Utafungiaje Twitter halafu uendelee kuitumia?

Ndo maana najaribu kufungua haifunguki?

🚫Nilikua chaka napiga kampeni zangu, nimerudi mjini nataka kuingia X nashangaa inagoma kumbe mama kashaupiga MWINGI na huku?
 
Uko nyuma niliwai kumwambia ukweli Mwigulu juu ya kupotea kwa Ben Saanane mpaka akatoka na kuja jamii forums kujitetea wakati ni waziri wa mambo ya ndani.

Akaja kujitetea jamii forums wakati huo alikuwa kampa kesi Mello wa jamii forums kwamba jamii forums haijasajiliwa Tanzania na ina operate kinyume na Sheria wakati yeye anaitumia jamii forums.

Mpaka gazezi la the citizen nikaandika ile habari juu ya kashifa Ile kwamba kitu ambacho hakijasajiliwa na kufuata vigezo kinatumiwa na waziri wa mambo ya ndani ambaye polisi wanamshitaki Mello wako chini ya Mwigulu.

Sasa ukija kwa Samia anatumia Twitter wakati kaifungia

Sasa inakuwaje kitu umekifungia halafu unakitumia?!!
msameheni mwenzenu hakufanya vizuri KIdato cha Nne
 
Uko nyuma niliwai kumwambia ukweli Mwigulu juu ya kupotea kwa Ben Saanane mpaka akatoka na kuja jamii forums kujitetea wakati ni waziri wa mambo ya ndani.

Akaja kujitetea jamii forums wakati huo Mello wa jamii forums alikuwa na kesi kwamba jamii forums haijasajiliwa Tanzania na ina operate kinyume na Sheria wakati yeye anaitumia jamii forums.

Mpaka gazeti la the citizen nikaandika ile habari juu ya kashifa Ile kwamba kitu ambacho hakijasajiliwa na kufuata vigezo kinatumiwa na waziri wa mambo ya ndani ambaye polisi wanamshitaki Mello wako chini ya Mwigulu.

Sasa ukija kwa Samia anatumia Twitter wakati kaifungia

Sasa inakuwaje kitu umekifungia halafu unakitumia?!!
Ametumia lini?
 
Hawana akili. Wanajipiga risasi mguuni wenyewe alafu wanajipeleka hospitali watibiwe. Alafu wakitibiwa wanajipiga tena risasi
 
Uko nyuma niliwai kumwambia ukweli Mwigulu juu ya kupotea kwa Ben Saanane mpaka akatoka na kuja jamii forums kujitetea wakati ni waziri wa mambo ya ndani.

Akaja kujitetea jamii forums wakati huo Mello wa jamii forums alikuwa na kesi kwamba jamii forums haijasajiliwa Tanzania na ina operate kinyume na Sheria wakati yeye anaitumia jamii forums.

Mpaka gazeti la the citizen nikaandika ile habari juu ya kashifa Ile kwamba kitu ambacho hakijasajiliwa na kufuata vigezo kinatumiwa na waziri wa mambo ya ndani ambaye polisi wanamshitaki Mello wako chini ya Mwigulu.

Sasa ukija kwa Samia anatumia Twitter wakati kaifungia

Sasa inakuwaje kitu umekifungia halafu unakitumia?!!
Ina maana hujakifingia!
 
Hii ndiyo nimeipenda. Kwa uchache!!
Endeleankuipenda falasafa ya Reconciliation, Resilience, Reforms, Rebuild.

Nasikia Mbowe aliituia vyema falsafa hiyo, akatoka getezqni, chadomo wengine wakapata kirudi Tanzania na kurudibjwenye siasa. Wakapata na kujenga jengo jipya la ofisi l, eneo la kifahari na ofisi za kifahari.

Eti kweli?
 
Sababu ya kufungia mtandao wenyewe ni uwepo wa maudhui ya ngono!

Ina maana au basi!!
 
Back
Top Bottom