Utajiri wa Daniel Yona unatisha!

Tuache usaliti.Just use your common sense and ask yourself the following question:-

Mbona Nyerere alikaa ikulu kwa miaka zaidi ya 20 lakini hakuwa na utajiri wa kiasi hicho?

kwahiyo kwasbabu nyerere alikaa ikulu miaka 20 akafa maskini basi nchi nzima iwe maskini sio?? wewe ndio mnafiki

BTW, uwe unaelewa nilichosema .... nimesema "cha maana aliupata kihalali" and that is where my argument stands

kama si halali basi ni sababu ya serikali zaiff kujua yupe anaihujumu nchi, hatujachelewa hatua stahiki zichukuliwe, kama aliupata kihalali basi ni mfano wa kuigwa

huwezi kulinganisha visivyolinganishwa, we have different purposes in life

napenda sana wanaotajirika, ila iwe kwa njia halali, sipendi sana umasikini wa kujitakia, tanzania ni tajiri

BABA YAKO AKIISHI MIAKA 70 MASKINI BASI NA WEWE LAZMA UWE KAMA YEYE??
 
Na zile zilzipo pale mbezi beach jirani na marehemu kibo marealle nasikia ni za kwake pia.
 
Kuwa tajiri hata kama ni kupindukia sio vibaya kama ni kutokana na nguvu zako. Na hili linawezekana sana hapa bongo kwa watu waliokuwa na opportunities kama kina D.Yona, F.Masha, F.Mosha, etc (Soma cv zao) actually wakiwa fukara tunatakiwa kuwacheka!

Ila Haya ndo mambo tunasema kila siku, ukiwa kiongozi wa umma unatakiwa kuwa clean "in fact, and in appearance"! Na hapa nadhani ndipo Yona anapo chemsha, kutokana na tuliyo yasikia Kiwira tu, tunashindwa tenganisha kati ya mali za wizi na za halali.

Kwa kuwa hili jukwaa ya thinkers! Tu - reason kidogo hii kesi.

kwa madaraka, na opportunities alizo wahi shika huyu bwana Yona, miaka nenda garuka, kuwa na utajiti huu wa makongo, sijui nyumba ya tegeta - tena ya mwanae mimi sioni ajabu!

Isitoshe kila nyumba iliyopo pale ilijengwa kabla jamaa hajawa mbunge, na nyumba anayo ishi ni ile ile (hata alipokuwa waziri) amabyo aliijenga toka akiwa THB - bila shaka ni kwa mkopo! Tena iko barabarani - vumbi loote lina ingia ndani!

Nasikia Yona alinunua eneo lake pale kama eka 8 kwa sh 120 - mwaka 1968 so sio hatari kuwa na mali hizo leo miaka zaidi ya 40.

Ni sawa na wanaokamata ma-ardi leo kibaha eka 1 - sh laki 3. Baada ya miaka 20 itakuwa kaa makongo.

sikubaliani na wewe hata kidogo, huo mwaka unaousema kipindi cha nyerere hamna mtu aliyethubutu kushika maekari mengi ya ardhi halaf pili hata km alikuwa na ardhi hiyo gharama ya kujenga unaiongeleaje ?
 
kwahiyo kwasbabu nyerere alikaa ikulu miaka 20 akafa maskini basi nchi nzima iwe maskini sio?? wewe ndio mnafiki

BTW, uwe unaelewa nilichosema .... nimesema "cha maana aliupata kihalali" and that is where my argument stands

kama si halali basi ni sababu ya serikali zaiff kujua yupe anaihujumu nchi, hatujachelewa hatua stahiki zichukuliwe, kama aliupata kihalali basi ni mfano wa kuigwa

huwezi kulinganisha visivyolinganishwa, we have different purposes in life

napenda sana wanaotajirika, ila iwe kwa njia halali, sipendi sana umasikini wa kujitakia, tanzania ni tajiri

BABA YAKO AKIISHI MIAKA 70 MASKINI BASI NA WEWE LAZMA UWE KAMA YEYE??

Haihitaji kuwa na degree kujua nani ni mnafiki kati ya mimi na wewe.
 
Acha ujinga wako na mawazo ya kimaskini wewe
tafuta hela au position, na wewe tupia kama yeye huo ndo mpango mzima
zaidi ya hapo ni umbea tu
kama unakula na kulala mshukuru Mungu
 
Ndugu zangu, juzi nimefika Makongo Juu. Nilionyeshwa mahekalu ya Daniel Yona hadi nikaogopa.

Amejitwalia eneo kubwa mno. Kajenga mahekalu mengi. Mengine anaishi, mengine amepangisha wazungu. Nikaambiwa mengine ni ya mkewe. Pia kuna shule ambazo ni mali yao. Utajiri huu jamani si wa kawaida.

Hivi kweli makabwela wa nchi hii watakubali wizi huu hadi lini? Anayetaka na afike eneo hilo ajionee haya ninayosema. Inakera sana, hasa wakati huu ambao watoto wetu hawana madawati, maabara wala mlo wa uhakika. Lazima tuchukue hatua za kurejesha mali hizi!

Nawasilisha

Ama kweli mafisadi wanawafilisi watu- humudu hata simu ya Mchina yenye Camera ukaleta ushahidi?
 
Ndugu zangu, juzi nimefika Makongo Juu. Nilionyeshwa mahekalu ya Daniel Yona hadi nikaogopa.

Amejitwalia eneo kubwa mno. Kajenga mahekalu mengi. Mengine anaishi, mengine amepangisha wazungu. Nikaambiwa mengine ni ya mkewe. Pia kuna shule ambazo ni mali yao. Utajiri huu jamani si wa kawaida.

Hivi kweli makabwela wa nchi hii watakubali wizi huu hadi lini? Anayetaka na afike eneo hilo ajionee haya ninayosema. Inakera sana, hasa wakati huu ambao watoto wetu hawana madawati, maabara wala mlo wa uhakika. Lazima tuchukue hatua za kurejesha mali hizi!

Nawasilisha
Binafsi 2015 nitakuwa tayari kumpa kura yeyote atakayeahidi kwa dhati kuwashughulikia kina Yona, Mramba, Chenge, Karamagi, Lowassa na vibaka wengine wanaojificha kwenye kivuli cha genge la wezi CCM ili mradi asitokee CCM kwa maana wote wezi tu.
 
mkuu usituchekeshe. hii ni nyumba ya mabanzi haziswihi dar labda a town au mbeya na iringa.

house_porch.jpg

Pima hoja zangu kuhusu nyumba hii kwamba haijajengwa Dar ila imechukuliwa kutoka nyumba za ulaya au bara la Marekani kaskazini. Linganisheni na nyumba hapo chini utakuja kuona ukwlei wa hoja zangu. Ninachotaka tuweke picha ya ukweli badala ya kudanganya JF.

Nyumba hiyo hapo juu haijaezekwa kwa bati au vigai bali ni aina vulani ya plastic iliyochanganywa na saruji, mpira na takataka nyingine ni uezekaji maarufu katika nyumba nyingi za kawaida Ulaya Na Marekani. Uezekaji huu haupo kabisa Tanzania.

images
images
images

images
images
images

Hizi ni nyuma za ulaya au marekani ambazo mjengo wake unashabihiana na nyumba hiyo. Tukumbuke kuwa nyumba nyingi za Dar utakuwa milango na madirisha huwekwa nondo kujihadhari na wizi, hapo hakuna cha nondo. Mbaya zaidi window shutters kuwa double kitu ambacho hakipo kabisa hapa kwetu Tanzania kwa sababu window shutter huwa sehemu ya baridi kali, hata Marekani kusini hakuna double window shutter, utazikuta Canada na northern states kwa sababu ya baridi kuweza kuhifadhi zaidi joto. Nchi za ulaya kama Scandinavia bila double window shutters hitter haisaidii sana na zaidi utatumia zaidi utility na kushtukia bill ya kukukatisha tamaa kuilipa.

95% nyumba hiyo imeshukuliwa picha ya nyumba za ulaya na wala si nyumba anayotuambia ameijenga Yona. Kama anataka kutuhakikishia ukweli aipige picha nyumba hiyo kwa mbali kidogo ikionyesha madhari ya mazingira ya Dar es Salaam na nyumba za jirani la sivyo kauli yangu ina uzito stahiki.
 
Ama kweli ukishangaa ya Mussa utaona ya Firauni.

ok, ukishamaliza kushangaa kakojoe ulale naona umeshaishiwa hoja sasa unashangaa tu

i dont mind any rich person as long as he/she got it kwa njia halali

and next time jifunze kukomaa kwa hoja sio kushangaa ya musa na firauni, walishakufa zamani sana, shangaa ya leo yaliyokuzunguka

myambaffffffffff
 
Binafsi 2015 nitakuwa tayari kumpa kura yeyote atakayeahidi kwa dhati kuwashughulikia kina Yona, Mramba, Chenge, Karamagi, Lowassa na vibaka wengine wanaojificha kwenye kivuli cha genge la wezi CCM ili mradi asitokee CCM kwa maana wote wezi tu.

kuna daniel yona wawili, sr. na jr.

unajua mleta mada anamzungumzia yupi?
 
Ama!? Hivi kwa nini watz makapuku wanaoshinda vijiweni na kucheza pool na kujadili manchester na imaginations zingine hawapendi kupongeza achievement za wengine? Hivi kwa mtanzania kuwa TAJIRI ni criminal case? Maana kila mtanzania akipata endeavour analaumiwa badala ya kupongezwa. Je, ulitaka Yona awe kapuku au tajiri au afiche utajiri nje ya nji?
 
ok, ukishamaliza kushangaa kakojoe ulale naona umeshaishiwa hoja sasa unashangaa tu

i dont mind any rich person as long as he/she got it kwa njia halali

and next time jifunze kukomaa kwa hoja sio kushangaa ya musa na firauni, walishakufa zamani sana, shangaa ya leo yaliyokuzunguka

myambaffffffffff

It is very funny.
 
Ndugu zangu, juzi nimefika Makongo Juu. Nilionyeshwa mahekalu ya Daniel Yona hadi nikaogopa.

Amejitwalia eneo kubwa mno. Kajenga mahekalu mengi. Mengine anaishi, mengine amepangisha wazungu. Nikaambiwa mengine ni ya mkewe. Pia kuna shule ambazo ni mali yao. Utajiri huu jamani si wa kawaida.

Hivi kweli makabwela wa nchi hii watakubali wizi huu hadi lini? Anayetaka na afike eneo hilo ajionee haya ninayosema. Inakera sana, hasa wakati huu ambao watoto wetu hawana madawati, maabara wala mlo wa uhakika. Lazima tuchukue hatua za kurejesha mali hizi!

Nawasilisha
hayo si ya leo mwaka 2000 nilikuwa nimeenda makongo kwa ndugu yangu kukopa ada ya shule ni jirani na kwa mr yona, ndugu yangu alinijibu wakati sie 40000 zinatutoa kamasi mwangalie kiongozi wako anadondosha majumba kiajabu wakati huo alikuwa akijenga mahekalu mawili kwa mpigo hakika nilia na umaskini wangu!
 
Ama!? Hivi kwa nini watz makapuku wanaoshinda vijiweni na kucheza pool na kujadili manchester na imaginations zingine hawapendi kupongeza achievement za wengine? Hivi kwa mtanzania kuwa TAJIRI ni criminal case? Maana kila mtanzania akipata endeavour analaumiwa badala ya kupongezwa. Je, ulitaka Yona awe kapuku au tajiri au afiche utajiri nje ya nji?
Unaongea kama vile huna ubongo.
 
Back
Top Bottom