Utajiri wa gesi umepotelea wapi?

Utajiri wa gesi umepotelea wapi?

Kwa hiyo mkuu unataka kutuaminisha kwamba hiyo Gas iliyopo deep sea italeta uchumi hapa Tanzania?,hakuna watu wa hovyo kama wanasiasa na wale woote wanaowalinda hovyo sana,why do you praise these stupid politicians,you know what? they work for satan, they are satanism,they can eat you alive ,there on throne not to make you live happy and enjoy on this earth never ever,they can suck you're blood anytime you go against them, they 're shit dude.
They can tell you anything sweet,they can tell you never told stories,sometimes they can make you dance they're sweet music like uchumi wa viwanda au uchumi wa gas au kilimo kwanza au BRN,these dude politicians they can't take you anywhere even to the promised land.
Where's your point exactly?! Unabisha suala la kugundulika gas huko Kusini mwa Tanzania au unapinga nini hasa?!
 
Mleta uzi anasahau mswaada ulipitishwa usiku wa manane, wapinzani hawahawa wakiwa wamefukuzwa ukumbini na spika. Ile ilikuwa kuiuza gas hiyo kwa mikataba sawa na ya madini mengine. WaTz hatuna wa kumlaumu tujilaumu wenyewe kwa kuendekeza uongozi huu wa CCM.
Huyu shetani anaetumbua watuni kiongozi msanii kuliko tapeli yeyote duniani,bora Trump aendelee kuvurumisha matusi labda 4G itasoma kwa nyumbu ways wanaotuhadaa kwa kuhama Kenya to Tanzania then opposite
 
Are you aware of recently price decline of natural gas worldwide? If so could this not affect the investing morale of due investors? In that course, how could someone shout natural gas is still a big economic deal?
Innovation outside ccm is required.those are monkey with tail.
 
Utawasikia "Tupo kwenye michakato"
Kwa sasa utasikia "Tupo kwenye upembuzi yakinifu"
Kuna maneno ya kiserikali hua wanaongeaga yanakera kweli....
Wamakonde walijua ndo wameshauaga umaskini kwa kugunduliwa iyo gesi ila mpaka sasa wanashindia mlo mmoja kwa siku
 
Hakuna mwekezaji wa kuwekeza matrillioni tanzania katika kipindi hichi tunachopita. Wenye vitalu vyao wameamua kusubiri mpaka hali ieleweke zaidi. Kiuwekezaji, ni dhambi kubwa kuchukua hela za wanahisa na kuzidumbukiza mahali unapojua zinaenda kufa badala ya kuzalisha.

Naona Statoil, mmoja wa wenye vitalu, ameamua kutumia muda huu kufanya kampeni ya kuwaekewesha watz faida ya uwekezaji mkubwa mkubwa. Angalia ITV wakati wa taarifa ya habari utaona nachosema. Imebidi waingie hii gharama kwa sababu wamegundua watz tumehubiriwa siasa ya ujamaa muda mrefu mno mpaka tunaona mwekezaji mkubwa yeyote ni mnyonyaji. Watz wanaamini kuwa kazi ya mzungu ni kutoa msaada tu, na wakiona anafanya biashara au kuwekeza kitega uchumi basi fasta wanasema anatuibia au anatunyonya.
Kumbe Ndo mana wakina Ghati Mwita walipelekwa Norway na Statoil??? Damn!
 
AMANI..
UZALENDO SIYO PALE SIYO PALE UHURU WAKO UNAKOISHIA NDIPO WANGU UNAKOANZIA, HAPANA.
PAMOJA NAKUWEKA BAYANA MAKOSA AU MAPUNGUFU AU UTENDAJI ENYE KHITLAFU YA AINA YEYOTE, NIVYEMA KUZINGATIA SHERIA NA KANUNI ZA NCHI KTK HUOUKOSOWAJI.
LA SIVYO, UTAKUA UNATENDA KOSA JUU YA KOSA.
UZALENDO NI KUIHESHIM BENDERA YA NCHI NA NCHI KWAUJUMLA, BILA MATUSI AU KASHFA.
ZUNGUMZIA MASWALA KWAKUTUMIA MANENO SAHIH NA BUSARA YAKUELEZA :
"WEWE UNGEFANYA 1) 2) 3)" ..
TOA MAONI YAKO NA USHAURI WENYE MANUFAA NA JINSI GANI UNGEONA SAHIH UTEKELEZAJI.

U Z A L E N D O
Hahaha mbona hata wewe mzalendo sijaona ushauri wako kwa wazalendo wenzako?!
Uzalendo ni ujinga, kuona makosa alafu unamshangilia mfanya makosa. Wale unaodhani wanaakili kufanya yanayostahili wame shindwa sasa wanaimba tu Tanzania ya viwanda. Mimi ni mzalendo kwa nchi yangu lakini siyo kwa viongozi wajinga. Silazimishwi kumpenda unayrmpenda wewe, natumia ufahamu wangu kuona mazuri na mabaya. Hadi sasa hakuna zuri hata moja,wameboronga tangu wameingia madarakani. Unataka nisifie ujinga?! Sitaki kufanya hivyo, na sitaki kuwa na fikra kama zako. Mimi nitawaza na kachanganua kivyangu nawe sifia kivyako.
Wapo wanaolipwa kushauri, kwanini nifanye kazi yao?! Mimi nimeamua kukosoa tu, huwezi kumshauri mjinga.
 
yawezekana hufuatilii masuala ya nchi yako, ila umeendekeza siasa. gesi haijaanza kuchimbwa, ila mchakato unaendelea na sasa mazungumzo ya kujenga NLG plant mkoani lindi kwa makampun washirika na serikali unaendelea. mchakato wa gesi is not an overnight event, it is a process, inapitia procedures mbalimbali. ges inayotumika sasa ni ya mda mrefu kutoka msimbati na songosongo, na ndio inayosafirishwa kwa bomba hadi dar es salaam. kama hujui jambo ni vema ukatafuta taarifa sahihi kuliko kubwabwaja tu mitandaoni
Sasa kulikuwa na haja gani kuupitisha harakaharaka bungeni kama bao la jogoo
 
Where's your point exactly?! Unabisha suala la kugundulika gas huko Kusini mwa Tanzania au unapinga nini hasa?!
Ha ha ha ha! where is you're point exactly,ha ha ha ha! people of the Republic of Danganyika.
we have got diamond,gold,gas,urenium,Nikel and all shit,does these stuff take you anywhere?
 
Miaka kadhaa iliyopita tulipewa taarifa ya ugunduzi wa ma million cubic ya ujazo ya gesi asilia, na moja kwa moja viongozi wa nchi wakatuambia sasa umasikini ndo bye bye. Wimbo maarufu ulikua uchumi wa gesi, huku mahubiri ya kisiasa yakichagizwa na matumaini kwa watanzania kuwa wakati wetu wa kuuaga umasikini umewadia.

Nani asiyemkumbuka Prof. Muhongo alivyosimamia mahubiri haya, lakini pia serikali ya CCM ilivyofikia hadi hatua ya kupeleka Polisi na Jeshi kudhibiti watu kule Kusini ili uchimbaji wa gesi ufanikiwe. Ziara zikafanyika nchini Algeria na Urusi ili kupata uzoefu wa kuendesha uchumi wa gesi.

Cha kushangaza, hakuna tena anayeongelea kuhusu uchumi wa gesi wala kuuaga umasikini kupitia uchumi wa gesi.

Huu utajiri wa gesi umepotelea wapi hivi?
baba naona umejilipua
 
Ha ha ha ha! where is you're point exactly,ha ha ha ha! people of the Republic of Danganyika.
we have got diamond,gold,gas,urenium,Nikel and all shit,does these stuff take you anywhere?
Jibu ulichoulizwa badala ya kujichekesha chekesha!

Btw, mie nilizungumzia suala zima la uwepo wa gas! Sasa unadhani hiyo hoja inahusiana na nilichosema mimi?

Lemme tell you something... read the comment-- understand it-- respond na sio unakimbilia ku-respond wakati hujui una-respond nini!
 
Jibu ulichoulizwa badala ya kujichekesha chekesha!

Btw, mie nilizungumzia suala zima la uwepo wa gas! Sasa unadhani hiyo hoja inahusiana na nilichosema mimi?

Lemme tell you something... read the comment-- understand it-- respond na sio unakimbilia ku-respond wakati hujui una-respond nini!
Ok sawa ngoja tusubiri hiyo gas yako ya deep sea,African tuna matatizo sana.
Tusijibizane sana mkuu drop it.
 
Mbona washaanza kutandaza mabomba ya gesi hadi kila Nyumba,soon mambo ya kuangaika na mitungi kubeba Yana kwisha

Ova
 
Ok sawa ngoja tusubiri hiyo gas yako ya deep sea,African tuna matatizo sana.
Tusijibizane sana mkuu drop it.
Eti gas yako! Mleta mada kahoji how come hamna lolote kuhusu gas iliyokuwa iliyokuwa inapigiwa mbiu na akina Muhongo hadi kufikia kupeleka polisi!

Nilichofanya ni kutofautisha kati ya gas waliyokuwa wanaisema akina Muhongo ambayo haijachimbwa hata kidogo na gas ya Mnazi Bay ambayo ndiyo walipelekwa polisi!

Sasa hoja yako kwamba am appraising stupid politician inatoka wapi?! Hiyo gas ilikuwa explored na politicians?
 
Nenda kwanza kugoogle projects za oil and gas huwa zinachukua muda gani.

Ukishamaliza kugoogle; Rudi hapa uone kama kulikua na ulazima wowote wa kupost mada yako.
 
Back
Top Bottom