klins
JF-Expert Member
- Feb 8, 2012
- 602
- 208
Haaa ......kwahiyo akiona mjusiii utasikia babyyy .....mjusii jamanii....haraka unakuja kukumbatia....Wanawake waoga wako romantic. And sexy.
Janamke haliogopi kitu la kazi gani sasa

Haaa ......kwahiyo akiona mjusiii utasikia babyyy .....mjusii jamanii....haraka unakuja kukumbatia....Wanawake waoga wako romantic. And sexy.
Janamke haliogopi kitu la kazi gani sasa

utakua familia bora wewe(wakishua)!Naogpa sana mende, nikimuona mwili unaota vipele...!
mwehuuuuuuuNi ujinga kufananisha dyudyu yako na chura.
hahahaah ka wifi kako kakimuona mende jikoni basi siku hiyo tutalala njaa maana jikoni hakuingiliki.Hao ndio sisi sasa......Dudu chafu sana lile.....
jamani wewejamani wew utanishinda sasa manka
mama wee mama weee
Yaani we we!!!!!!! Tehe tehekweli ila yule mdudu wa jicho moja hatuogopi huwa hadi tuna muweka mdomoni
Ila wanapenda kifo cha mende lakini wanashindwa kumuua mendeKuna hawa wanaoogopa mende....!!!!
Hahahaah kweli kabisaIla wanapenda kifo cha mende lakini wanashindwa kumuua mende
Wanawake kweli waoga sana hata ukichukua jani ukamgusa nalo shingoni kwa nyuma na hata hajajua nini ataruka na mayowe ya kutosha na hapo hadi wanasahaugi ni taulo tu wamejifunguka baada ya kutoka kuoga...
Picha yake plz ili nielewe vizurkweli ila yule mdudu wa jicho moja hatuogopi huwa hadi tuna muweka mdomoni