Utajiri halali! Dhana isiyo na chembe ya ukweli

sio kweli,acha mawazo ya kimasikini hayo
unakataa. kwani wewe ni tajiri au ulishawahi kuwa tajiri.usipende kulinganisha utajiri na maisha yetu ya kawaida yakuoa au kuolewa nakujenga kajumba kako na kununua kagari kako ka kwenda kazini nawe unajiweka kwenye kundi La Matajiri.Usisahau ata sisi kama Taifa tumeshindwa kuwa Taifa tajiri pamoja na raslimali tulizonazo Kwa sbb tumeshindwa kupigana vita ya utajiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
matajiri wapo wengi tu ,na wamehusstle kwa jasho lao kihalali tu
 
KUMBUKUMBU LA TORATI 8:18
"Bali utamkumbuka Bwana, Mungu wako, maana ndiye akupaye nguvu za kupata utajiri; ili alifanye imara agano lake alilowapa baba zako, kama hivi leo."
 
[emoji120][emoji120][emoji120]Aaaamen

Jr[emoji769]
 
Nimetoka mamlaka ya mapato leo pesa ninayodaiwa kwa kupitisha siku Mungu pekee ndie ajuaye

Jr[emoji769]
pole mkuu yaani wametugeuza vitega uchumi sasa na sisi tunazidi kubuni mbinu za kuwakwepa ili wawe wanachukua hizo za wafanyakazi tu.Mpaka wajue wafanyabiashara wanatakiwa kuwa rafiki wa serikali si adui
 
Wachangiaji " mada " naomba Muache kujikita zaidi. Katika Kivuli cha Uchawi tu pekee "

Mtoa mada ametaja mbinu chafu nyingi ambazo matajiri huwa wanazitumia " ili kuweza kitajirika " mbinu moja wapo ikiwa ni kuwanyonya wafanyakazi wake " kwa kuwalipa ujira mdogo

Kuna uzi nimeshawahi kuuona humu unaoihusu kampuni ya METL kuhusishwa na malalamiko hayo ya kuwaminya wafanyakazi wake " na kuwalipa kidogo "

Huwenda ikawa kweli kwamba kuna matajiri ambao hawajawahi kufanikiwa kwa Nguvu za giza " lakini bado wameshindwa kutoka nje ya tuhuma za hii mada " kwa sababu muandishi wa hii mada ametaja vipengele vingi " ..

Shida ni moja tu... Watu wanachangia huku wakiangalia nani kaweka mada

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom