HAHAHA HHIHI NDO SHIDA YA KUWA THIRD WORLDmkuu tatizo wazungu wanatuchanganya..
wao sijui wanawaita MAMMALS
mara utasikia binaadamu naye ni mnyama..
ndio shida ya kua na elimu tegemezi..
Hahaahaaaaawanakaangiwa na wanaume..
heheehh mkuu utakuwa ulikimbia bioz!!!Acha mbwembwe,sisi wengine HKL,hao wote wadudu, hayo mambo ya phylum,cjui class,kingdom tunawaachia nyie wazee wa Bioz!ila mtoa mada umeeleweka!
hata hawa wa rangi nzuri hapana?! atiii...Mmmh! Bora mende! Mjusi hapana kwakweli!!
mkuu tatizo wazungu wanatuchanganya..heheehh mkuu utakuwa ulikimbia bioz!!!
wakoo waapi simu yangu mchina bana sionii!!hata hawa wa rangi nzuri hapana?! atiii...
View attachment 328745
wakoo waapi simu yangu mchina bana sionii!!
Wengine wanasura mbaya(Magovi) na wamepinda kama scania na trailer linakata kona😀😀😀Weee hao wnyma rider wngne wnaogopesha si kwa umbo lile la mundu lazma koo likukauke teh teh teh!
Well....it was a non- reflect action, actually hata mimi nilijishangaa..hahaha, je wewe unauzito kiasi gani?
Teh teh teh..pole yakhe!nakuogopaje !
Haaaaa haaaaa aseee...i real like your swords upon me, unauaje mwanawane!¤?!🙁🙁🙄😱...hormone za me kweli, umenichokaje?!?Mhhhhh kama kweli inabidi kupima hormone zako huenda una za kiume wewe sio bure.![]()
Kweli kabisa mkuuIla dyudyu hawaogopi!!!