Utajiri wa Dr. Dau unashtua

Ni sawa kabisa Mkuu, na lile daraja livunjwe maana hatuwezi kutumia vitu vya kifisadi
 
Duh Hili Daraja la Dau kufunguliwa limewaletea shida kubwa sana wasiompenda Dr.

Eti mmiliki wa New castle, Sasa anafanya nini uchwarani, si angeenda zake akale samaki kwa ice cream
Hivi lugumi yupo wapi vile
 

Kufikili [sic] inaweza kuwa taabu. Ila kufikiri, Watanzania tuna uwezo wa kufikiri.

Swali: Ukinunua 3% ya hisa za Kampuni A, je utakuwa miongoni mwa wa wamiliki wa Kampuni A au la? [Ps. Kampuni A haifanyi biashara ya nyanya. Mfano, Kampuni A = New Castle United.]
 
Eti Eeeh...

Unaonekana una taarifa nyingi sana katika hilo...sasa kwann umezikalia mkuu?

Why usizipeleke Takukuru?

Teh teh teh...

Watu nuksi sana nyinyi...


WEWE INAONEKANA NI MGUMU SANA KUELEWA. JAMAA #AlagasmVeda HAJAHAKIKISHA KUWA DK DAU KANUNUA HISA, BALI KAKUPA MAANA HALISI YA UMILIKI. SASA TAKUKURU AENDE KUFANYA NINI?

KIUFUPI HATA MWENYE HISA MOJA KATIKA KAMPUNI, NI MMILIKI WA KAMPUNI HIYO.

BILA KUINGILIA HOJA YA MSINGI, HAIHITAJI UWE NA TRILLIONS OF SHILLINGS KUWA KATI YA WAMILIKI WA KAMPUNI KUBWA. KINACHOTAKIWA NI WEWE KUNUNUA HISA TU KWA THAMANI NA IDADI INAYOTAKIWA, AMBAYO KIMSINGI HUWA SI PESA NYINGI SANA ZA KUTISHA.

MFANO TAREHE 15/04/2016 SHARE MOJA YA MANCHESTER UNITED PLC ILIKUWA NI $14.12 (http://www.hl.co.uk/shares/shares-search-results/m/manchester-united-plc-usd0.0005-a) SAWA NA TAKRIBANI TSH 30,000/=. SO KAMA WATASEMA UWE NA ANGALAU HISA 1,000,000 (kwa kadirio la juu nililofanya) UTAWEKEZA TSHS 30,000,000,000 (BILIONI 30 ZA KITANZANIA).

KWA HIYO BILA KUWA NA USHABIKI WA UPANDE WOWOTE, TUJIELIMISHE JUU YA UMILIKI WA MAKAMPUNI MAKUBWA, KUWA HAIHITAJI UWE NA FEDHA ZA AJABU ZISIZO TAMKIKA.

UKIINGIA MTANDAO WA FORBES (http://www.forbes.com/teams/newcastle-united/ ) UNAONA HADI MAY 2015 THAMANI YA NEWCASTLE UNITED ILIKUWA $ 349M (TAKRIBANI SHILINGI BILIONI 630 ZA KITANZANIA) SO UNAWEZA PATA PICHA YA MTU ANAYEWEKEZA HATA BILIONI 3 TU. KUMBUKA KUWA ANAYEJULIKANA KUWA NI MMILIKI MICHAEL ASHLEY, ATAKUWA NA ZAIDI NUSU YA IDADI YA HISA. SO HAO WENGINE WANANYANG'ANYANA HIYO NUSU.

SO NENO UMILIKI LINAWEZA TUMIKA KISIASA PIA, IJAPOKUWA ANAWEZA KUWA ANAMILIKI KWA FEDHA HALALI KABISA.

HOJA YANGU NI KUWA TUSIONE KAMA KUMILIKI NI KITU KISHICHOWEZEKANA, NI SUALA LINALOWEZEKANA KABISA KWA WATANZANIA WENGI TU KUWEKEZA HUKO.

JUU YA USAFI AU UFISADI WA DAU, TUNA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA VITALICHUNGUZA HILO
 
Kwi kwi kwi,..... Amekuelewa vizuri sana mkuu
 
Cc:zzk ujitathmini tena kwa kauli zako za kumtetea huyo dau
 
Mkuu kabisa kabisa...

Na hawa walikuwa hawana shauku ya kupigania huo uhuru kwa kuwa walikuwa wananufaika na mfumo huoo..

Even though wazee wetu hawakupigania uhuru ili kuifanya nchi iwe ya kiislam...ila sasa naona imegeuka kabisa kabisa...

Jamaa wamedhamiria kabisa kutaka kujenga classes za haves na haves not ndan ya nchi hii...

Haifai kabisa
 
Anyway kwa sasa tuendelee ku speculate hadi hapo ukweli utakapowekwa wazi. Ila ni uhakika kuwa kampuni ya Derm imefanya kazi ya uhandisi wa umeme katika miradi yote ya NSSF na pia inadaiwa kuwa ushemeji humo ndani...

Ili kumtendea haki Dr Dau inahitajika Objective investigation ili asafishwe au kupelekwa mahakamani
 
Na hiz choko choko wanaanza wao
 
Mimi naomba katiba yetu ifanyiwe marekebisho haraka sana kifungu cha rais aweze kushitakiwa na huu wa kikwete na wateule wake ni mfano halisi
 
Ni sawa kabisa Mkuu, na lile daraja livunjwe maana hatuwezi kutumia vitu vya kifisadi
Daraja ni letu limejengwa kwa fedha zetu, yeye tulimtuma tu kusimamia shirika lililojenga daraja na kama kuna hela imepigwa lazima abebe dhamana ya kufungwa jela. Kama hajapiga hela na hana makandokando apongezwe na jina lake litatukuzwa na vizazi vingi vijavyo
 
Anamiliki timu Uingereza! Kwa kifupi ni kwamba ni muwekezaji nchini Uingereza. Ngoja niwasiliane na Rais New Castle Tanzania, bwana Nateppe nimsikie.
Jamani hii tanzania tumenyonywa na kuibiwa rasilimali zetu na hawa viongozi wa ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…