Cicero
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,924
- 3,075
Bei za dunia za mafuta na gesi kwa sasa haziruhusu uwekezaji mkubwamiaka kadhaa iliyopita tulipewa taarifa ya ugunduzi wa ma million cubic ya ujazo ya GAS asilia, na moja kwa moja viongozi wa nchi wakatwambia sasa umaskini ndo bye bye. Wimbo maarufu ulikua UCHUMI WA GAS, huku mahubiri ya kisiasa yakichagizwa na matumaini kwa watanzania kuwa wakati wetu wa kuuaga umaskini umewadia.
Nani asiyemkumbuka Prof Muhongo alivyosimamia mahubiri haya, lakini pia serikali ya CCM ilivyofikia hadi hatua ya kupeleka POLIS na JESHI kudhibiti watu kule kusini ili uchimbaji wa GAS ufanikiwe. Ziara zikafanyika nchini Algeria na URUSI ili kupata uzoefu wa kuendesha uchumi wa gas
CHA KUSHANGAZA, hakuna tena anayeongelea kuhusu UCHUMI WA GAS wala kuuaga umaskini kupitia UCHUMI WA GAS.
HUU UTAJILI WA GAS umepotelea wapi hivi??
♂️

Duh!
OPTIMISTIC POSITIVE THINKING IS HEALTHY AND CREATIVE