge wa mrahaba 3percent kwa wawekezaji bado wapo hai, na hatuwezi kuwafanya chochote, na ndiyo wanatuamilia tutawaliwe namna gani !!! Huku wakiwaita wapinzani wao malofa, mbumbumbu na wapumbavu. NANI WA KUWAGUSA ?!
 
Wewe ni mtu wa ajabu sana,mimi naongelea habari zingine wewe naye unaongea mambo yako.
Naona ume-panic baada ya kukuonesha ni namna gani ulivyokuwa unakurupuka!!
Mahali nazungumzia production, wewe ukawa unaleta habari za gharama! Hakuna popote ambapo nilizungumzia takwimu za TZ, ukaanza kuhoji naziamini vp hizo!! Halafu bado tu hujafahamu mimi na wewe mtu wa ajabu ni nani??!
Unarukia rukia mambo sana,hivi wewe mhenga mchanga wa dhahabu ni makinikia tu, kwa hiyo nilivyozungumzia habari za helikopta kuja mara 4 kwa wiki wewe ukajua naongelea makinikia au nilivyozungumzia 1g/t ukawa hujui hii habari nimeitoa wapi, sasa kama huijui kwanini tuendelee kuzungumza ili hali vitu ninavyovizungumza hapa huvijui?
Wewe ambae ulitangulia kuni-quote mimi na mimi ambae wala sikuwa na time na posts zako ni nani anayerukia mambo?

That's one but second, hivi bado tu unadhani unafahamu unachoongea?! Kipimo cha g/t kinaangalia metal density from the ore and for this case, it's gold from gold ore! Sasa how come gold ore unaita mchanga?! Na kama unadhani gold ore inakuwa na kiwango kikubwa cha gold ndani yake basi pole sana cuz' you've a lot to learn!

That said, kutaja idadi ya trip za helikopta relative to g/t ni hoja isiyo na msingi manake what matters ni ores kiasi gani inazalishwa!

But on top of that, badala ya kusema gold ore, wewe unakuja na maelezo ya jumla kwamba mchanga! Na mbaya zaidi, umeleta habari za mchanga kwenye post ambayo nilizungumzia makinikia ambayo ndiyo watu wamezoea kuita mchanga wa dhahabu!!!
Hivi unajua katika makundi kadhaa kama vile high grade,medium grade na low grade,mimi nilizungumzia high grade kuwa tone moja ya mchanga wa dhahabu (high grade) unatoa 1g ya dhahabu,sasa iweje kiasi hicho kidogo kinachopatikana kwenye dhahabu helikopta ije mara 4 kwa wiki tena asubuhi na jioni? huoni kama kuna udanganyifu hapo?
Sio mchanga... narudia, hiyo ni gold ore... sijui Kiswahili chake; labda tuite mawe ya dhahabu na kwa kawaida kiwango chake hakiwi kikubwa... migodi mingi inakuwa below 10g/t na kiwango cha 1g/t ni cha kawaida sana!!!

Narudia, what matters ni kiasi gani cha ore kinazalishwa! Hiyo g/t inasaidia sana kufahamu rate of easiness of gold extraction from its ore hapo hapo mgodini!! g/t ikiwa kubwa, basi mchezo mzima unaweza kuishia hapo hapo mgodini at cheap cost! Na g/t ikiwa ndogo kama ilivyo Bugwazi, ndo hapo unalazimika kutengeneza copper concentrates a.k.a makinikia!!!!
umeng'ang'ana kunielezea migodi mikubwa ya barrick huko Marekani ya kazi gani wakati mimi nakusimulia habari ambazo nimeziona kwa macho yangu hapa hapa nyumbani wala siyo huko kwenu Marekani.
Mosi, nilikueleza ni kwanini natoa mifano ya migodi ya US na kama ulishindwa ku-connect dots, that's your problem!!!

Pili, huwa si-entertain habari za kusimulia bali napenda facts!!!

Nikiongea jambo nitaongea with reference and sometimes with figures!!! Hizo habari kusema "uliyoona mwenyewe" tena bila kuwa specific yeyote anaweza kusema as long as hawajibiki kutoa ushahidi!

Btw, hiyo migodi ambayo unadai ulienda kwa kazi maalumu haina jina?!
 
Hiyo gesi si ya kwetu Bali ni ya wawekezaji!!!! Tunaambulia mrahaba!!!! na kodi (kama wakiwa waaminifu kitu ambacho ni nadra)! Kumbuka mikataba ya gesi iliingiwa chini ya sheria ya mafuta na gesi iliyopitishwa kwa "hati ya dharula!!!"!! Upooooo?
 
Hati za dharula Kama tuko vitani
 
Naona ume-panic baada ya kukuonesha ni namna gani ulivyokuwa unakurupuka!!
Mahali nazungumzia production, wewe ukawa unaleta habari za gharama! Hakuna popote ambapo nilizungumzia takwimu za TZ, ukaanza kuhoji naziamini vp hizo!! Halafu bado tu hujafahamu mimi na wewe mtu wa ajabu ni nani??!Wewe ambae ulitangulia kuni-quote mimi na mimi ambae wala sikuwa na time na posts zako ni nani anayerukia mambo?

That's one but second, hivi bado tu unadhani unafahamu unachoongea?! Kipimo cha g/t kinaangalia metal density from the ore and for this case, it's gold from gold ore! Sasa how come gold ore unaita mchanga?! Na kama unadhani gold ore inakuwa na kiwango kikubwa cha gold ndani yake basi pole sana cuz' you've a lot to learn!

That said, kutaja idadi ya trip za helikopta relative to g/t ni hoja isiyo na msingi manake what matters ni ores kiasi gani inazalishwa!

But on top of that, badala ya kusema gold ore, wewe unakuja na maelezo ya jumla kwamba mchanga! Na mbaya zaidi, umeleta habari za mchanga kwenye post ambayo nilizungumzia makinikia ambayo ndiyo watu wamezoea kuita mchanga wa dhahabu!!!Sio mchanga... narudia, hiyo ni gold ore... sijui Kiswahili chake; labda tuite mawe ya dhahabu na kwa kawaida kiwango chake hakiwi kikubwa... migodi mingi inakuwa below 10g/t na kiwango cha 1g/t ni cha kawaida sana!!!

Narudia, what matters ni kiasi gani cha ore kinazalishwa! Hiyo g/t inasaidia sana kufahamu rate of easiness of gold extraction from its ore hapo hapo mgodini!! g/t ikiwa kubwa, basi mchezo mzima unaweza kuishia hapo hapo mgodini at cheap cost! Na g/t ikiwa ndogo kama ilivyo Bugwazi, ndo hapo unalazimika kutengeneza copper concentrates a.k.a makinikia!!!!Mosi, nilikueleza ni kwanini natoa mifano ya migodi ya US na kama ulishindwa ku-connect dots, that's your problem!!!

Pili, huwa si-entertain habari za kusimulia bali napenda facts!!!

Nikiongea jambo nitaongea with reference and sometimes with figures!!! Hizo habari kusema "uliyoona mwenyewe" tena bila kuwa specific yeyote anaweza kusema as long as hawajibiki kutoa ushahidi!

Btw, hiyo migodi ambayo unadai ulienda kwa kazi maalumu haina jina?!
Unajua sana siasa mzee eti gold ore,
Wantanzania tumejaaliwa sana ujuaji kwa hiyo mimi nikisema 'high grade' wewe unajua naongelea mchanga au mawe ya mtoni siyo gold ore.
Umebakia kugeuka geuka tu.Ujuaji ujuaji kama wako huu ndiyo umeifikisha nchi yetu hapa.
 
israel yenyewe imegundua gase kabla yetu na haijauza hata lita tano za gase,ijekuwa gase ya mtwara ya mwaka juzi?
 
Hivi kikwete si yumo huku?
Aje atuambie alifanya nini na utajiri wa gasi wa vizazi vya wanetu!
 
Back
Top Bottom