Utafiti: Wanawake wengi wanaogopa wadudu

Utafiti: Wanawake wengi wanaogopa wadudu

Yaani mimi huu ujasiri mpaka najishangaa... Nini mende, chura sijui kinyonga!??!!...kuna siku ka miezi 2 iliyopita nilienda bush kwa grandpa, ile nachomoka kichakani nikakutana na bonge la puff adder ( mkubwa na mnene ka kilo 120) yaan fasta nilimdaka shingoni na mimeno yake nilimpiga ngumi mbili za uso ( tough fist) niliona mwenyewe anaishiwa nguvu sijui alikufa maskini!...so sio kila ke ni mwoga
Hahahahah kah!
 
Wakuu habari za leo,

Uzoefu katika maisha ni moja ya taasisi kubwa za kielimu.Nimeishi miaka mingi na kugundua mambo mbali mbali ikiwa ni pamoja na ujasiri wa wanawake mbele ya wadudu wadogo.

Wanawake wengi wanaogopa wadudu wafuatao:
1- Mende
2- Chura
3- Kiwavi
4- Jongoo

Kwa kawaida mwanamke anaeogopa wadudu,anapokabiliana nae akiwa katika mazingira yafuatayo,tegemea ajali ama mayowe:

1- Akiwa anaendesha gari
2- Akiwa ameshikilia sahani ya chakula mkononi
3- Hata akiwa anafanya mapenzi
b3f91254316afc3c470d241d31711aa5.jpg

Juu yenu iwepo amani.
HIVI NYOKA NI MDUDU AMA MNYAA....... NAOGOPA NYOKA SANA
 
1.Mende:
Kingdom-animalia.
Phylum-anthropoda.
class-insecta

Mende ni mdudu.

2.Chura:
Kingdom-animalia.
Phylum-chordata.
class-amphibia.

Chura si mdudu ni amfibia.

3.Kiwavi wa kipepeo.
Kingdom-animalia.
Phylum-anthropoda.
Class-insecta.

kiwavi ni mdudu.

4.Jongoo:
Kingdom-animalia.
Phylum-anthropoda.
Class-diplopoda.

Jongoo si mdudu.

5.Nyoka:
Kingdom-animalia.
Phylum-chordata.
Class-reptilia.

Nyoka si mdudu ni reptile.
Kiwavi ni mdudu anayependwa sana dodoma . Sidhan kama wanawake wa huko wanamuogopa
 
Yan uyo jongoo simpendiiiii, nikimuona lazima niweweseke. Kuna mtu aliwah nitishia simsameh kabisa
 
Yaani mimi huu ujasiri mpaka najishangaa... Nini mende, chura sijui kinyonga!??!!...kuna siku ka miezi 2 iliyopita nilienda bush kwa grandpa, ile nachomoka kichakani nikakutana na bonge la puff adder ( mkubwa na mnene ka kilo 120) yaan fasta nilimdaka shingoni na mimeno yake nilimpiga ngumi mbili za uso ( tough fist) niliona mwenyewe anaishiwa nguvu sijui alikufa maskini!...so sio kila ke ni mwoga
nakuogopaje !
 
Jamii inayonizunguka inajua hilo, wakisikia nalia kwa sauti hadi nyumba za Jirani wanasikia wanajua jongoo hayupo mbali
natamani ningekua naishi karibu na wewe..
ningechonga mbavu za plastiki..
 
Daaah mkuu asante sana umenikumbusha mbali mno... Enzi za Binomial Nomenclature hahahaaaa kweli tumetoka mbali maana nilikua nikiliskia hilo neon naona dunia ya njano
watu wa BIO mna mbwembwe..
 
Back
Top Bottom