Utajiri wa gesi umepotelea wapi?

Utajiri wa gesi umepotelea wapi?

yawezekana hufuatilii masuala ya nchi yako, ila umeendekeza siasa. gesi haijaanza kuchimbwa, ila mchakato unaendelea na sasa mazungumzo ya kujenga NLG plant mkoani lindi kwa makampun washirika na serikali unaendelea. mchakato wa gesi is not an overnight event, it is a process, inapitia procedures mbalimbali. ges inayotumika sasa ni ya mda mrefu kutoka msimbati na songosongo, na ndio inayosafirishwa kwa bomba hadi dar es salaam. kama hujui jambo ni vema ukatafuta taarifa sahihi kuliko kubwabwaja tu mitandaoni
Are you aware of recently price decline of natural gas worldwide? If so could this not affect the investing morale of due investors? In that course, how could someone shout natural gas is still a big economic deal?
 
Miaka kadhaa iliyopita tulipewa taarifa ya ugunduzi wa ma million cubic ya ujazo ya gesi asilia, na moja kwa moja viongozi wa nchi wakatuambia sasa umasikini ndo bye bye. Wimbo maarufu ulikua uchumi wa gesi, huku mahubiri ya kisiasa yakichagizwa na matumaini kwa watanzania kuwa wakati wetu wa kuuaga umasikini umewadia.

Nani asiyemkumbuka Prof. Muhongo alivyosimamia mahubiri haya, lakini pia serikali ya CCM ilivyofikia hadi hatua ya kupeleka Polisi na Jeshi kudhibiti watu kule Kusini ili uchimbaji wa gesi ufanikiwe. Ziara zikafanyika nchini Algeria na Urusi ili kupata uzoefu wa kuendesha uchumi wa gesi.

Cha kushangaza, hakuna tena anayeongelea kuhusu uchumi wa gesi wala kuuaga umasikini kupitia uchumi wa gesi.

Huu utajiri wa gesi umepotelea wapi hivi?
Mkuu hii ni one of the Shithole countries usitegemee la maana lolote.
 
yawezekana hufuatilii masuala ya nchi yako, ila umeendekeza siasa. gesi haijaanza kuchimbwa, ila mchakato unaendelea na sasa mazungumzo ya kujenga NLG plant mkoani lindi kwa makampun washirika na serikali unaendelea. mchakato wa gesi is not an overnight event, it is a process, inapitia procedures mbalimbali. ges inayotumika sasa ni ya mda mrefu kutoka msimbati na songosongo, na ndio inayosafirishwa kwa bomba hadi dar es salaam. kama hujui jambo ni vema ukatafuta taarifa sahihi kuliko kubwabwaja tu mitandaoni

Kwa hyo mkuu tuendelee kuiisubir gas
 
Mleta uzi anasahau mswaada ulipitishwa usiku wa manane, wapinzani hawahawa wakiwa wamefukuzwa ukumbini na spika. Ile ilikuwa kuiuza gas hiyo kwa mikataba sawa na ya madini mengine. WaTz hatuna wa kumlaumu tujilaumu wenyewe kwa kuendekeza uongozi huu wa CCM.
Kwani kura yako uliwapa CCM Mjomba?
 
We mchochezi sie tuko busy tunawaelezea wanainchi kuhusu uchumi Wa viwooonder we unaturudisha nyuma ndio nyie wasaliti
 
Hahaha kuwa mzalendo ni mimi kuwa na mawazo sawa na yako? Au kuamini kwamba ysnayofanywa na serikali ni sahihi hata kama mimi naona siyo sahihi?! Au ndio kusifia uongo na kupindisha ukweli?!
Wachimbaji wote huwa wanaondoka bila kufukua mashimo, kuthibitisha kasome report ya bulyankhulu uone, hivyo kukumbusha wataalamu wetu waje nataaluma hiyo ni kuipunguzia nchi gharama kutafuta kampuni za kigeni kufukia mahandaki. Uzalendo upi unataka niwe nao, zaidi ya huo?! Au wewe ni miongoni mwa vijana mliohitimu JKT tulioambiwa mmeenda kujifunza kuwa wazalendo?! Tufundisheni huo uzalendo mpya basi nasi tuufahamu.
AMANI..
UZALENDO SIYO PALE SIYO PALE UHURU WAKO UNAKOISHIA NDIPO WANGU UNAKOANZIA, HAPANA.
PAMOJA NAKUWEKA BAYANA MAKOSA AU MAPUNGUFU AU UTENDAJI ENYE KHITLAFU YA AINA YEYOTE, NIVYEMA KUZINGATIA SHERIA NA KANUNI ZA NCHI KTK HUOUKOSOWAJI.
LA SIVYO, UTAKUA UNATENDA KOSA JUU YA KOSA.
UZALENDO NI KUIHESHIM BENDERA YA NCHI NA NCHI KWAUJUMLA, BILA MATUSI AU KASHFA.
ZUNGUMZIA MASWALA KWAKUTUMIA MANENO SAHIH NA BUSARA YAKUELEZA :
"WEWE UNGEFANYA 1) 2) 3)" ..
TOA MAONI YAKO NA USHAURI WENYE MANUFAA NA JINSI GANI UNGEONA SAHIH UTEKELEZAJI.

U Z A L E N D O
 
Hadi sasa ripoti zinaonesha 57 trillion cubic feet ambayo ni takribani 1.6 TRILLION Cubic Meters!

1. Gas sio story but it's real... ninachoona ni mitazamo tofauti kati ya JK na JPM. Wakati JK aliamini katika uchumi wa gas, JPM anaonekana kuamini katika uchumi wa madini (achana na porojo za viwanda).

2. Kwamba Gas imechukuliwa na Wachina ni propaganda tu za kisiasa! Kilichofanyika hadi sasa ni exploration tu... uchimbaji wa gas hujafanyika kabisa.

Na katika kufanya exploration, ni makampuni ya mafuta ya Ulaya na America ndiyo yalifanya hiyo kazi kwa pesa zao wenyewe.

There's no way mtu anaweza kutumia mabilioni ya shilingi kufanya exploration halafu agundue gas kisha ampe Mchina.

3. Uchimbaji wa gas, hususani inayopatikana kina kirefu ni very expensive! Industry ya oil na gas kwa ujumla wake ni very expensive! Angalia tu kile kiwanda ambacho kilikuwa ndio kiwe gas processing plant... kilikadiriwa kufikia gharama ya $30 Billion.

So, kwa mazingira ya sasa ambayo serikali haitabiriki itakuja na jambo gani, ni kama limefanya investors wanarudi nyuma kusikilizia! Na wala sioni kama ni top priority ya JPM ukilinganisha na anavyohangaika na madini!
Safi sana mkuu, maelezo yako yamejitosheleza. Nimelizungumzia mara nyingi suala hili humu lakini inaonekana wengi hawana ufahamu sahihi juu ya suala la gas ya mtwara ikiwa ni kwa kutofuatilia taarifa mbalimbali zihusuzo nchi yao au wadau kutotoa elimu ya nini kinachoendelea hadi sasa kwa gas ya mtwara.

Kama ambavyo umeandika hapo juu, mkuu wa nchi inaonyesha alichotilia mkazo kwa sasa ni madini tena sana sana ni dhahabu pekee labda na tanzanite kidogo. Viwanda kiukweli bado sijaona ameweka mkazo sana. Endapo angekuwa "serious" na kuchukulia kwa "uzito" kama alivyofanya kwenye sgr, dhahabu, stieglers gorge (ingawa sijui tuta-finance vipi kwa billions of USD) basi tungeshapiga hatua fulani.

Tukirudi kwenye gas ya mtwara, kuwekeza trillions almost 70 za Tanzania si jambo la kukurupuka tu. Kuna vitu vingi lazima mwekezaji aangalie hasa kwenye kodi. Mara nyingi huwa wanapenda kupewa incentives fulani(ambazo zinaweza kuwa za kinyonyaji pia) ili warudishe haraka invested capital na kuanza tengeneza faida. Sasa nadhani wameona kwa sera za kodi za utawala huu ni bora kwanza wasubiri.

Hali hii pia ndio iliyoikumba chuma cha liganga na makaa ya mawe ya mchuchuma vitu ambavyo ni msingi mzuri wa heavy industries lakini mkuu huku ni kama vile hakuoni.
 
Sumu kubwa waliomezeshwa watanzania ni kuaminishwa kwamba wao ni matajiri, utajiri wa maliasili, kuliko nchi yoyote ile duniani hivyo hawapaswi kufanya kazi wasubiri kula tu. Hii ni sumu iliyoharibu mindset za watanzania wengi sana
 
Cha kushangaza hata bei ya gesi bado kubwa mno huku ikiwa ardhini kwetu!
Hivi tunajuwa bei za petroli Saudia, USA, Brunei, Qatar, Kuwait..? Wenzetu kule ndio wanafaidi aise...
Gasoline prices:

Find:
Gasoline prices, liter
Gasoline prices, 22-Jan-2018: The average price of gasoline around the world is 1.16 U.S. Dollar per liter. However, there is substantial difference in these prices among countries. As a general rule, richer countries have higher prices while poorer countries and the countries that produce and export oil have significantly lower prices. One notable exception is the U.S. which is an economically advanced country but has low gas prices. The differences in prices across countries are due to the various taxes and subsidies for gasoline. All countries have access to the same petroleum prices of international markets but then decide to impose different taxes. As a result, the retail price of gasoline is different.

Venezuela
Turkmenistan
Kuwait*
Iran
Egypt*
Algeria*
Ecuador
Syria
Nigeria
Qatar*
Uzbekistan*
Bahrain
Saudi Arabia
Bolivia*
Oman*
Kazakhstan
UA Emirates*
Tr.&Tobago
Malaysia*
Iraq
Burma
Belarus*
Kyrgyzstan*
Afghanistan
Ethiopia
Indonesia*
Russia*
Azerbaijan
Mongolia
Pakistan*
USA*
Tunisia
Puerto Rico
Panama*
Sierra Leone
Angola
Liberia
Lesotho
Colombia*
Sri Lanka*
Lebanon*
Suriname
Benin
Botswana
Dominica
Guinea
Sudan
Bhutan
El Salvador*
Vietnam*
Haiti
Guatemala*
Georgia*
Tanzania*
Togo
Yemen
Philippines*
Taiwan*
Namibia
Guyana
Ghana*
Nicaragua*
Nepal*
Cambodia*
Fiji*
Honduras*
Uganda*
Mexico*
Ukraine*
Aruba*
Saint Lucia*
Mozambique
Kenya*
Paraguay
Costa Rica*
Bangladesh
Moldova*
Swaziland
Peru*
Chad
DR Congo
Canada*
Australia*
Mauritania
Thailand*
Ivory Coast*
Malawi*
Bahamas
Gabon
Burkina Faso
China*
Laos*
Madagascar
South Africa*
India*
Cameroon
Cayman Isl.*
Jamaica*
Grenada
Argentina*
Morocco*
Rwanda*
Bosnia & Herz.
Burundi
Domin. Rep.*
Bulgaria*
Cuba
Japan*
Cape Verde*
Chile*
Senegal
Brazil*
Mali
Macedonia*
Jordan*
Andorra*
Mauritius*
Poland*
Lithuania*
Zimbabwe
Romania*
South Korea*
Hungary*
Belize
Zambia*
Luxembourg*
Latvia*
Serbia*
Austria*
Czech Rep.*
Turkey*
Cyprus*
Spain*
Estonia*
New Zealand*
Montenegro*
Slovenia*
Singapore*
Malta*
Slovakia*
C.A. Republic
Croatia*
Switzerland*
Albania
Barbados*
Liechtenstein
Germany*
UK*
San Marino
Ireland*
Belgium*
Uruguay*
Finland*
Mayotte*
France*
Israel*
Portugal*
Sweden*
Wallis and Futuna Islands
Denmark*
Greece*
Italy*
Netherlands*
Hong Kong*
Monaco
Norway*
Iceland*
graph.php

Gasoline prices around the world, 22-Jan-2018 | GlobalPetrolPrices.com

Wenzetu wanahurumiwa na kufaidi na rasilimali za nchi, siyo sisi...
 
Safi sana mkuu, maelezo yako yamejitosheleza. Nimelizungumzia mara nyingi suala hili humu lakini inaonekana wengi hawana ufahamu sahihi juu ya suala la gas ya mtwara ikiwa ni kwa kutofuatilia taarifa mbalimbali zihusuzo nchi yao au wadau kutotoa elimu ya nini kinachoendelea hadi sasa kwa gas ya mtwara.

Kama ambavyo umeandika hapo juu, mkuu wa nchi inaonyesha alichotilia mkazo kwa sasa ni madini tena sana sana ni dhahabu pekee labda na tanzanite kidogo. Viwanda kiukweli bado sijaona ameweka mkazo sana. Endapo angekuwa "serious" na kuchukulia kwa "uzito" kama alivyofanya kwenye sgr, dhahabu, stieglers gorge (ingawa sijui tuta-finance vipi kwa billions of USD) basi tungeshapiga hatua fulani.

Tukirudi kwenye gas ya mtwara, kuwekeza trillions almost 70 za Tanzania si jambo la kukurupuka tu. Kuna vitu vingi lazima mwekezaji aangalie hasa kwenye kodi. Mara nyingi huwa wanapenda kupewa incentives fulani(ambazo zinaweza kuwa za kinyonyaji pia) ili warudishe haraka invested capital na kuanza tengeneza faida. Sasa nadhani wameona kwa sera za kodi za utawala huu ni bora kwanza wasubiri.

Hali hii pia ndio iliyoikumba chuma cha liganga na makaa ya mawe ya mchuchuma vitu ambavyo ni msingi mzuri wa heavy industries lakini mkuu huku ni kama vile hakuoni.
You're very RIGHT... nadhani watu wanachanganya kati ya gas ambayo ilishagundulika tangu zamani na kuchimbwa (ambayo ni Songo songo na Mnazi Bay) pamoja na gas boom iliyogundulika hivi sasa... iliyokuwa inapigiwa sana debe na JK pamoja na Muhongo.

Na hilo la kuchukulia seriousness, ndiyo hasa hoja yangu! JPM anaonekana wazi jinsi alivyo serious kwenye madini and especially, gold. Kwa maoni yangu, ingawaje simaanishi anatakiwa kupotezea sekta ya madini lakini energy anayotumia kwenye madini ni kubwa mno kuliko productivity yake.

Na si kwamba productivity ni ndogo kwavile tu tunaibiwa, bali madini hayana productivity kubwa kiasi hicho kama ambavyo watu tunadhani!
 
Sawa sawa, nafikiri pia uchimbaji wa madini ambayo yanaweza saidia katika ukuzwaji wa viwanda kama chuma ni muhimu pia. Maana ni madini ambayo hata nchi zetu za ulimwengu wa tatu zinamatumizi nayo kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na tanzanite au dhahabu.
 
Upo sahihi kabisa... tena kuna thread kabisa niliandika though sijai-post inayozungumzia hizi sekta mbili:- Sekta ya Madini na Nishati, hususani gas.
 
Miaka kadhaa iliyopita tulipewa taarifa ya ugunduzi wa ma million cubic ya ujazo ya gesi asilia, na moja kwa moja viongozi wa nchi wakatuambia sasa umasikini ndo bye bye. Wimbo maarufu ulikua uchumi wa gesi, huku mahubiri ya kisiasa yakichagizwa na matumaini kwa watanzania kuwa wakati wetu wa kuuaga umasikini umewadia.

Nani asiyemkumbuka Prof. Muhongo alivyosimamia mahubiri haya, lakini pia serikali ya CCM ilivyofikia hadi hatua ya kupeleka Polisi na Jeshi kudhibiti watu kule Kusini ili uchimbaji wa gesi ufanikiwe. Ziara zikafanyika nchini Algeria na Urusi ili kupata uzoefu wa kuendesha uchumi wa gesi.

Cha kushangaza, hakuna tena anayeongelea kuhusu uchumi wa gesi wala kuuaga umasikini kupitia uchumi wa gesi.

Huu utajiri wa gesi umepotelea wapi hivi?
We unaishi dunia gani? Mbona unataka kuturudisha kwenye Stone Age? Hivi kweli wewe hujui kua sisi tupo kwenye uchumi wa viwanda kwa nini uongelee masuala ya gesi badala ya viwanda? We don’t want to go back to Stone Age we want to advance and make our nation an industrialised nation punto final
 
si yule bibi aliigeuza iwe maji vp walishamtoa rumande
 
NI kweli, gas ambayo ilileta vurugu kule Mtwara ni gas ya Msimbati. HATA HIVYO, utajiri wa gas inayozungumzwa sio gas ya Msimbati! Gas ya Msimbati ni ya kawaida sana.

Gas ambayo Muhongo alikuwa anataka kutoana macho na akina Mengi ipo deep sea na kiasi kikubwa kimegundulika mkoani Lindi.
Kwa hiyo mkuu unataka kutuaminisha kwamba hiyo Gas iliyopo deep sea italeta uchumi hapa Tanzania?,hakuna watu wa hovyo kama wanasiasa na wale woote wanaowalinda hovyo sana,why do you praise these stupid politicians,you know what? they work for satan, they are satanism,they can eat you alive ,there on throne not to make you live happy and enjoy on this earth never ever,they can suck you're blood anytime you go against them, they 're shit dude.
They can tell you anything sweet,they can tell you never told stories,sometimes they can make you dance they're sweet music like uchumi wa viwanda au uchumi wa gas au kilimo kwanza au BRN,these dude politicians they can't take you anywhere even to the promised land.
 
Back
Top Bottom