Utajiri wa Freeman Mbowe

Utajiri wa Freeman Mbowe

Tupe rekodi km mh. Mbowe alifanya ufisadi,ujambaz,uuzaji madawa ya kulevya, biashara haramu, ama kama baba yake alitumia cheo chake kukwiba mabilioni ya waTz akampa. Km huna recod ya hata kimojawapo, NENDA KWA GAMBA MWENZIO RIDHIWANI KIKWETE MUULIZE YE KATOA WAPI UBILIONEA WAKE?
 
Kuna mijitu mingine huwa inakubali kutumiwa vibaya, loh, hii thread nadhani uliandika bila kutawaza baada ya kuwa umetumika
 
Hahaha Umejishtukia mwenyewe kwan limeeandikwa jukwaa la siasa,muda nlioingia sidhan km ni tatizo
Weewe umetumwa...kufanya kampeni za siasa hapa kitu ambacho wajanja wengi wameishastukia..... Kila post unayoweka ni siasa tu ndani ya siku mbili kama sio moja tangu umeingia ni yale yale yale up to 33 posts... Uliingia hapa juzi 26 June. Fanya kazi yako ukichoka utaondoka tu... Bora ungeanzisha mada zingine sio za siasa.
 
Kuna mijitu mingine huwa inakubali kutumiwa vibaya, loh, hii thread nadhani uliandika bila kutawaza baada ya kuwa umetumika
Ndo mawazo finyu ya wavaamagwanda kila mtu anatumika km nyie tena mnatumiwa km toilet paper alaf mnatupwa
 
Hainihusu mi namtambua kama mwenyekiti wangu taifa na ninamheshimu.
o.k kumbe alikopo!kama ni hivyo sioni tatizo lipo wapi!labda kuwe na jingine lililojificha,tusubili majibu ya mr nduka!!!
 
ukweli ni kuwa, ukiona mfanyabiashara yupo katika chama pinzani kama Mbowe au Ndesamburo basi ujue hawana biashara za kimagumashi, maana yake wapo safi na wanajiamini otherwize wangeshafilisiwa long tym na wangeshaishia jela. Kulitambua hili haihitaji wewe kufika form four.
 
Nawaomba wanacdm mkamuulize m.kiti wenu vizuuur juu ya upatikanaji wa mali anazomiliki!!msijifanye kusafisha tu nje kumbe ndani Kuwa uozo
Kawaulize kwanza walioichafua thitiem hadi wanataka kujitoa magamba,sijui siku 90 baado,baada ya hapo kamuulize Rizi 1
 
Tupe rekodi km mh. Mbowe alifanya ufisadi,ujambaz,uuzaji madawa ya kulevya, biashara haramu, ama kama baba yake alitumia cheo chake kukwiba mabilioni ya waTz akampa. Km huna recod ya hata kimojawapo, NENDA KWA GAMBA MWENZIO RIDHIWANI KIKWETE MUULIZE YE KATOA WAPI UBILIONEA WAKE?
tehehehee! peopleeeeeeee
 
huna sababu ya kujudge, kwanza hayakuhusu na ukome kuulizia masuala ya mwenyekiti wetu. Ulizia utajiri wa magamba wote then ulete ripot hapa jamvin then utapewa za mwenykit wetu mpendwa
thumb up for you! Well said
 
vijana wa nape wanatupozea muda tu hapa no hoja zao
 
mwenyekiti wa cdm hoyeeeeee for ur information kak ni mc hapakazi c mkora kama toto lenu riziki one anaengojea mdingi atuchakachue ndo apate umilionea,na hata akiachiwa hizo mali hawez kuzendeleza km mbowe wetu! sababu ni kilaza plas plas na kama wamekutuma magamba wambie sisi magwanda tupo ngangari .vilaza tuu wez wakubwa wa mali za watz
 
Nawaomba wanacdm mkamuulize m.kiti wenu vizuuur juu ya upatikanaji wa mali anazomiliki!!msijifanye kusafisha tu nje kumbe ndani Kuwa uozo
kwani anamiliki mali zipi na zipi?ungetuolezeshea unazo zijua ilituweze kumhoji kilahisi,na pia naomba utuainishie nizipi ambazo unawasiwasi nazo ili tuconcetrate zaidi wakati wa kumhoji.
 
Mh,nadhan uvutie subira tujadil ufisadi wa magamba unaozorotesha uchum wa nchi and then tutarud kwa wengne,tusiwapunguzie kasi wapiganaji wetual
 
Mfanyabiashara aliye upinzani hana ukakasi katika shughuli zake
Kama huamini kawaulize wafanya biashara wakubwa kwa nini wanasupport CDM kisiri huku kwenye majukwaa wakijifanya CCM/
Muulize mmiliki wa Hotel aliyekuwa katibu wa CCM MWANZA yalimkuta yapi baada ya kuhamia CUF?
 
Back
Top Bottom