Utajiri halali! Dhana isiyo na chembe ya ukweli

Utajiri halali! Dhana isiyo na chembe ya ukweli

Acheni kutisha watu washindwe kutafuta kisa mtasema wamezipata kwa magumashi. Yesu alisema na anayeona hana dhambi na aanze kumpiga mwanamke huyu mawe. Uwe maskini au tajiri haitofautishi dhambi ulizonazo. Wote tu wadhambi
Tajiri na masikini wakikutana motoni lazima masikini achapwe vibao,yani uteseke dunia na motoni tena,hahaa sasa ulikuwa unafanya nini duniani?
 
Tajiri na masikini wakikutana motoni lazima masikini achapwe vibao,yani uteseke dunia na motoni tena,hahaa sasa ulikuwa unafanya nini duniani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Ni kweli tajiri wa halali hajazaliwa bado,labda wale manabii ambao utajiri wao unatokana na pesa zinazotolewa na waumini kutokana na either sadaka,zaka au shukrani...
 
Ni kweli tajiri wa halali hajazaliwa bado,labda wale manabii ambao utajiri wao unatokana na pesa zinazotolewa na waumini kutokana na either sadaka,zaka au shukrani...
Mule mule tuu[emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Kuna matajiri hawamjui mganga wala ushirikina..pili kodi ni unyonyaji uliokubuhu mtu unalipa katwa kodi karibia kila mahali kwa bidhaa moja tu hivyo kukwepa kodi sioni kama ni dhambi.Kodi zinalipwa ila sio kwa asilimia mia sababu inaumiza

Watu wana hustle kitaa bila ya ushirikina wala kumuibia mtu ..utajiri wa halali upo na wapo kibao tu sema lazima uwe tough
hapa naungana na ww hasa kwny kodi hapo yaan mtu ukitaka kulipa kodi kwa 100% basi jiandae kwamba unaifanyia kaz serikal na hautatoboa mapema

yaan kila ktu kodi kodi mpaka kooni
 
usitake wote tuamini unachokiamini ww.....yaan ww n kwamba uliwah kukaa na tajiri mshirikina ndo mana unaamin hvo....ila mm nlokaa na tajiri asiye mshirikina usilazmishe niamin idea zako
Ukweli ni kwamba hakuna tajiri ambaye si mshirikina, mwizi, ukibisha hujawah kua tajiri wala kukaa na tajiri
 
Taarifa zikasambaa kuwa kumbe ni boss mmoja pale Vwawa ndiye ilikuwa biashara yake. Alikuwa na vituo vya mafuta, shule, magari nk


Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom