Fanfa
JF-Expert Member
- Sep 25, 2009
- 2,392
- 3,726
Mjinga + mpumbavu = Ponjoro.Hivi nini tofauti ya mjinga na mpumbavu?
Nataka nitumie lenye uzito kucomment huyu aliyefungia X then anaitumia!!
Kwa hiyo muite Ponjoro.
Mjinga + mpumbavu = Ponjoro.Hivi nini tofauti ya mjinga na mpumbavu?
Nataka nitumie lenye uzito kucomment huyu aliyefungia X then anaitumia!!
Mmmh!! Napita tuYani wafunga choo alafu mavi yakiwabana wanaenda kufungua kujisaidia
Nimeshakukumbuka , tulitokea kituo cha Morocco ukaja kushukia Fire. Ila baadhi walijua ni wewe maana uliposhuka tu wakaanza kukupiga majungu , kuna mmoja alikutetea kuwa huenda ulibanwa sana na haja na usingeweza kustahimili hadi kazini kwako Posta, hivyo umeshuka kutafuta chooSasa kama wameifungia TWIRRAH, wanapoposti wanampostia nani?
Ni sawa na Luca anavyojamba na kunusa mwenyewe.
Raha ya kujamba ujambe ndani ya mwendokasii, unaachia lile zito la puufuuuuu, unaona sura za watu zinaanza kusawajika na kufura.
Cc: Lucas Mwashambwa Tlaatlaah secretarybird Mbaga Jr Vishu Mtata Poor Brain cocastic