Utajiri wa Freeman Mbowe

naona wengi mmekurupuka na kujibu na hamna hata mmoja mwenye jibu naona porojo tu,kamuulizen kwanza mcjifanye mnajua kila kitu
 
Unakwepa kwa kujifanya hujui kiswahl acha upoyoyo mengi huyajui kijana
Hujaenda kikokotozi zaidi!....Unataka watu wahoji upatikanaji, kivipi?...Zipatikane ili iweje?..Unazitaka?...my hairs!Ungeanza na kutaja baadhi ya mali zake unazoziona ni za hatari, huenda ungewavutia baadhi ya wachangiaji!Wewe sema una haja ya kujua Mbowe anamiliki nini....basi!Acha utoto bana!
 
No comments kwani ingekuwa hivyo ana mali za wizi wangemlipua tu kipindi cha kkuomba kura. Mkuu Jipange na Bandiko lako uje tena.
 
Huna hoja ya msingi baba yake alikuwa na mashamba mengi ya ngano na shayiri tangu kabla ya uhuru, ukoo wao ni wa kitajiri so ameendeleza mali. una dukuduku jingine?
babaake unamjua na unahakika mali zote alizonazo zimetokana na alichorithi!!tafakar kijana
 
Nape kawakaa mdomon km mate kuwaonyesha ni kias gan anawasumbua vichwa,mwacheni jaman ila polen
Mali ni yake usilete roho korosho ya CCM. Mbona hamtuelezi SUKITA iliishia wapi?Join Date : 26th June 2011Posts : 23Thanks0Thanked 0 Times in 0 PostsRep Power : 0NAONA UMEANZA KAZI YA NEPI/NAPE leo.
 
Nawaomba wanacdm mkamuulize m.kiti wenu vizuuur juu ya upatikanaji wa mali anazomiliki!!msijifanye kusafisha tu nje kumbe ndani Kuwa uozo

Kama babako hana hata baskeli ya kukuachia urithi ni shughuli pevu kutoka kimaisha ndugu. Mlaumu dingi yako kwa kutokuhangaika enzi hizo. kwa hiyo usiwe na wivu ndugu, jitahidi kutafuta utapata na wewe vya kwako.

Kwenye historia kuna tetesi kwamba mzee Mbowe alisaidia sana chama cha TANU na pia mwalimu aliondokea Arusha baada ya kupata fedha wakati anaenda kuhutubia mkutano wa kimataifa UNO enzi hizi za kudai uhuru. kwa hiyo usishangae freeman anajuana na kina makongoro tangu utoto. upo hapo? lol na mzee mawe alikuwa nayo toka enzi hizo.

Fanya kazi, Tuliza moyo wako, ongeza kipato, punguza matumizi yako, kubali mapungufu yako, chunga tamaa ni mbaya - UTAFANIKIWA. ha ha ha
 
huna sababu ya kujudge, kwanza hayakuhusu na ukome kuulizia masuala ya Mwenyekiti wetu. ulizia utajiri wa magamba wote then ulete ripot hapa jamvin then utapewa za Mwenykit wetu Mpendwa
 
Aliwahi kuwa waziri CCM? yeye anahangaika mwenyewe hivyo utajiri wake sisis hautuhusu, shida yetu sui ni hawa wanamagamba hawa inzi wa kijani amabo wameuza kila kitu kwa manufaa yao na handsome wao. madini faida iko wapi? mbuga za wanyama, misitu, wote wamekuwa matajiri. Kama utaweza sema yeye naye kajijengea kijiji chalinze na lushoto sawa. mnawadhulumu wananchi ardhi kuwauzia mafisadi, mnanyang'anya hata kile kidogo walicho nacho kwa visingizio vya wawekezaji. Jamani hamtosheki tu? Sasa mmekushne hatudanganyiki Haki elimu

Nawaomba wanacdm mkamuulize m.kiti wenu vizuuur juu ya upatikanaji wa mali anazomiliki!!msijifanye kusafisha tu nje kumbe ndani Kuwa uozo
 
hivi ukikopa unahesabika mwizi siku hizi?
Huwa nashangaa sana watu wanapo muonda Mbowe kama mwizi kwenye swala la NSSF...kama mtu kafata taratibu zote za mkopo, mnawitaje mwizi na kama kashindwa kuripa si kuna sheria au kwenye makubaliano walikubaliana vipi kama atashindwa kulipa na makampuni mengi yakishindwa kulipa huwa yanafanywa nini, je mbowe alikopa binafsi au kama kampuni je hiyo kampuni iko wapi, je hivyo kampuni haina mali, je mbowe ana hisa ngapi kwenye hiyo kampuni...
 
Kama babako hana hata baskeli ya kukuachia urithi ni shughuli pevu kutoka kimaisha ndugu. Mlaumu dingi yako kwa kutokuhangaika enzi hizo. kwa hiyo usiwe na wivu ndugu, jitahidi kutafuta utapata na wewe vya kwako.

Kwenye historia kuna tetesi kwamba mzee Mbowe alisaidia sana chama cha TANU na pia mwalimu aliondokea Arusha baada ya kupata fedha wakati anaenda kuhutubia mkutano wa kimataifa UNO enzi hizi za kudai uhuru. kwa hiyo usishangae freeman anajuana na kina makongoro tangu utoto. upo hapo? lol na mzee mawe alikuwa nayo toka enzi hizo.

Fanya kazi, Tuliza moyo wako, ongeza kipato, punguza matumizi yako, kubali mapungufu yako, chunga tamaa ni mbaya - UTAFANIKIWA. ha ha ha
ELININO, mistari imetulia sana. Njoo kwangu niwe promota wako nikutoe. Tehe tehe! Unajua humu JF wale watu waliotumwa kuchafua ni bahati mbaya uwezo wao ni wachini sana. Sasa kama huyu lijamaa anakuja na swali badala ya kutoa akijuacho kama vile si tuko chumba cha mtihani? huu si ubwege?
 
Nawaomba wanacdm mkamuulize m.kiti wenu vizuuur juu ya upatikanaji wa mali anazomiliki!!msijifanye kusafisha tu nje kumbe ndani Kuwa uozo

Bwana mdogo huna makosa kuuliza swali hilo. Uko sahihi kabisa kwa sababu humfahamu Freeman Mbowe na wala baba yake humfahamu. Nawaomba na wana JF msimkanyage sana huyu kijana maana ni mgeni jijini. Inaelekea kaja juzi tu kutoka hukoooo. Kaja na train kumuona mjomba wake baada ya kuona jiji kaamua harudi kule tena. Bwana mdogo sisi hatuna haja ya kwenda kumuuliza FM amepata wapi mali alizo nazo kwa kuwa tuna historia yake. Na ndiyo maana hata posho zisizostahili hazitaki. Ukitaka kuuliza watu waliopata mali wanaopaswa kujibu maswali ni akina mzee wa vijisenti, JK/RK, RA, NM, BM, EH na wengine wengi tu humo humo list ni ndefu. Fikiria kurudi kwenu ukaendelee kuchunga ng'ombe wa baba yako.
 
Back
Top Bottom