Utafiti: Wanawake wengi wanaogopa wadudu

Utafiti: Wanawake wengi wanaogopa wadudu

Hawa je
a39d975d5a835f03559e727d7065c5b3.jpg
 
Yaani mimi huu ujasiri mpaka najishangaa... Nini mende, chura sijui kinyonga!??!!...kuna siku ka miezi 2 iliyopita nilienda bush kwa grandpa, ile nachomoka kichakani nikakutana na bonge la puff adder ( mkubwa na mnene ka kilo 120) yaan fasta nilimdaka shingoni na mimeno yake nilimpiga ngumi mbili za uso ( tough fist) niliona mwenyewe anaishiwa nguvu sijui alikufa maskini!...so sio kila ke ni mwoga
 
Wanawake waache tu waitwe wanawake nilipokuwa chuo nakaa hostel za nje kuna demu saa saba anakuita eti ukaue mende mm nilikuwa nafikiria ananitega mwisho nikagundua hayuko huko kabisa aisee wanawake watu wa ajabu sana
 
Chura na jongoo siyo wadudu! Thread yko ina ukweli pia kuhusu wanawake kuogopa viumbe mbalimbali ukilinganisha wanaume ingawa wanataka 50 kwa 50 ikiwezekana hata kesho!

Nilikua na mjamaa enzi hizo anaogopa panya balaa. Kama kuna panya halali na mbaya zaidi alikua hanisaidii hata kumuua namtafuta na kumuua pekeangu.
Nilimshangaa kuliko alivyonishangaa.
 
Yaani mimi huu ujasiri mpaka najishangaa... kuna siku nilienda bush kwa grandpa, ile nachomoka kichakani nikakutana na bonge la puff adder ( mkubwa na mnene ka kilo 120) yaan fasta nilimdaka shingoni na mimeno yake nilimpiga ngumi mbili za uso ( tough fist) niliona mwenyewe anaishiwa nguvu sijui alikufa maskini!...so sio kila ke ni mwoga

Mmh... Itakua ulinyweshwa damu ya nyoka utotoni.
 
Mmh... Itakua ulinyweshwa damu ya nyoka utotoni.
Teh teh!....in view of that situation, sikuwa na jinsi rather than a confrontation!...yani ujasiri wangu ni ule wa ghafla nikiwa in danger zone.
 
1.Mende:
Kingdom-animalia.
Phylum-anthropoda.
class-insecta

Mende ni mdudu.

2.Chura:
Kingdom-animalia.
Phylum-chordata.
class-amphibia.

Chura si mdudu ni amfibia.

3.Kiwavi wa kipepeo.
Kingdom-animalia.
Phylum-anthropoda.
Class-insecta.

kiwavi ni mdudu.

4.Jongoo:
Kingdom-animalia.
Phylum-anthropoda.
Class-diplopoda.

Jongoo si mdudu.

5.Nyoka:
Kingdom-animalia.
Phylum-chordata.
Class-reptilia.

Nyoka si mdudu ni reptile.
Acha mbwembwe,sisi wengine HKL,hao wote wadudu, hayo mambo ya phylum,cjui class,kingdom tunawaachia nyie wazee wa Bioz!ila mtoa mada umeeleweka!
 
Yaani mimi huu ujasiri mpaka najishangaa... Nini mende, chura sijui kinyonga!??!!...kuna siku ka miezi 2 iliyopita nilienda bush kwa grandpa, ile nachomoka kichakani nikakutana na bonge la puff adder ( mkubwa na mnene ka kilo 120) yaan fasta nilimdaka shingoni na mimeno yake nilimpiga ngumi mbili za uso ( tough fist) niliona mwenyewe anaishiwa nguvu sijui alikufa maskini!...so sio kila ke ni mwoga

hahaha, je wewe unauzito kiasi gani?
 
Jamii inayonizunguka inajua hilo, wakisikia nalia kwa sauti hadi nyumba za Jirani wanasikia wanajua jongoo hayupo mbali
 
Back
Top Bottom