Mzigo mmoja huu hapa. Upo Kawe
![]()
Aliyeleta picha ya nyumba hii na wasiwasi nayo kwa sababu zifuatazo:
- Mjengo wa nyuma hii ambayo inaokenaka kujengwa kwa miti (timber/lumber) na kufunikwa na sheet zilizotengenezwa mchanganyiko wa udongo, plastic na matakataka mengine unatia wasisi, ni nyumba za ulaya.
- Mjengo huu ni wa nyumba za Ulaya au Marekani
- Sehemu ya kuota moto ambayo ina chimn ni kwa miji kama ya Arusha au Mbeya, kwa Dar hakuhitaji sehemu ya kuweka mkaa wa kuota moto.
- Mabomba ya kumwagilia bustani ukutani yanaashiria kila aina ya wafanyavyo nchi za magharibi
- Nyumba imejengwa kuacha sehemu kubwa ya ardhi mbele kuwa bustani ya nyasi za kumwagiliwa, mtindo huu ni wa nyumba za ulaya na Marekani kwa vile hawana utaratibu wa kubakiza sehemu ya ardhi nyuma kama ilivyo waafrika kwa sababu huwa hawapandi food vegetation nyumbani mwao kama afrika. Hilo ni shaka moja wapo.
- Miti iliyopo kando ya nyumba inaonyesha dhahiri ni miti ni natural vegetation or planted natural vegetation nchi za ulaya au Marekani.
- Window shutters zinaonekana kuwa double zenye kuhimili kipindi cha baridi huko nchi za uyala na Marekani, nadra sana Dar es Salaam nyumba kama hii kuwa na double shutters kwenye madirisha kwa sababu hali ya hewa haihitaji hivyo.
Jambo moja muhimu tunapoleta vielelezo viakisi ukweli maana Watanzania sasa hivi wamezunguka dunia na kuijua ilivyo, ukileta kisicho kweli watakutolea nje.
Kama una hoja za kupinga vielelezo vyangu naomba vianike hapa ili kujenga hoja yako ya utetezi.
Mzigo mmoja huu hapa. Upo Kawe
![]()
ndugu ungetuwekea na mapicha hapa, pia kijana wake dani yona ana bonge ya kitu hapa tegeta line ya umeme wa kwenda zanzibar ni hotel siyo hivyo tu mali ni nyingi sana wanazo, wametuibia sana tena sana.
Ni watu ambao leo hii nchi hii ikichukuliwa na wenye uzalendo wa kweli hakika mafisadi watarudisha mali zetu zote walizotuibia wakati wako kwenye madarak. Pole ndugu ndo hali halisi ya mambo na watawala wa nchi yetu
Kumiliki mijumba at his age, na vyeo alivyopitia mbona ni kitu rahisi sana? kulalamika sometimes kumezidi. mi ni kijana, niko kwenye ajira na kamshahara kangu wala sio kakubwa na sina rushwa lkn mdogomdogo najiandaa kupiga msingi wa nyumba ya 2. Sasa hivi kuna wajinga tayari wananiita fisadi mtoto bila kujua kamkopo kangu kamilion kumi ni tofali na cement ya nyumba nzima. nikifika umri wa Yona lzm niwe na nyumba atleast tano mjini. hayo ndo malengo yangu, wewe je? tutenganishe ufisadi na fursa, msomi kama Yona aliyeenda Uk na kina Mengi kupiga ACCA miaka hiyo na akaipata kabla ya kina Mengi bado unataka awe maskini? huo utakuwa upuuzi.
Ile kampuni yake na BWM inaitwaje?
Si nasikia walijiuzia ule mgodi kwa bei ya kutupwa???
Kawe wanajenga kwa mbao na kuna baridi kiasi ya kuwa na sehemu ya kuchomea kuni?
Amandla...........
Mwitongo
swali sio utajiri mkuu, UNATAKA KILA MTU AWE MASKINI???
Cha maana ni kujua aliupata kihalali??
Kulalamikia utajiri wa mtu bila kujua alipataje ni sawa na enzi zile kijijini mtu akiweka bati tu, basi lazma apigwe kipapai
kwa yona nadhani anadiserve kumiliki mali hizo kwani hata maslahi yake yalikuwa juu sana. kumbuka hata ukiwa mbunge tu na ukajipanga sawasawa kimsingi unakuwa umeuaga umaskini! wewe huoni maduka kama mariedo wamiki wake? cha msingi jitahidi upiganie madaraka nchi hii kuwin ni simple.Mzigo mmoja huu hapa. Upo Kawe
![]()
Ebu ona maisha ya watoto wa walipa kodi wa nchi hii wakati watu wanakula nchi na kujenga mahekalu huko....