FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,802
Reconciliation, Resilience, Reform, Rebuild.Sa100 nyamaza huna point
Ipo kazini.
Reconciliation, Resilience, Reform, Rebuild.Sa100 nyamaza huna point
Acha upuuzi . 4R za kupoteza watu? Huyu dakari aliyeokotwa Koko beach angekuwa ndugu yako ungesemaje?Reconciliation, Resilience, Reform, Rebuild.
Falsafa ya mama Samia Suluhu Hassan
tutayoenda nayo mpaka 2030 kwa uchache.
Acheni kuua watuSiyo uvumbani?
Reconciliation, Resilience, Reform, Rebuild.
Pia huwa ni chawa wa hamas na Hezbollah na HouthiWe ndio Chawa wake kakutuma au kupe?
Kumbe anazijua vpn 🤣🤣🤣🤣Uko nyuma niliwai kumwambia ukweli Mwigulu juu ya kupotea kwa Ben Saanane mpaka akatoka na kuja jamii forums kujitetea wakati ni waziri wa mambo ya ndani.
Akaja kujitetea jamii forums wakati huo Mello wa jamii forums alikuwa na kesi kwamba jamii forums haijasajiliwa Tanzania na ina operate kinyume na Sheria wakati yeye anaitumia jamii forums.
Mpaka gazeti la the citizen nikaandika ile habari juu ya kashifa Ile kwamba kitu ambacho hakijasajiliwa na kufuata vigezo kinatumiwa na waziri wa mambo ya ndani ambaye polisi wanamshitaki Mello wako chini ya Mwigulu.
Sasa ukija kwa Samia anatumia Twitter wakati kaifungia
Sasa inakuwaje kitu umekifungia halafu unakitumia?!!
Kumbe we bibi mpumbafu? Uzushi we unaweza ingia Twitter?Uzushi tu.
NO REFORMS NO ELECTIONUzushi tu.
Shemeji umewahi kujamba kwenye mwendokasi?Ila wewe mtoto wewe!
Kwamba haijafungwa ama?Uzushi tu.
haijafungwa ndio maana anatumia gentlemanUko nyuma niliwai kumwambia ukweli Mwigulu juu ya kupotea kwa Ben Saanane mpaka akatoka na kuja jamii forums kujitetea wakati ni waziri wa mambo ya ndani.
Akaja kujitetea jamii forums wakati huo Mello wa jamii forums alikuwa na kesi kwamba jamii forums haijasajiliwa Tanzania na ina operate kinyume na Sheria wakati yeye anaitumia jamii forums.
Mpaka gazeti la the citizen nikaandika ile habari juu ya kashifa Ile kwamba kitu ambacho hakijasajiliwa na kufuata vigezo kinatumiwa na waziri wa mambo ya ndani ambaye polisi wanamshitaki Mello wako chini ya Mwigulu.
Sasa ukija kwa Samia anatumia Twitter wakati kaifungia
Sasa inakuwaje kitu umekifungia halafu unakitumia?!!

Mbaya zaidi wanadai kuifungia kwa sababu ya maudhui ya mbaya(Ngono).Uko nyuma niliwai kumwambia ukweli Mwigulu juu ya kupotea kwa Ben Saanane mpaka akatoka na kuja jamii forums kujitetea wakati ni waziri wa mambo ya ndani.
Akaja kujitetea jamii forums wakati huo Mello wa jamii forums alikuwa na kesi kwamba jamii forums haijasajiliwa Tanzania na ina operate kinyume na Sheria wakati yeye anaitumia jamii forums.
Mpaka gazeti la the citizen nikaandika ile habari juu ya kashifa Ile kwamba kitu ambacho hakijasajiliwa na kufuata vigezo kinatumiwa na waziri wa mambo ya ndani ambaye polisi wanamshitaki Mello wako chini ya Mwigulu.
Sasa ukija kwa Samia anatumia Twitter wakati kaifungia
Sasa inakuwaje kitu umekifungia halafu unakitumia?!!
Sijawahi, we umewahi?Shemeji umewahi kujamba kwenye mwendokasi?
Huna pointUzushi tu.
UshambiwaUzushi tu.
Lazima utetea mwenzako katika Iman hata kama anafanya ujinga, wewe unacho angalia ni imani tuUzushi tu.