Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 18,552
- 21,678
KeshoHivi daraja la Dau linafunguliwa rasmi lini vile?
KeshoHivi daraja la Dau linafunguliwa rasmi lini vile?
unganisha dotiJK pia ni shabiki mkubwa wa Newcastle.Hii habari sio bure kutakuwa na chembe chembwe za ukweli.
JK pia ni shabiki mkubwa wa Newcastle.Hii habari sio bure kutakuwa na chembe chembwe za ukweli.
Dau kawa maarufu sana JF wanasaidia kwahili,ajiandae tu kugombea urais,kura tutampigia,,ha ha ha haTeh teh teh..
Mkuu hawa ni wapiga ramli tuuh..
Wewe umesahau hapa juz juz mwananchi walikuja na uozo uozo wao wa kutaka kumchafua Dr Dau kwa kutumia fake CAG Reports hadi CAG akakanusha kuhusu Reports hizoo...
Guess what happened...Wakaanza kusemaa oooh CAG Assad nae ni mjahidina mwenzake tuh anamtetea...teh teh teh..
Alaaah kumbe tatizo ni Ujahidina siyo?sasa kama wanaupenda si waje tuh huku?ruksa kusilimu na kuwa mjahidina shida nayo nin...
Ivi hili gazeti la Dira halinaga habari zaidi ya Dr. DAU?
Unaweza kuwa mmiliki wa kampuni kwa kununua Hisa za hiyo kampuni.Duh Hili Daraja la Dau kufunguliwa limewaletea shida kubwa sana wasiompenda Dr.
Eti mmiliki wa New castle, Sasa anafanya nini uchwarani, si angeenda zake akale samaki kwa ice cream
Ni ajabu kwa sababu ana sijda.Ana miaka mingapi katika ajira....!?sishangai wangapi wamekuwa matajiri katika kipindi cha mkapa Na kikwete? Na yeye awe mtu pekee....!?
Dau kawa maarufu sana jf wanasaidia kwahili,ajiandae tu kugombea urais,kura tutampigia,,ha ha ha ha
Hapo sawa....!Ni ajabu kwa sababu ana sijda.
Watu hawajui uhalisia wa maisha, kwani yeye naniiiiiiiiiiiiiiii.... ni maskini kiasi gani? Wakianza kumchambua hapa utashangaa. Kaulizie Pale mitaa ya Africa sana wanamjua, hasa kupitia dada mmoja mabaye anamiliki shule ya Urembo.Wonders of the world.....na bado watu wanamtetea....huo ndio uzuri WA kuwa Mwafrica.........waafrica wamezoea kuibiwa...kwahiyo watakushangaa Sana unapochukia mtu anapoiba mali za imma ambazo kimsingi Ni Mali zao.....Sorry no offense intended
Kwani gharama za lile la china ni ngapi vile? Na la kwetu ni ngapi vile? Hebu nikumbushe!!Gharama za daraja lenu zinakaribiana kabisa na lile daraja la china la km 42
Ni ajabu kwa sababu ana sijda.
Uwe unapenda kusoma kwa umakini ndio u comment,hizo ni sentensi mbili tofauti,anamiliki 100 bil lakini pia ni mmoja wa wamiliki wa timu,hawajamaanisha kwamba ametumia 100bil kumiliki hio timuBillion 100.utamiliki timu UK? Jamani tuwe wa kweli jamani!
Mkuu, hili sakata la Dau wangelishughulikia haraka liwe closed. Maneno yamekuwa mengi sanaKama ni kwa njia halali poa tu,lakini kama ni kwa njia mbofumbofu basi naye aitwe fisadi mkuu.
Mbona tuliaminishwa na awamu iliyopita kuwa fisadi ni lowassa pekee?na mradi tata ni wa richmond pekee?
kweli hii nchi inatakiwa ifumuliwe na kuundwa upya.
Anasubiri kupangiwa kazi...Hivi dr. Dau sialiteuliwa kuwa balozi vile!!, hivi yuko nchi gani vile?