nguluvisonzo
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 515
- 72
Huna hoja ya msingi baba yake alikuwa na mashamba mengi ya ngano na shayiri tangu kabla ya uhuru, ukoo wao ni wa kitajiri so ameendeleza mali. una dukuduku jingine?
huyu sio fisadi kama anvyofikiriwa,pamoja na ulivyotaja Chilipmwao ambavyo ni vya urithi huyu jamaa ni mzalendo kwelikweli la sivyo angeishi ulaya kama ndugu zake.hivi unaweza kuhoji utajiri wa kina Munanka(watoto wa Bwoke Mnanka)? au Rupia Au Sykes, tunahoji watu kama E.L,Mzee wa visenti na wengine kama hawa kwakuwa back ground yao ni sana kwenye utumishi wa umma na hawakuwa na wazazi wenye pesa kabla ya uhuru.