Utajiri wa Freeman Mbowe

NSSF alikopa kwa jina lake, hakuanzisha kagoda wala green finance feki kama za vigogo wa CCM.
Pili, baba yake alitoa fedha nyingi sana kwa ajili ya kuchangia harakati za uhuru, ikiwemo nauli ya Nyerere kwenda New York. Vinginevyo, angekuwa na zaidi ya hizi fedha alizo nazo sasa.
 
Unamaanisha baba yake aliye mlea mzee mbowe? Maana baba yake kafa masikini tu na hakuwa na makuu mzee wa watu mungu amrehemu.
 
hebu tumuulize na huyu mbabu anamiliki umaskini kiasi gani, maana kina rostam na lowasa walimtumia sana

196514_196297573738009_100000733047937_565696_2633414_n.jpg
 
hebu tumuulize na huyu mbabu anamiliki umaskini kiasi gani, maana kina rostam na lowasa walimtumia sana

Anzisha thread yake hapa acha watu wajikanyage kuhusu utajiri wa Mbowe. Kuna watu wanadhani Freeman ni 'mtoto' pekee wa mzee Mbowe kwa hiyo wanahalalisha mali zake na urithi, nendeni Mkamuulize Chale kaka yake Freeman urithi wao ulivyogawanywa, na kwa nini yeye Chale sio milionea kama kweli baba yake aliwaachia utajiri.
 
Watanzania hawamchukii mtu tajiri. Wanachochukia mtu kupata utajiri kupitia njia za udanganyifu. Kama Mbowe alipata pesa zake kwa ufisadi kama wa MEREMETA, DEEP GREEN FINANCE, SUKITA, KAGODA, RICHMOND, DOWANS NK sawa. Tunaomba ushahidi uteletee hapa jamvini.

Usipofanya hivyo tutakuona unapaka RANGI UPEPO
 
Ajikanyage au wavaa magwanda mjikanyage ,asante lkn kwa kumtoa uyo muharibu mada
Anzisha thread yake hapa acha watu wajikanyage kuhusu utajiri wa Mbowe. Kuna watu wanadhani Freeman ni 'mtoto' pekee wa mzee Mbowe kwa hiyo wanahalalisha mali zake na urithi, nendeni Mkamuulize Chale kaka yake Freeman urithi wao ulivyogawanywa, na kwa nini yeye Chale sio milionea kama kweli baba yake aliwaachia utajiri.
 
Anzisha thread yake hapa acha watu wajikanyage kuhusu utajiri wa Mbowe. Kuna watu wanadhani Freeman ni 'mtoto' pekee wa mzee Mbowe kwa hiyo wanahalalisha mali zake na urithi, nendeni Mkamuulize Chale kaka yake Freeman urithi wao ulivyogawanywa, na kwa nini yeye Chale sio milionea kama kweli baba yake aliwaachia utajiri.
Unaonekana hata mila za Kichagga huzifahamu. And for that matter hata mila za Kiafrika.
 
Unamaanisha baba yake aliye mlea mzee mbowe? Maana baba yake kafa masikini tu na hakuwa na makuu mzee wa watu mungu amrehemu.
pimbi wa mawazo magari aliyotumia nyerer mengi yalitoka kwa mzee mbowe akupenda makuu wala uongozi katka serikal ya nyerere bali yeye alitaka kupewa jina la heshima. Akawa anaitwa mheshimiwa mbowe
 
Nawaomba wanacdm mkamuulize m.kiti wenu vizuuur juu ya upatikanaji wa mali anazomiliki!!msijifanye kusafisha tu nje kumbe ndani Kuwa uozo

Weewe umetumwa...kufanya kampeni za siasa hapa kitu ambacho wajanja wengi wameishastukia..... Kila post unayoweka ni siasa tu ndani ya siku mbili kama sio moja tangu umeingia ni yale yale yale up to 33 posts... Uliingia hapa juzi 26 June. Fanya kazi yako ukichoka utaondoka tu... Bora ungeanzisha mada zingine sio za siasa.
 
Back
Top Bottom