Utafiti: Wanawake wengi wanaogopa wadudu

me wife akiona nyoka hata kwenye TV ujue siku hiyo tunalala macho huku tumewasha taa ya chumbani isee,wanawake ni viumbe vinavyohitaji caring na unyenyekevu wa hali ya juu sana.
Hii inanikumbusha mwanzoni mwa miaka ya 2000 tulikuwa tukisafiri kutoka arusha kwenda namanga sasa njiani katikati ya pori nyoka mkubwa tu akakatiza barabara na kwa spidi tuliyokuwa nayo tulimkanyaga sehemu ya mkiani lakini aliishia porini sasa bwana kuna mdada mmoja tulikuwa naye kwanza ile tu kumuona nyoka anakatiza aaliruka na kumkumbatia jamaa mmojawapo tuliyekuwa naye japokuwa tulikuwa tumefunga madirisha yote lakini hakuamini yeye alijua nyoka karukia ndani ya gari..

Mziki ulikuwa ni baada ya kufika mwisho wa safari yeye aligoma kabisa kushuka kwenye gari akiamini nyoka yule alibaki chini aking'ang'ania chassis ya gari, ilikuwa ni shughuli kumshawishi kushuka tulimhakikishia kuwa nyoka yule aliishia porini lakini wapi hadi wengine tulipoamua kuingia chini ya gari kwa muda ndipo alipoamua kuruka fasta..
 
kweli ila yule mdudu wa jicho moja hatuogopi huwa hadi tuna muweka mdomoni
1457864483809.jpg
 
Yaani mimi huu ujasiri mpaka najishangaa... Nini mende, chura sijui kinyonga!??!!...kuna siku ka miezi 2 iliyopita nilienda bush kwa grandpa, ile nachomoka kichakani nikakutana na bonge la puff adder ( mkubwa na mnene ka kilo 120) yaan fasta nilimdaka shingoni na mimeno yake nilimpiga ngumi mbili za uso ( tough fist) niliona mwenyewe anaishiwa nguvu sijui alikufa maskini!...so sio kila ke ni mwoga
Hahaaaa hii chai imezidi tangawizi :O
 
Back
Top Bottom