pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 6,476
- 4,875
Hapo kijijini au mtaani kwako kama watu wanakuona we tajiri basi wewe ni tajiriKwamba hakuna kiwango kamili cha kuanzia utajiri.. Kama ni kulingana na mazingira unaweza ukataja hivyo viwango
Hapo kijijini au mtaani kwako kama watu wanakuona we tajiri basi wewe ni tajiriKwamba hakuna kiwango kamili cha kuanzia utajiri.. Kama ni kulingana na mazingira unaweza ukataja hivyo viwango
Kwa mfano nanimatajiri wapo wengi tu ,na wamehusstle kwa jasho lao kihalali tu
Hawawezi kuwa matajiriKwa hyo mshana unasemaje kuhusu vijana wanao hustle kwa kupigana na kupambana kila siku ili waje kuwa matajiri wasaidie ndugu jamaa na marafiki zao pia maisha yao yawe ya furaha???
Msingi wa utajiri ni pesa ama kumiliki maliasili kama mawe mafuta nk... Utajiri una viwango vyake na level zake kuanzia level ya kijiji taifa mpaka kimataifaMimi naomba kuuliza ili uwe tajiri unatakiwa kuwa na nini? Kwasababu kama ni pesa kila mtu ana pesa tunatofautiana kwenye kiwango tuu, na kama ni nyumba kila mtu ana lala ndani hata kama ni ya kupanga, hata ungekuwa ghorofa lenye vyumba Mia tano huwezi kulala vyote utalala kimoja tuu,,, vitu vyote tunavyotafuta tutaviacha duniani, tulikuja uchi tutarudi uchi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu ila mwisho wa siku vyote ni ubatili tuu, jiulize ukifa leo unaondoka na nini hapa duniani? Inafikia mahali mtu anatoa ndugu zake wote kafara ili apate mali hatari sanaaaa. Mungu atusaidie kwakweli.Msingi wa utajiri ni pesa ama kumiliki maliasili kama mawe mafuta nk... Utajiri una viwango vyake na level zake kuanzia level ya kijiji taifa mpaka kimataifa
Jr[emoji769]
Sio rahisi kuwaza haya unapotafuta utajiri na kuupata... Masikini pekee ndio huwazaSawa mkuu ila mwisho wa siku vyote ni ubatili tuu, jiulize ukifa leo unaondoka na nini hapa duniani? Inafikia mahali mtu anatoa ndugu zake wote kafara ili apate mali hatari sanaaaa. Mungu atusaidie kwakweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakupinga bro upo sawa kabisa, cha msingi ni kwamba kile unachokitafuta kiwe na uhalali tuu, sio unakuwa na mali yenye harufu ya damu za watu.Sio rahisi kuwaza haya unapotafuta utajiri na kuupata... Masikini pekee ndio huwaza
Jr[emoji769]
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji123]Sijakupinga bro upo sawa kabisa, cha msingi ni kwamba kile unachokitafuta kiwe na uhalali tuu, sio unakuwa na mali yenye harufu ya damu za watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
I FULLY DIS AGREE WITH YOU,Sikubaliani na wewe kabisa ati hakuna utajiri wa ukweli au harali,je unataka kusema kila billionaire hapa duniani ametajirika kwa njia baya au sisizo halali, LA,je usawai tembea nje ya TZ uone mabilionaire wakubwa na ujue historia zao, mfano tajiri number moja duniani jeff bezos of amazon ambae ako na zaidi ya dola billion 145 za marekani, unajua historia yake, juzi tu kapatia masikini huko marekani dola billioni 2, angalia historia ya kina warren buffet, lary page of google na wengine, hao ni mabilionaire ambao walitengeneza utajiri wao IN THE RIGHT WAY, shinda iko hapa haswa kwa sisi waafrika , tumezoea matajiri ambao ni wafisadi, wala riswa toka kwa serikali na wengi ambao wanatumia witchcraft yaani ushirikina kuwa matajiri,lakini wengi wa waafrika hawajui hata kidogo jinsi ya kuwa tajiri kwa njia ya kweli, na ndio watu wanachukia matajiri hapa africa, tena waafrika wengi ni wavivu, wazembe na hawataki kutafuta hela kwa njia halali,na ndio afrika licha ya kujaliwa na kuwa bara tajiri zaidi duniani, afrika bado ndio bara masikini zaidi duniani,uongozi baya ndio unachangia haswa umasikini, angalia vile magufuli anafanya, magufuli anazidi kufanya watz kuwa masikini ajabu, so kuna mabilionaire ambao wameuda hela kwa njia safi kama pamba,i being one of themManeno ya Mungu yanasema hivi.... Ni rahisi kwa ngamia(sio mnyama) kupenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuurithi ufalme wa Mungu....!
Warithi wa ufalme wa Mungu ni akina nani? Wana sifa na vigezo gani? Ni wanyofu na wasafi wa moyo, watenda haki waliojitenga na dhambi na matendo yote ya giza, wasiodhulumu wala kupora cha mhitaji...
Ili uweze kuwa tajiri ama ili uweze kuupata utajiri kwa kiasi kikubwa itabidi ujitenge na matendo ya unyofu, huruma, utu wema na ushikamane na ulimwengu wa giza, makafara dhuluma na ni lazima uwe na roho ngumu na katili japo kwa kificho....!
Itabidi utafute njia za kupata bidhaa kwa bei rahisi sana halafu uuze kwa faida kubwa
Itabidi uwe mkwepa kodi na mdanganyifu kwenye mapato kwa nia ya kutunisha kibubu chako
Itabidi ununue hata kuuza mali ya wizi, dhuluma ama magendo ili tu usitetereke kiuchumi
Itabidi waajiriwa wako uwalipe kidogo lakini wazalishe kingi
Itabidi ufanye makafara na ushirikina kwa nia ya kulinda utajiri na himaya yako
Itabidi utumie mbinu zote halali na haramu ili kuendelea kukuza na kutunisha akaunti zako na biashara zako..
Ukishafanikiwa kimaisha na kuwa mfanyabiashara tajiri kwa viwango tofauti, kiunafiki kabisa na kuficha makucha yako, utairudia jamii kwa kutoa sadaka, misaada na zaka kwenye nyumba za ibada na majukwaa ya kijamii.. Hutafanya kwa siri kwakuwa unataka usafishike mbele za macho ya jamiii... Lakini kile unachokoa ni sehemu ndogo kabisa kwenye kile ulichowaibia wale unaowapa kwa mlango wa misaada....
Yote juu ya yote tunauhitaji utajiri kwa nguvu zetu zote ili kukidhi mahitaji ya natamanio ya kimwili na starehe za dunia, sifa na utukufu wa kununua.... Lakini asikudanganye mtu hakuna utajiri wa haki hata siku moja
Hiki ulichokizungumza nakihafiki 100%Maneno ya Mungu yanasema hivi.... Ni rahisi kwa ngamia(sio mnyama) kupenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuurithi ufalme wa Mungu....!
Warithi wa ufalme wa Mungu ni akina nani? Wana sifa na vigezo gani? Ni wanyofu na wasafi wa moyo, watenda haki waliojitenga na dhambi na matendo yote ya giza, wasiodhulumu wala kupora cha mhitaji...
Ili uweze kuwa tajiri ama ili uweze kuupata utajiri kwa kiasi kikubwa itabidi ujitenge na matendo ya unyofu, huruma, utu wema na ushikamane na ulimwengu wa giza, makafara dhuluma na ni lazima uwe na roho ngumu na katili japo kwa kificho....!
Itabidi utafute njia za kupata bidhaa kwa bei rahisi sana halafu uuze kwa faida kubwa
Itabidi uwe mkwepa kodi na mdanganyifu kwenye mapato kwa nia ya kutunisha kibubu chako
Itabidi ununue hata kuuza mali ya wizi, dhuluma ama magendo ili tu usitetereke kiuchumi
Itabidi waajiriwa wako uwalipe kidogo lakini wazalishe kingi
Itabidi ufanye makafara na ushirikina kwa nia ya kulinda utajiri na himaya yako
Itabidi utumie mbinu zote halali na haramu ili kuendelea kukuza na kutunisha akaunti zako na biashara zako..
Ukishafanikiwa kimaisha na kuwa mfanyabiashara tajiri kwa viwango tofauti, kiunafiki kabisa na kuficha makucha yako, utairudia jamii kwa kutoa sadaka, misaada na zaka kwenye nyumba za ibada na majukwaa ya kijamii.. Hutafanya kwa siri kwakuwa unataka usafishike mbele za macho ya jamiii... Lakini kile unachokoa ni sehemu ndogo kabisa kwenye kile ulichowaibia wale unaowapa kwa mlango wa misaada....
Yote juu ya yote tunauhitaji utajiri kwa nguvu zetu zote ili kukidhi mahitaji ya natamanio ya kimwili na starehe za dunia, sifa na utukufu wa kununua.... Lakini asikudanganye mtu hakuna utajiri wa haki hata siku moja
Kwenye red, huko walikoajiriwa ndio wanakopiga deal. Mbuzi ula kwa urefu wa kamba yake.Kiufupi utajir wa halali kabisa ni kama haupo...kila moja ana siri yake moyoni....labda wale matajir wa kuajiriwa....harakati za mtaani zina mauza uza mengi sana
Hata mimi sikubaliani na wewe kwa asilimia zote... Shida yako ni moja hujaangalia upande wa pili wa shilingi, upande usioonekana upande usiosemwa peupe. Umeangalia matokeo hujaangalia chanzo.... Bado Nakuhakikishia HAKUNA UTAJIRI WA HALALI.... nimeandika mengi kuna kutafuta utajiri kuna kuupata kuna kuuongeza kisha kuulinda.... Think as a great thinkerI FULLY DIS AGREE WITH YOU,Sikubaliani na wewe kabisa ati hakuna utajiri wa ukweli au harali,je unataka kusema kila billionaire hapa duniani ametajirika kwa njia baya au sisizo halali, LA,je usawai tembea nje ya TZ uone mabilionaire wakubwa na ujue historia zao, mfano tajiri number moja duniani jeff bezos of amazon ambae ako na zaidi ya dola billion 145 za marekani, unajua historia yake, juzi tu kapatia masikini huko marekani dola billioni 2, angalia historia ya kina warren buffet, lary page of google na wengine, hao ni mabilionaire ambao walitengeneza utajiri wao IN THE RIGHT WAY, shinda iko hapa haswa kwa sisi waafrika , tumezoea matajiri ambao ni wafisadi, wala riswa toka kwa serikali na wengi ambao wanatumia witchcraft yaani ushirikina kuwa matajiri,lakini wengi wa waafrika hawajui hata kidogo jinsi ya kuwa tajiri kwa njia ya kweli, na ndio watu wanachukia matajiri hapa africa, tena waafrika wengi ni wavivu, wazembe na hawataki kutafuta hela kwa njia halali,na ndio afrika licha ya kujaliwa na kuwa bara tajiri zaidi duniani, afrika bado ndio bara masikini zaidi duniani,uongozi baya ndio unachangia haswa umasikini, angalia vile magufuli anafanya, magufuli anazidi kufanya watz kuwa masikini ajabu, so kuna mabilionaire ambao wameuda hela kwa njia safi kama pamba,i being one of them