Utafungiaje Twitter halafu uendelee kuitumia?

Utafungiaje Twitter halafu uendelee kuitumia?

Hii nchi ni ya watu wajinga na wapumbavu kuanzia Ikulu!

Nasema hivyo ni watu wajinga

Uko nyuma niliwai kumwambia ukweli Mwigulu juu ya kupotea kwa Ben Saanane mpaka akatoka na kuja jamii forum kujitetea wakati ni waziri wa mambo ya ndani.

Akaja kujitetea jamii forum wakati huo alikuwa kampa kesi Mello wa jamii forum kwamba jamii forum haijasajiliwa Tanzania na ina operate kinyume na Sheria wakati yeye anaitumia jamii forum.

Mpaka gazezi la the citizen nikaandika ile habari juu ya kashifa Ile kwamba kitu ambacho hakijasajiliwa na kufuata vigezo kinatumiwa na waziri wa mambo ya ndani ambaye polisi wanamshitaki Mello wako chini ya Mwigulu.

Sasa ukija kwa Samia anatumia Twitter wakati kaifungia

Yaani kitu umekipiga marufuku halafu unakitumia wewe Kama sio mjinga Basi ni mpumbavu!!
Na wao wanatumia VPN 🤣🤣
 
Hivi nini tofauti ya mjinga na mpumbavu?
Nataka nitumie lenye uzito kucomment huyu aliyefungia X then anaitumia!!
1. Mjinga ni sawa na mshamba, ana uwezo wa kujifunza na kubadilika.
2. Mpumbavu ni level ya juu ya kukosa ufahamu wa vitu na hats akifundishwa hawezi badilika...na hana mpango huo kwani hajui kuwa hajui
 
Hii nchi ni ya watu wajinga na wapumbavu kuanzia Ikulu!

Nasema hivyo ni watu wajinga

Uko nyuma niliwai kumwambia ukweli Mwigulu juu ya kupotea kwa Ben Saanane mpaka akatoka na kuja jamii forum kujitetea wakati ni waziri wa mambo ya ndani.

Akaja kujitetea jamii forum wakati huo alikuwa kampa kesi Mello wa jamii forum kwamba jamii forum haijasajiliwa Tanzania na ina operate kinyume na Sheria wakati yeye anaitumia jamii forum.

Mpaka gazezi la the citizen nikaandika ile habari juu ya kashifa Ile kwamba kitu ambacho hakijasajiliwa na kufuata vigezo kinatumiwa na waziri wa mambo ya ndani ambaye polisi wanamshitaki Mello wako chini ya Mwigulu.

Sasa ukija kwa Samia anatumia Twitter wakati kaifungia

Yaani kitu umekipiga marufuku halafu unakitumia wewe Kama sio mjinga Basi ni mpumbavu!!
Wamefungia mtandao wa X halafu wanashinda hukohuko wana post, sasa sijui wanam postia nani?

IMG-20250607-WA0027.jpg
IMG-20250607-WA0029.jpg
 
Hii thread imenikumbusha kitabu cha darasa la kujifunzia kusoma watoto kuna kisa cha mzee tola anakula gizan huku watoto wake wamelala na njaa. Any way tupo na NO REFORMS NO ELECTION
 
Reconciliation, Resilience, Reform, Rebuild.

Falsafa ya mama Samia Suluhu Hassan
tutayoenda nayo mpaka 2030 kwa uchache.
FEAR,DESPERATE,LIES,CORRUPTIONS..2025

kwanini uamue kuwa kibaraka, kwann usichague kuwa kiongozi naamini hata kwa watoto wako huezi waongoza, kazi ya kuwa chawa inakufanya uwe mjinga akili ya uongozi unaipoteza

FIKIRIA SIO KOSA BADO
 
Hivi nini tofauti ya mjinga na mpumbavu?
Nataka nitumie lenye uzito kucomment huyu aliyefungia X then anaitumia!!
Mjinga akieleweshwa anaelewa, ujinga wake unakuwa umekwisha!.
Mpumbavu ni sifa kama kuwa mrefu au mfupi...hafundishiki hata ukimuelewesha!

Serikali ya sa100 ni ya kipumbavu, kiazi kuanzia yeye mwenyewe top!!!.
 
Back
Top Bottom