Utajiri halali! Dhana isiyo na chembe ya ukweli

Utajiri halali! Dhana isiyo na chembe ya ukweli

Hoja yako unataka aminisha jamii kuwa umaskin ni sehemu ya utakatifu,,na mtu kuwa na Mali ni dhambi kwa mtazamo wako duni kwamba Mali au utajiri lazma udhulumu,uibe,unyonye watu nk..
Sio kweli sabb kuna utajiri unaopatikana kwa haki na unaopatikana nje ya haki..pande zote mbili kuna mchakato wake!!

Usitake kuturudisha kwenye wokovu wa kimaskini kama wa enzi zileeeee...afu mnageuka na kutucheka eti mbona wanasema Mungu wao tajiri wakat wao maskini..

Fedha na dhahabu ni Mali ya Bwana..mithali...
Nakushauri kama GT soma kitu uelewe... Hii para umeilewa kweli? >>>>>> Yote juu ya yote tunauhitaji utajiri kwa nguvu zetu zote ili kukidhi mahitaji ya natamanio ya kimwili na starehe za dunia, sifa na utukufu wa kununua.... Lakini asikudanganye mtu hakuna utajiri wa haki hata siku moja
 
Kiufupi utajir wa halali kabisa ni kama haupo...kila moja ana siri yake moyoni....labda wale matajir wa kuajiriwa....harakati za mtaani zina mauza uza mengi sana
Kuna matajiri hawamjui mganga wala ushirikina..pili kodi ni unyonyaji uliokubuhu mtu unalipa katwa kodi karibia kila mahali kwa bidhaa moja tu hivyo kukwepa kodi sioni kama ni dhambi.Kodi zinalipwa ila sio kwa asilimia mia sababu inaumiza

Watu wana hustle kitaa bila ya ushirikina wala kumuibia mtu ..utajiri wa halali upo na wapo kibao tu sema lazima uwe tough
 
Kuna matajiri hawamjui mganga wala ushirikina..pili kodi ni unyonyaji uliokubuhu mtu unalipa katwa kodi karibia kila mahali kwa bidhaa moja tu hivyo kukwepa kodi sioni kama ni dhambi.Kodi zinalipwa ila sio kwa asilimia mia sababu inaumiza

Watu wana hustle kitaa bila ya ushirikina wala kumuibia mtu ..utajiri wa halali upo na wapo kibao tu sema lazima uwe tough
Kupata utajiri wa halali ni jambo la kwanza, kuulinda usipepee ni jambo lingine.... Sasa zingatia hapo kwenye kuulinda ama kuuongeza
 
Utajiri una viwango, tajiri wa wilayani si lazima awe tajiri wa mkoani, tajiri wa Tanzania si lazima awe wa Africa... But vyovyote iwavyo yeyote aanzaye kuelekea kwenye utajiri hujisogeza zaidi kwenye mambo yasiyo haki
Aisee
 
Labda tunatofautiana kuhusu maana halisi ya utajiri. Jiulize kwanza tajiri ni nani? ni mtu wa namna gani? alafu ndo turejee sasa kwenye mjadala. Binafsi naamini wapo matajiri wanyoofu ambao ufalme wa mbingi ni halali yao.
Pia kwenye hili la ufalme wa mbingu kuna jambo moja la kuweka akilini. Daima mtu haukumiwi kwa namna alivyoanza maisha bali kwa namna alivyomaliza maisha.
Sauli (Paulo) aliwaua wengi lakini at the end akawa mtume wa kutegemewa.
 
Unaujua msoto alioupitia??? kutoka kuwa tajir namba moja duniani mpak kuwa fukara namba moja duniani lakn jamaa kasimamia ukucha kumtegemea Mungu....Tajir gan wa sasa anaweza pitia msukosuko kama huo akabaki upande wa Mungu?? biashara ikiyumba kidog tu anakimbia kwa mganga wake au freemason...
Yeah tatizo binadamu wa leo tunataka kumaintain status, ulikuwa unatembelea migari, unakula vizuri kwamba ifike siku uende kupanga chumba kimoja uswahilini unaona soo bora umpumzishe Mungu kwa muda ugeukie upande mwingine ilimradi ubaki juu..kwamba kwenye maisha kuna kupanda na kushuka hii dhana hatujaikubali bado
 
Mimi naamini unaweza kutajirika bila dhuluma lakini wapita njia kama mtoa mada hawataacha kusema ' utajiri wake Una Siri nyingi'
Kupata utajiri 'bila dhuluma' ni jambo la kwanza, kuulinda huo utajiri udumu na kukua ni jambo lingine!
BTW nimejikuta nacheka hapo uliponiita 'mpita njia '[emoji23]
 
Kwani hamna njia halali au scientific za kulinda utajiri wako?
@rrondo nadhani uko kwenye fikra za kufunga security systems, nk but bro my point is beyond that thinking
 
Back
Top Bottom