Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 21,854
- 27,024
Mkonge tena???Kabla ya gesi walisema pia mkonge wa mawasiliano ukishakamilia,gharama za mawasiliano zitakuwa ndogo......leo hii mkonge ulikamilika na gharama bado ni kubwa
Mkonge tena???Kabla ya gesi walisema pia mkonge wa mawasiliano ukishakamilia,gharama za mawasiliano zitakuwa ndogo......leo hii mkonge ulikamilika na gharama bado ni kubwa
miaka kadhaa iliyopita tulipewa taarifa ya ugunduzi wa ma million cubic ya ujazo ya GAS asilia, na moja kwa moja viongozi wa nchi wakatwambia sasa umaskini ndo bye bye. Wimbo maarufu ulikua UCHUMI WA GAS, huku mahubiri ya kisiasa yakichagizwa na matumaini kwa watanzania kuwa wakati wetu wa kuuaga umaskini umewadia.
Nani asiyemkumbuka Prof Muhongo alivyosimamia mahubiri haya, lakini pia serikali ya CCM ilivyofikia hadi hatua ya kupeleka POLIS na JESHI kudhibiti watu kule kusini ili uchimbaji wa GAS ufanikiwe. Ziara zikafanyika nchini Algeria na URUSI ili kupata uzoefu wa kuendesha uchumi wa gas
CHA KUSHANGAZA, hakuna tena anayeongelea kuhusu UCHUMI WA GAS wala kuuaga umaskini kupitia UCHUMI WA GAS.
HUU UTAJILI WA GAS umepotelea wapi hivi??
Utajiri wa kweli ni akili (kichwani). Rasilimali za asili hugeuka kuwa utajiri kama una akili. Kama huna akili, rasilkmali hizo huweza kugeuka hata kuwa laana.miaka kadhaa iliyopita tulipewa taarifa ya ugunduzi wa ma million cubic ya ujazo ya GAS asilia, na moja kwa moja viongozi wa nchi wakatwambia sasa umaskini ndo bye bye. Wimbo maarufu ulikua UCHUMI WA GAS, huku mahubiri ya kisiasa yakichagizwa na matumaini kwa watanzania kuwa wakati wetu wa kuuaga umaskini umewadia.
Nani asiyemkumbuka Prof Muhongo alivyosimamia mahubiri haya, lakini pia serikali ya CCM ilivyofikia hadi hatua ya kupeleka POLIS na JESHI kudhibiti watu kule kusini ili uchimbaji wa GAS ufanikiwe. Ziara zikafanyika nchini Algeria na URUSI ili kupata uzoefu wa kuendesha uchumi wa gas
CHA KUSHANGAZA, hakuna tena anayeongelea kuhusu UCHUMI WA GAS wala kuuaga umaskini kupitia UCHUMI WA GAS.
HUU UTAJILI WA GAS umepotelea wapi hivi??
Ni viwanda vyenyewe hasa tunaongelea vyerahani visivyopungua vinne.Achana na mambo ya ajabu ajabu ya uchumi wa gesi...kwa sasa tuko kwenye uchumi wa viwanda...mambo ya gesi yashakuwa zilipendwa.
Me binafsi sio mchaga ni mnyamwezi,, Ila huwa najuta kwann sijazaliwa uchagani au unyakyusani au kwa wahaya, , hayo ni makabila ya watu wanaojielewa na wenye upeo, na wanachukia umaskini, tofauti na wewe mndengereko ambae kwenye nyumba yako ya nyasi umefunga mbendera wa CCM hadi nyumba inataka kuanguka kwa kuzidiwa na uzito wa benderaAwamu hii wachaga tumeumia
Serikali laghai huwa hazina mipango madhubuti inayoeleweka zaidi ya blah blah zenye kulaghai wananchi wake kwenye majukwaa ya kisiasa
vyerehani vinne vitashona labda uniforms za wanafunzi tu wakifungua shule, apart from that watu wanavaa mitumbasaa hz ni uchumi wa viwanda..nunua vyerehani vi4 mambo yaendelee
NadhariaKuna nadharia inaitwa Resources Curse au "The Paradox of Plenty"!!! Isome inaweza kukusaidia kujibu hii hoja yako
Na pia walopitisha takataka hizo eti ndo wanajisifu kuwa wazalendo.Mleta uzi anasahau mswaada ulipitishwa usiku wa manane, wapinzani hawahawa wakiwa wamefukuzwa ukumbini na spika. Ile ilikuwa kuiuza gas hiyo kwa mikataba sawa na ya madini mengine. WaTz hatuna wa kumlaumu tujilaumu wenyewe kwa kuendekeza uongozi huu wa CCM.
Mbona umecomment kama kuna bifu..?? YEYE AMEULIZA TU. Ulitakiwa kumjibu na sio kumtolea povu.yawezekana hufuatilii masuala ya nchi yako, ila umeendekeza siasa. gesi haijaanza kuchimbwa, ila mchakato unaendelea na sasa mazungumzo ya kujenga NLG plant mkoani lindi kwa makampun washirika na serikali unaendelea. mchakato wa gesi is not an overnight event, it is a process, inapitia procedures mbalimbali. ges inayotumika sasa ni ya mda mrefu kutoka msimbati na songosongo, na ndio inayosafirishwa kwa bomba hadi dar es salaam. kama hujui jambo ni vema ukatafuta taarifa sahihi kuliko kubwabwaja tu mitandaoni
mh.Waziri alisema ukiwa na hivyo ni viwanda tayariV
vyerehani vinne vitashona labda uniforms za wanafunzi tu wakifungua shule, apart from that watu wanavaa mitumba
Kweli kabisa wapinzani wanapaswa kujenga hoja zenye mantiki ili kuufahamisha umma namna gani taifa hili linakosa mwelekeo wa kiuchumi sababu ya mipango mingi kufanywa pasipo utafiti wa kutosha na matokeo yake kunakosekana ubora wa mipango husikaMkuu hizi ndio hoja wapinzani wanapaswa kupanda nazo majukwaani kuonyesha umma kwamba wanahadaiwa. Hili la uchumi wa gas likipata mtu mzuri wakati wa hizi kampeni dakika 5 tu kila mkutano litawafanya ccm kupanda jukwaani kujitetea na sio kuuzia wananchi maendeleo Kiduchu/hewa. Akipatikana mpinzani mwingine, anasifia kidogo ujenzi wa SGR ili kuchota akili za wananchi, kisha anakandamiza maelezo ya kina yatolewe kwanini reli zilizoko zimedondoka mpaka kufanya chini ya ufanisi, na matatizo hayo hayatoikumba reli hii mpya? Kuna mambo mengi wapinzani wanaweza kuifanyia damage serekali ya ccm bila kuingia kwenye mikwaruzano isiyo na sababu.
Big ShooKuna member hapa alipambana sana na ile issue ya gesi kutoka Mtwara. ID yake imenitoka kidogo lakini kwa kweli alijitahidi sana mpaka akala ban za kutosha! Sijui yuko wapi siku hizi.
miaka kadhaa iliyopita tulipewa taarifa ya ugunduzi wa ma million cubic ya ujazo ya GAS asilia, na moja kwa moja viongozi wa nchi wakatwambia sasa umaskini ndo bye bye. Wimbo maarufu ulikua UCHUMI WA GAS, huku mahubiri ya kisiasa yakichagizwa na matumaini kwa watanzania kuwa wakati wetu wa kuuaga umaskini umewadia.
Nani asiyemkumbuka Prof Muhongo alivyosimamia mahubiri haya, lakini pia serikali ya CCM ilivyofikia hadi hatua ya kupeleka POLIS na JESHI kudhibiti watu kule kusini ili uchimbaji wa GAS ufanikiwe. Ziara zikafanyika nchini Algeria na URUSI ili kupata uzoefu wa kuendesha uchumi wa gas
CHA KUSHANGAZA, hakuna tena anayeongelea kuhusu UCHUMI WA GAS wala kuuaga umaskini kupitia UCHUMI WA GAS.
HUU UTAJILI WA GAS umepotelea wapi hivi??
Aubameyang.AUB ndo nani mkuu