Utajiri wa Freeman Mbowe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utajiri wa Freeman Mbowe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Michelle Hilton, Jun 29, 2011.

 1. M

  Michelle Hilton Senior Member

  #1
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 141
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nawaomba wanacdm mkamuulize m.kiti wenu vizuuur juu ya upatikanaji wa mali anazomiliki!!msijifanye kusafisha tu nje kumbe ndani Kuwa uozo
   
 2. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  wewe huwa hatuhoji madhambi ya mitume.
   
 3. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,056
  Likes Received: 3,978
  Trophy Points: 280
  Hajawahi kuwa serikalini na hajawahi kuwa
  na biashara ya magendo au kukwepa kodi
   
 4. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Wala hajawahi kukwiba pesa za NSSF
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Jun 29, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Hujaenda kikokotozi zaidi!....Unataka watu wahoji upatikanaji, kivipi?...Zipatikane ili iweje?..Unazitaka?...my hairs!
  Ungeanza na kutaja baadhi ya mali zake unazoziona ni za hatari, huenda ungewavutia baadhi ya wachangiaji!
  Wewe sema una haja ya kujua Mbowe anamiliki nini....basi!
  Acha utoto bana!
   
 6. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #6
  Jun 29, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  basi alikwiba na Dr dau
   
 7. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #7
  Jun 29, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,438
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Ana mali za kurithi, Mbowe Hotel (Bilicanas) ilikuwepo toka Freeman akiwa mtoto.
   
 8. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #8
  Jun 29, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  hajamiliki mgodi wa makaa ya mawe kiwira
   
 9. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #9
  Jun 29, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mali ni yake usilete roho korosho ya CCM. Mbona hamtuelezi SUKITA iliishia wapi?
  Join Date : 26th June 2011
  Posts : 23
  Thanks0Thanked 0 Times in 0 Posts

  Rep Power : 0

  NAONA UMEANZA KAZI YA NEPI/NAPE leo.
   
 10. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #10
  Jun 29, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Taarifa za mali na madeni ya Mbowe, kama ilivyo kwa wabunge wengine, iko kwenye Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma! Kama una shaka na mali zake ukaiulize hiyo Tume!
   
 11. Chilipamwao

  Chilipamwao JF-Expert Member

  #11
  Jun 29, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 514
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Huna hoja ya msingi baba yake alikuwa na mashamba mengi ya ngano na shayiri tangu kabla ya uhuru, ukoo wao ni wa kitajiri so ameendeleza mali. una dukuduku jingine?
   
 12. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #12
  Jun 29, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Akikuwa atajua kujenga hoja sasa hivi anakurupuka kama MS.
   
 13. mama yuva

  mama yuva JF-Expert Member

  #13
  Jun 29, 2011
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 211
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ni kweli zake yeye za kurithi na anazifanyia kazi, hajawa kwenye system ya posho za vikao na wahiriki hewa. Ridhiwani mali katoa wapi?
   
 14. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #14
  Jun 29, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Umemjibtu vyema.Sasa akakue halafu arudi mwakani.Kenge dume!
   
 15. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #15
  Jun 29, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Tungeanza na mkuu wa nchi na familia yake ingekuwa vizuri zaidi!!!
   
 16. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #16
  Jun 29, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  hivi ukikopa unahesabika mwizi siku hizi?
   
 17. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #17
  Jun 29, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kitabu gani cha mungu kinatoa maagizo hayo?au ni maagizo kutoka kwenye kichwa chako kizuri!!
   
 18. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #18
  Jun 29, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Tujuze mkuu kama una taarifa zozote kuhusiana na hili jambo!!kuwa muwazi acha kutupa nahau na misamiati,huu ni wakati wa uwazi!!
   
 19. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #19
  Jun 29, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Yote mijizi tu.
   
 20. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #20
  Jun 29, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  O.k kumbe alikopo!kama ni hivyo sioni tatizo lipo wapi!labda kuwe na jingine lililojificha,tusubili majibu ya Mr Nduka!!!
   
Loading...