Utajiri wa Daniel Yona unatisha!

Nimekuwa mbagala leo tangu saa 12
asubuhi nikijaribu kustudy hii
situation,wakristo wamejazana hapa
tangu asubuhi,wakisali na kuwaombea
msamaha waislamu.msikiti upo
upande wa pili tu wa kanisa,wapo
vijana walitaka kwenda kulipua
mabomu ya chupa msikiti,ila wenzao
wamewazuia kuwa hiyo ni kinyume na
ukristo bali wasubiri mwongozo wa
viongozi wao na wamwombe kristu
awaongoze.Askofu malasusa(pichani)
amewaasa wakristu kuomba zaidi
wakati huu na kusubiri vyombo vya
dola kufanya kazi yake.wakristu wanalia
wakati wanasali.wananchi wanalaumu
polisi na wakristu wanawatuhumu
kwamba wanawalinda waislamu
waliotenda uovu kwani hawakufanya
kitu wakati kanisa linaharibiwa ,wao
makusudi walikuwa wakipiga watu
mitaani huku wakiacha kanisa
likiteketezwa,japo waliambiwa.mkuu
wa wilaya amefika sehemu hii saa 7
mchana.
Nimekuwa mtaani kwa watu wa
kawaida ambao siyo kanisani ili nisikie
zaidi mawazo yasiyo na jazba.ajabu ni
kuwa kumbe kilichokojolewa ni JUZUU
na siyo QURAN, na pili,imesemwa
kuwa mtoto anayesemwa siyo mkristo
bali ni mwislamu.nami naona huu ni
mkanganyiko wa leo
 
hiyo wamilia wana hela siku nyingi sana sidhani kama alipata wakati wa uwazili, yawezekana aliongeza kidogo tu, kukmukeni hiyo jama kabla hawaja wazili alikuwa mfanyabiashara mkubwa sana na shelisheli, mpaka wakati fulani alikuwa balozi wa shelisheli Tanzania
 
Hawa ndio wasomi wa Tanzania wanaosifiwa humu jamvini kila siku kumbe mafisadi tu.
 
Ndugu zangu, juzi nimefika Makongo Juu. Nilionyeshwa mahekalu ya Daniel Yona hadi nikaogopa.

Amejitwalia eneo kubwa mno. Kajenga mahekalu mengi. Mengine anaishi, mengine amepangisha wazungu. Nikaambiwa mengine ni ya mkewe. Pia kuna shule ambazo ni mali yao. Utajiri huu jamani si wa kawaida.

Hivi kweli makabwela wa nchi hii watakubali wizi huu hadi lini? Anayetaka na afike eneo hilo ajionee haya ninayosema. Inakera sana, hasa wakati huu ambao watoto wetu hawana madawati, maabara wala mlo wa uhakika. Lazima tuchukue hatua za kurejesha mali hizi!

Nawasilisha


tatizo wapinzani hawasemi wala kutoa ahadi kwetu wananchi kua tukiwapa dola watauzika huu mfumo wa kifisadi na mafisadi wenyewe kwa kuwafilisi na kuwapeleka mahakamani...wapinzani wanaishia kutaja tu majina. huu ni uvugu vugu wa hali ya juu usioendana na matakwa ya jamii na wanamageuzi wengi.
 
Wakati napita nilikuwa na simu ya mchina, sasa nimeamua kufunga safari rasmi nikiwa na kamera ya ukweli. Subirini tu nitaziweka hapa ili muone namna hawa jamaa walivyoitafuna nchi hii bila huruma.

Uwe makini sana wasije wakakumwangosi.
 
Mwitongo

Kila mbuzi anakula urefu wa kamba yake ndugu.hata hivyo kesi yake ipo mahakamani

hakuna kesi pale bro............ingekuwapo hukumu ingeshatolewa muda mrefu sana. Wanasubiri wananchi tusahau kama ilivyo kawaida yetu.

Hivi kesi ya matumizi mabaya ya madaraka, nakuliingizia taifa hasara vithibitisho na risiti zipo, hukumu yasubiri nini?


INJI HII INAJENGWA NA WENYE MOYO, INATAFUNWA NA WENYE MENO...Mhe A. Mrema (Mb)
 
Back
Top Bottom