Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Mkuu ebu wacha kutania ina maana huijui ccm kuwa ni ileile?Hapa ndiyo tutajua kama mzee wa majipu yupo serious au anafanya usanii, kama atamuacha huyu jamaa nitajua ni usanii
Mkuu ebu wacha kutania ina maana huijui ccm kuwa ni ileile?Hapa ndiyo tutajua kama mzee wa majipu yupo serious au anafanya usanii, kama atamuacha huyu jamaa nitajua ni usanii
Watetezi wake njooni, mzee anaumbuliwa humu

Cc:lizaboniDuh kweli Kikwete aliigeuza nchi hii shamba la bibi. Jamaa aliingia NSSF hajiwezi hata kumalizia nyumba yake ya kuishi halafu anatoka anamiliki timu ya Newcastle United na Mike Ashley!!!!! (Kama ni kweli)
Basi nchi imetafunwa kwa kiwango Kikubwa, kama tuhuma hizi ni za kweli kumpeleka mahakamani peke yake na kumfunga haitoshi, inatakiwa afilisiwe na waana wa Tanganyika warudishiwe mali zao. Zile Derm Tower hata zikiwa Hostel za wanafunzi wa IFM itasaidia kurudisha machungu. Na ile ya pale opposite na Mlimani City Derm Tower tuigeuze hostel ya Ardhi University
Linaaandika habari za uchunguzi, na ni lazima ziwe na uhakika na mrejesho piaIvi hili gazeti la Dira halinaga habari zaidi ya Dr. DAU?
Kuongea kwenye mitandao na uhalisia ni vitu 2 tofauti maana huyo mke mwenyewe huna kazi majungu na kushinda madukani kwa mhindi kuhemea sembeNinayo ruksa ya kuongeza mke wa pili.
Je ungependa offer hiyo?
Ni kwa kununua hisaBillion 100.utamiliki timu UK? Jamani tuwe wa kweli jamani!
Mndendeule kaamua kujitoa akiliKwi kwi kwi,..... Amekuelewa vizuri sana mkuu
Hile pale opossite na mlimani city sio jengo la NSSF wao wamekodi tu me namjua mmiliki wa lile jengo na ndugu yake ni kigogo NSSF ndio alimsaidia ktk kupata wapangajiDuh kweli Kikwete aliigeuza nchi hii shamba la bibi. Jamaa aliingia NSSF hajiwezi hata kumalizia nyumba yake ya kuishi halafu anatoka anamiliki timu ya Newcastle United na Mike Ashley!!!!! (Kama ni kweli)
Basi nchi imetafunwa kwa kiwango Kikubwa, kama tuhuma hizi ni za kweli kumpeleka mahakamani peke yake na kumfunga haitoshi, inatakiwa afilisiwe na waana wa Tanganyika warudishiwe mali zao. Zile Derm Tower hata zikiwa Hostel za wanafunzi wa IFM itasaidia kurudisha machungu. Na ile ya pale opposite na Mlimani City Derm Tower tuigeuze hostel ya Ardhi University
Wataalam wa moyo wa Kikwete sasa waanza kuvuka anga la TanzaniaWasiingizwe mgogoro wa kidini wale masheikh original wa Uamsho wanaolawitiwa keko sembuse huyu choli asiyekuwa na cheo chochote kwenye taasisi yoyote ya dini? Au umesahau Sheikh Ponda katiwa lupango kwa muda gani na vijambio vyenu wote mliufyata? Ashkimajinun wahed.
Kama mlizoea kuishi kwa upambe wa kumboomboom Alhaj Dau huo muda sasa umepita tafuteni vibarua.
Mshahara na marupurupu yake yanalingana na utajiri huokwani mtu kuwa tajiri ni dhambi?
nashangaa kuna watu watamnanga dr dau kuwa tajiri wakisema kuwa alikuwa mtumishi wa umma so hakupaswa kuwa tajiri and the funny thing kuwa watu hao hao miezi mitano iliyopita walitaka kumwingiza madarakani RAIS ambaye utajiri wake ulikuwa una mashaka walikuwa hawahoji jamaa kapataje utajiri
mukulu asalam aleikum!; wewe ni muumin au kafir? unapo shahadia kwamba mfumo Kristo umefuzu, jee allah wako amelala au yuko likizoa?¿ kasome kunnuti, muhalila, al badri...si ndio allah amekufaridhia hizo silaha? umesoma hivyo visomo? kwa mini unatupigia kelele za fitna humu?! kwa taarifa wanaotesa/kuteseka humu ni Wakristo, waislam, na wapagani...njoo huku uswazi nikuonyeshe Mkristo anaeteseka kwa kushindwa cha kuvaa, pakulala, na kushindwa kupata raqaa moja ya Siku chozi litakuto hata ukiwa na roho ya ibilisi, na utakoma mbweraa zako! njoo uone huku shule za kata watoto wa kisilamu, kikristo, kipagani wanao kalia mawe darasani na kulishwa unga na nyinyi ili wawe mateja!; hao mmoja wao anapo nunua kachori ima kalanga wanavyo shirikiana mateso yao kuawana kwa upendo bila kujali huyu deen gani! leo yule muislam anaeishi oster bay serena hotel na kutesa unadai eti Mkristo anakudhulumu! hahahahaaa...wee unatumia kiungo gani kutafakari dogo? kweli ashki majunini..kwa fitna yako hiyo na ghilba unayoifanya kwa kujua IMA kutojua..laanatulah...Hata ikiwa vatican poa tuh..
Kaen mkijua kabisa kuwa hii nchi siyo mali ya kanisa...
We are telling you guys mambo ya kuendekeza mfumo kristo kama mlivyozoea tokea enz ya nyerere hayawez kuwa kama mnavyofikiria...
Hii nchi ni yetu sote na hzo fitna..udini wenu na chuki zenu peleken mnakojua...
Tunafaham kila kinachoendelea...makosa ambayo may be wazee wetu waliyafanya sisi hatutakuja kuruhusu yakijirudia...ndo iko hivyo.
Wale wale kina nani?
Hamna kitu kinaitwa daraja la dau, ni daraja la kigamboni au la NSSF daraja la dau kalitafute oman labda utalipataHivi daraja la Dau linafunguliwa rasmi lini vile?
Haya ndio midhara ya kuanza chuo kabla ya elimu ya msingi, hivi unajitoa akili kwamba haujui 100% inagawanyika mara ngapi?Uwongo mwingine bana bil 100 alafu ue mmiliki wa newcastle
Hayo mawazo yako ni sawa na usemi wa wahenga wa ALIYE JUU MGOJE CHINI,unajua atashuka lini?Mimi nasema hivi tuendelee kuwaombea walio matajili kwani walibebwa na mfumo na sisi tulio masikin tumuombe mungu atupe mfumo wetu utubebe.hata tulipig kelele haitusaidii kitu.cha msingi wawakumbuke masikini na ombaomva wote tanzania.hakuna mtu alipenda kuzaliwa masikin.waachen wale bata na sis tule vumbi.pesa siyo msingi wa maendeleo bana.
Mkuu huyo ni mwana hisaNi kwa kununua hisa