Utafungiaje Twitter halafu uendelee kuitumia?

Tangu wafunge wakati wa udukuzi wa Wakenya wameogopa kabisa kuufungua tena. Waache uoga, namna hii wanazidi kutukwaza wananchi
 
Hivi nini tofauti ya mjinga na mpumbavu?
Nataka nitumie lenye uzito kucomment huyu aliyefungia X then anaitumia!!
Mpumbavu au stupid aisee ni nzito sana! Mjinga anaelimika ila huyo wa juu ni milele!
 
Tanzania ndiyo nchi pekee duniani inayo ongozwa kwa kutumia uchawa a.k.a kujizima data tuseme kutumia mfumo wa unyumbu wa kisiasa,

Unyumbu wa kisiasa ni mfumo unao wezesha wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki), yaani kuahirisha kufikiri kizalendo
 
Uko nyuma niliwai kumwambia ukweli Mwigulu juu ya kupotea kwa Ben Saanane mpaka akatoka na kuja jamii forums kujitetea wakati ni waziri wa mambo ya ndani.

Akaja kujitetea jamii forums wakati huo Mello wa jamii forums alikuwa na kesi kwamba jamii forums haijasajiliwa Tanzania na ina operate kinyume na Sheria wakati yeye anaitumia jamii forums.

Mpaka gazeti la the citizen nikaandika ile habari juu ya kashifa Ile kwamba kitu ambacho hakijasajiliwa na kufuata vigezo kinatumiwa na waziri wa mambo ya ndani ambaye polisi wanamshitaki Mello wako chini ya Mwigulu.

Sasa ukija kwa Samia anatumia Twitter wakati kaifungia

Sasa inakuwaje kitu umekifungia halafu unakitumia?!!
CCM ni mazuzu kweli kweli.
 
Kwani wewe ujawahi siku ukatuma comment usigusie mambo ya haja kubwa au mambo ya hivo vtu mkuu..

Samahani lakini.... Sina nia mbaya
Shida iko wapi?

We hujambagi? tena wewe unaonekana ni kajambaji sana, kanajamba kwa kubinua tako moja.
 
K
Uko nyuma niliwai kumwambia ukweli Mwigulu juu ya kupotea kwa Ben Saanane mpaka akatoka na kuja jamii forums kujitetea wakati ni waziri wa mambo ya ndani.

Akaja kujitetea jamii forums wakati huo Mello wa jamii forums alikuwa na kesi kwamba jamii forums haijasajiliwa Tanzania na ina operate kinyume na Sheria wakati yeye anaitumia jamii forums.

Mpaka gazeti la the citizen nikaandika ile habari juu ya kashifa Ile kwamba kitu ambacho hakijasajiliwa na kufuata vigezo kinatumiwa na waziri wa mambo ya ndani ambaye polisi wanamshitaki Mello wako chini ya Mwigulu.

Sasa ukija kwa Samia anatumia Twitter wakati kaifungia

Sasa inakuwaje kitu umekifungia halafu unakitumia?!!
Rais tumempata aisee hivi ni yeye au washauri wake? Natamani niwe mshauri nimshauri maana anaelekea kwenye shimo la chewa soon anapoteza mwelekeo
 
Uzushi tu.
Uzushi Upi? Jelly Slaa ameongea hadharani Kuwa X iko Blocked Tanzania kwasababu ina Maudhui yasiofaa ajabu sasa Page za Serikali ikiwemo Page ya Kurugenzi ya Rais Ikulu ina Post Maudhui Kupitia Huo mtandao wa X
 
Uko nyuma niliwai kumwambia ukweli Mwigulu juu ya kupotea kwa Ben Saanane mpaka akatoka na kuja jamii forums kujitetea wakati ni waziri wa mambo ya ndani.

Akaja kujitetea jamii forums wakati huo Mello wa jamii forums alikuwa na kesi kwamba jamii forums haijasajiliwa Tanzania na ina operate kinyume na Sheria wakati yeye anaitumia jamii forums.

Mpaka gazeti la the citizen nikaandika ile habari juu ya kashifa Ile kwamba kitu ambacho hakijasajiliwa na kufuata vigezo kinatumiwa na waziri wa mambo ya ndani ambaye polisi wanamshitaki Mello wako chini ya Mwigulu.

Sasa ukija kwa Samia anatumia Twitter wakati kaifungia

Sasa inakuwaje kitu umekifungia halafu unakitumia?!!
Ndiyo hao wanajiita watawala
 
Back
Top Bottom